2025 ili ukubalike kwa haraka, italazimu Tundu Lissu kulitaja jina la JPM kuomba kura kwa Wananchi

Acheni kumfananisha Nabii Tundu Lissu na marehemu wenu...

Yuke yuko level za juu sn ni tumaini halisi la watz sio huyo tapeli na brainwasher wenu
 
Acheni kumfananisha Nabii Tundu Lissu na marehemu wenu...

Yuke yuko level za juu sn ni tumaini halisi la watz sio huyo tapeli na brainwasher wenu
Hivi, kuna siku pia huyo mtu naye atakufa!! au yeye hatakufa??
 

Mkuu unaweza kuwa sahihi lkn naongezea hapo, imeharibiwa na Vijana wa pande zote mbili kwa maana ya CCM na UPINZANI,kwa mfano huyu niliyemquote anaonekana ni mtu wa mlengo wa Upinzani,mwenzie katoa hoja,yeye badala ya kujibu anaanza kumletea dharau kisa ni New Member!

Tuna kazi sana kudeal na hawa Vijana kwa ujumla wake.
 
Dah....wakati wa enzi zake akiwa hai....binafsi sijawahi msikia hayati JPM akilitaja jina la Tundu Lissu.....Lakini Tundu Lissu amelitaja jina la Magufuli kwa wastani wa mara 15 kwa siku x ((365 x 5) + 117))....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi muda huu nyie msiojitambua mnaonekana mmeshinda!. Subirini tumzike halafu tunaojielewa tuanze kufunguka, muone uchafu wa huyo jamaa yenu, mtayajua na yaliyofichwa
Hii ni Jamhuri ya kifirika ya JF uhuru wa kutapika upo kwa sana.
 
President Magufuli has redefine the responsibilities of the Presidency in Tanzania.
We now expect every president who follows to uphold and preserve the Magufuli spirits in our National reconstruction.
 
Uchaguzi wa October 2020 ambapo Magufuli alikuwa hai bado Tundu Lissu alishinda, tena kwa mbali. Sasa, sasa - 2025 utamshindanishaje Lissu dhidi ya mwendazake?
Jamhuri fikirishi ya JF, pamoja na ndugu yake Twitter, kidole huitwa pua, kiuno huitwa mguu, mkono huitwa nywele.

Muda wote ni kuhamisha magoli tuu kwa kwenda mbele.

Hakuna jema hata wapewe hela bila kufanya kazi.
 
Sio rahisi tena kwa CDM kuchagua kibaraka kukiwakilisha chama
 
Mada za aina hii zingesubiri kwanza watu wazike, maana kuna mambo yakizungumzwa kwa muda huu mtasema watu hawaheshimu mwili wa mwenda zake.
 
Tume HURU tu ndio itakayoamua
Hayo mambo yenu ya matume sijui nini ndo mabeberu wanamopitia. Magufuli asingeweza kuwa 100% perfect ni binadamu lakini ameonyesha sisi kama inchi tunaweza kufanya mambo makubwa na kuibadili inchi kwa kipindi kifupi sana. China waliweza ndani ya miaka 30, Taiwan, Malaysia, Vietnam na nyingine nyingi tu. Huko walikopita hao ndo huko alikokuwa anapita chuma. Hayo mataifa yote niliyotaja hakuna hata moja lililopiga hatua kwa kuwa na mara tume huru, sijui katiba sijui haki ya kuona mafisadi wana neemeka na rasilimali za inchi kwa kisingizio cha kutumia sheria kandamizi zinazotungwa na wabunge walioingizwa na hao hao mafisadi bungeni.
 

..sasa vijana wa ccm badala ya kumuombea DUA NZURI mwenyekiti wao aliyetutoka, ndio kwanza "wananoa mapanga" kuwashughulikia wapinzani.

..kwa kweli vijana wa ccm wanavyoenenda ni kana kwamba Jpm ameuwawa na wapinzani, wakati amekufa kwa ugonjwa aliokuwa nao tangu Tanzania haijaingia ktk mfumo wa vyama vingi.
 
Kwamba amtaje mtu aliyevuruga bei ya sukari
Bei ya mbaazi
Bei ya mafuta
Bei ya korosho

Sio mbaya hayo ni mawazo yako inabidi tuyaheshimu
Kubana Ajira
Kuteka watu
Kuua watu
Kufuta uchaguzi
Kudharau bunge
Kufilisi watu
Kubomoa nyumba zetu
Kudharau mahakama
Kuikanyaga katiba

Mungu mtu hakupaswa kumaliza hata miaka 5 ofisini.. Mungu ana maana kubwa kututolea kero hii
 
Miaka hiyo unaitwa SLIM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…