2025 ili ukubalike kwa haraka, italazimu Tundu Lissu kulitaja jina la JPM kuomba kura kwa Wananchi

Wengi wanafikiria kifo cha JPM kitarudisha ujinga Tz, mbegu ya JPM imeshapendwa, yoyote atakaye enda chini ya kipimo chake ataonekana failure, yoyote atakaye kejeli kazi zake atalaaniwa...

Lissu aje Tz tena halafu atoe maneno yake ya kejeli kama atafika hatua ngapi mbali, mimi bado naamini mtu kama Lissu akirudi Tz ataishia kula bisibisi na visu vya vijana aliowakebehi mtu aliyekuwa anawajali.
 
Hata mfanyaje lieni machozi ya damu harudi , Mungu sio wa mchezo ,Yesu wa Lugola , Yesu wa Musiba , bado watoa kufuru wenyewe .
 
Mimi ni mwananchi wa kawaida nitasema c
Mimi ni mwananchi wa kawaida nitasema ukweli daima fitina kwangu mwiko. Kati ya awamu ambayo hali ya wananchi imekuwa dhoofu il hali ni wakati huu wa utawala wa Magufuli. Ili watoto wafurahi shibe kwanza. Wananchi wanahitaji elimu na ufafanuzi tu jinsi utawala huu ulivyo yafanya maisha yao yakawa magumu, na wananchi wataelewa tena sana
 
Marehemu Magufuli alikuwa hampendi Lissu kutokana na ukweli wake ,Lissu ndo mzalendo wa kweli achaneni na CCM na Magufuli wao
 
Watanzania ni watu wa furaha,Marehemu Magufuli aliipoteza furaha ya watanzania ,baada ya kufa Magufuli nchi itarudi kama zamani
 
Unataka mshenzi Lissu aonekane ana thamani, hadhi yake ni kuenziwa na mashoga wake huko, akifa mwambieni achomwe moto tu, hatutaki kuona vichaa Tz.

..Kila mtu ana thamani.

..Huu ni wakati wa msiba, hivyo jikite kwenye kumuombea DUA NJEMA marehemu.
 
Marehemu Magufuli alikuwa hampendi Lissu kutokana na ukweli wake ,Lissu ndo mzalendo wa kweli achaneni na CCM na Magufuli wao
Sawa kabisa mkuu, hapa kila mtu hutoa mawazo yake na hii ni Democrasia pia

Huyu bwanaLissu hajakuchosha tu kiasi kwamba angalau akawepo na mwingine mbadala mkuu,

Anamalofu Yule, anatukana Hadi wafu ambao Mungu kawaita, anazo sasa?? Au tulitaka kupeleka Ikulu galasa?
 

T
 
Mmmmh!!
 
..Kila mtu ana thamani.

..Huu ni wakati wa msiba, hivyo jikite kwenye kumuombea DUA NJEMA marehemu.
Wengine ni mbwa, thamani yao ni kutemewa mate, muda utafika kila mtu atapata halali yake tu, subirini na Lissu atapata halali yake.
 
Mbadala ni Katiba mpya tena ile inayotokana na rasimu ya mzee wa warioba ambayo ilitokana na Maoni ya wananchi ndo mwarobaini wa CCM,CHADEMA,CHAUMA na Wanasiasa wote
 
..ni kweli kila upande haujali hisia za upande mwingine.

..pia ukiwa mkweli utakubaliana na mimi kwamba wafuasi wa upinzani wamepitia kipindi kigumu cha kupigwa, kuteswa, na kudhalilishwa, tangu Raisi Magufuli aingie madarakani.

..tawala za zilizomtangulia zilikuwa na mambo yake mabaya dhidi ya wapinzani, lakini utawala wa Magufuli ni kama vile ulihalalisha na kuwa wawazi zaidi katika kupiga, kutesa, na kudhalilisha, wapinzani. Walifanya waziwazi, kujiamini, na kwa fahari kubwa.

..Kama tunataka kuiponya nchi hii basi ni vizuri tukawakanya na kuwatuliza CCM wenye uwezo wa kuleta madhara makubwa zaidi kwanza, halafu tushughulike na wapinzani ambao uwezo wao uko kwenye matusi tu.

..Sijaona mwana-ccm aliyepata ulemavu, au aliyefariki, kutokana na matusi ya wapinzani. Lakini tunao wapinzani wenye ulemavu, waliopoteza maisha,...kutokana na ukatili wa ccm.
 
Wengine ni mbwa, thamani yao ni kutemewa mate, muda utafika kila mtu atapata halali yake tu, subirini na Lissu atapata halali yake.

..Siyo kweli.

..Hakuna binadama anayestahili kuitwa mbwa.

..Kama unamthamini na unampenda Magufuli, basi usitoe kauli ambazo zinachochea watu wamvunjie heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…