2025 ili ukubalike kwa haraka, italazimu Tundu Lissu kulitaja jina la JPM kuomba kura kwa Wananchi

Kaanzisha SGR, mkitaka muuze chuma chakavu shauri yenu, yeye Hana deni

Ndege kibao na nyingine Hadi naogopa ikiwa zitatua ama watazigawana hukohuko, mkitaka uzeni shauri yenu yeye Hana deni!!

Kakarabati bandari zote na kununua meli, mkitaka muuze mgawane pesa, shauri yenu

Vituo vya Afya na hispitali kajenga, mkitaka viwe vituo vya popo, shauri yenu, yeye Hana deni

Kaanzisha ujenzi wa madaraka makubwa kama busisi ili kuharakisha maendeleo, mkitaka msyaendeleze, mtajijua wenyewe, yeye keshasepa na Yuko kwenye ulimwengu mwingine kabisaaa!!

Wamachinga kawafanya wajione kuwa nao Wana haki ya kufanya biashara, mkitaka watimueni, Hana deni

Bwawa la umeme Stiglasgoji, mkitaka liwe bwawa la kunyweshea mifugo Aina ya swala,Simba, mbweha, chui, tembo, na mamba kuogelea au mahali pa kwenda mtu kuogelea, Sawa, yeye Hana shida

Miradi ya maji karibu kooote nchini, mkitaka fumueni na muanze kuwauzia wananchi maji, kwake yeye ni Sawa!!
 
Aya mambo unaweza kuyachukulia mzaha lakini ndio itakavyokuwa.

Leo asubuhi nimeona kwenye status ya mtu kuna kabinti kadogo tu kanalia eti kwa sababu JPM amefariki kabla yeye ajamuona kwa hiyo ameshindwa kutimiza ndoto yake.
 
Mkuu nilitaka nikupe milikes mingi kama ya kule instalive nkaja gundua kuwa hapa ni JF.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aya mambo unaweza kuyachukulia mzaha lakini ndio itakavyokuwa.

Leo asubuhi nimeona kwenye status ya mtu kuna kabinti kadogo tu kanalia eti kwa sababu JPM amefariki kabla yeye ajamuona kwa hiyo ameshindwa kutimiza ndoto yake.
Mkuu, Mimi Naamini ndivyo itakavyokuwa, utawala Bora wanaweza kuwa wanamrejea Hayati JKN, lakini uchapa kazi watamtaja tu Jembe JpM
 
Kaanzisha SGR, mkitaka muuze chuma chakavu shauri yenu, yeye Hana deni

Ndege kibao na nyingine Hadi naogopa ikiwa zitatua ama watazigawana hukohuko, mkitaka uzeni shauri yenu yeye Hana deni!!

Kakarabati bandari zote na kununua meli, mkitaka muuze mgawane pesa, shauri yenu

Vituo vya Afya na hispitali kajenga, mkitaka viwe vituo vya popo, shauri yenu, yeye Hana deni

Kaanzisha ujenzi wa madaraka makubwa kama busisi ili kuharakisha maendeleo, mkitaka msyaendeleze, mtajijua wenyewe, yeye keshasepa na Yuko kwenye ulimwengu mwingine kabisaaa!!

Wamachinga kawafanya wajione kuwa nao Wana haki ya kufanya biashara, mkitaka watimueni, Hana deni

Bwawa la umeme Stiglasgoji, mkitaka liwe bwawa la kunyweshea mifugo Aina ya swala,Simba, mbweha, chui, tembo, na mamba kuogelea au mahali pa kwenda mtu kuogelea, Sawa, yeye Hana shida

Miradi ya maji karibu kooote nchini, mkitaka fumueni na muanze kuwauzia wananchi maji, kwake yeye ni Sawa!!
Mkuu na ule mdaraja wa wami wakisema wasiumalizie ili ile minguzo ya mchina wawape wanajeshi wawe wanaluka viunzi na kufanyia mazoezi ni wao tu JPM wa watu yupo mawinguni kwa baba.
 
Good
 
Member since 2021 March 18.
Pole mjane.

Kwa hiyo wewe uliyejiunga 2017 ndiyo unajiona Mkongwe? Na walio na zaidi ya 10yrs tusemeje? Angalia hoja yake na siyo kwenda kuchungulia profile yake kujua kajiunga lini? Umenifanya hadi nikuzoom wewe unaedharau waliojiunga hivi karibuni. Punguza utoto.
 
wapiga kura sindio hawa toka 2015 wanatembea na vyeti mtaani mpaka 2025, Baba zao na ndugu zao walootumbuliwa kisa vyeti feki, waliobomolewa nyumba kisa sio wa kanda mpendwa? Au unaongelea wapiga kura wapi??.
 
Akili zako ni chache saaana mkuu,

Unadhani watu wanamtaja Hayati Sokonne Kwa sababu ipi, ni kutaka kumwabudu siyo??

Kunywa kwanza maji ya nazi upunguze uasubuhi kichwani mkuu
Unamlinganishaje Sokoine na Huyo jamaa yenu mnayemwabudu na kumsifu kama MUNGU vile.
 
Irani yachama itaandika JpM(Rais Magufuli),kweli chadema watakua wendawazimu yote iandikwe kuhusu Huyo!!!!
 
Amini usiamini ndivyo itakavyokuwa

Kama ambavyo imekuwa karibu Kila mara Jina la Hayati Mwl JKN kuwa ndio dira na mfano Bora Kwa kila kiongozi kuombea Kura hata kurejea hotuba zake Ili kujijenga kisiasa

Kwa kadri siku znavyosonga na vizazi vingi Kwa sasa Kwa sababu ya kukosekana somo la historia kujua historia za viongozi wao, wapo ambao ukuwatajia Jina la Hayati Mwl Nyerere unaweza ukajikuta unaulizwa kuwa ni Nani huyo na Yuko wapi?

Kwa sababu hiyo, kizazi cha sasa huwezi kukitenganisha na viongozi ambao kimekuwa kikiona kazi zao, na kikawaida yetu kama binadamu, tunaamini Kwa kuona, Kwa kazi ambazo zinaonekana ambazo zimefanywa Kwa awamu hii, zinawafanya Watanzania kuamini kuwa, kumbe inawezekana kukiwepo viongozi wachapa kazi, viongozi wasio na uhusiano na mafisadi, na ndiyo Maana nampongeza Hayati Dkt JPM kukazia somo la historia lirejeshwe mashuleni

Nachotaka kusema hapa ni kwamba, 2025 ninauhakika kwamba, mwanasiasa yeyote awe wa upinzani na hata CCM, kama atataka kujizolea umarufu na hata kukubalika mapema Kwa jamii, itamlazimu kurejea utendaji kazi wa Hayati JPM, hatakii!!! wananchi hawatamwelewa, Kwa sababu hiyo, Mh Tundu lissu, itamlazimu aombe Kura huku akirejea utendaji wa JPM na Jina la JPM kuombea Kura

Kwa muda mfupi, Hayati Dkt JPM, karibu Kila mtu amejikuta akikubali kazi zake, Uongozi wake, uchapakazi wake na wengine wanaenda mbali kusema! Hakujawahi Kutokea kiongozi Bora kama huyu hapa Tanzania

Mwenye macho asikie na mwenye masikio aone!
Teh! Kwani kulitaja ni kosa la jinai?
 
Kwa hiyo wewe uliyejiunga 2017 ndiyo unajiona Mkongwe? Na walio na zaidi ya 10yrs tusemeje? Angalia hoja yake na siyo kwenda kuchungulia profile yake kujua kajiunga lini? Umenifanya hadi nikuzoom wewe unaedharau waliojiunga hivi karibuni. Punguza u.
 
Back
Top Bottom