pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hizo misambwanda ama kutatuliwa marinda ni hadithi zisizo na kichwa wala miguu.Nchi haiwezi kutawaliwa na mwanaume mwenye msambwanda!! Halafu hata marinda alishatatuliwa
Paulo Mkonda alikuwa anasomaKatiba inataka mgombea Urais angalau awe na degree moja.
Nikumbushe Makonda ana degree ya kutoka chuo gani?
Ataanzia wapi? Walikuwepo kina Lowassa wako wapi?Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii.
Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali.
Maana kwa sasa target yake kubwa ni Urais na si cheo chochote. Aliamini 2025 angeachiwa kijiti na Magufuli lakini dili likagoma mapema tangu tu alipopigwa chini kwenye kura za maoni jimboni (Kigamboni).
Sasa baada ya kuukwaa uenezi anaitazama 2030 lakini kwa sifa anazopata mtaani hatoweza kusubiri 2030.
Mwakani 2025 anajilipua rasmi liwalo na liwe. Kama akilljilipua kuna uwezekano akaungwa mkono na wanakamati wengi hapo ndipo Watanzania wataona kasheshe.
Mimi simpendi Makonda, hata nyuzi zangu zinaonyesha hilo kwa uwazi kabisa lakini akigombea Urais nitamuunga mkono.
Kwa jinsi alivyo yule kijana ataleta maendeleo makubwa hapa nchini, naamini makandokando yake atayaacha.
Suala la Rais aliyeko madarani kupiti bila kupingwa kwenye kura za maoni huko CCM usilitafakari sana kwenye uchaguzi wao wa ndani 2025. Lolote linaweza kutokea.
Kwa sasa katika CCM lolote linaweza kutokea!Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii.
Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali.
Maana kwa sasa target yake kubwa ni Urais na si cheo chochote. Aliamini 2025 angeachiwa kijiti na Magufuli lakini dili likagoma mapema tangu tu alipopigwa chini kwenye kura za maoni jimboni (Kigamboni).
Sasa baada ya kuukwaa uenezi anaitazama 2030 lakini kwa sifa anazopata mtaani hatoweza kusubiri 2030.
Mwakani 2025 anajilipua rasmi liwalo na liwe. Kama akilljilipua kuna uwezekano akaungwa mkono na wanakamati wengi hapo ndipo Watanzania wataona kasheshe.
Mimi simpendi Makonda, hata nyuzi zangu zinaonyesha hilo kwa uwazi kabisa lakini akigombea Urais nitamuunga mkono.
Kwa jinsi alivyo yule kijana ataleta maendeleo makubwa hapa nchini, naamini makandokando yake atayaacha.
Suala la Rais aliyeko madarani kupiti bila kupingwa kwenye kura za maoni huko CCM usilitafakari sana kwenye uchaguzi wao wa ndani 2025. Lolote linaweza kutokea.
Huyu dogo anakwenda kupindua meza ya maza 2025Kwa sasa katika CCM lolote linaweza kutokea !!
Lakini bado naamini Mwenyekiti ni sawa na Mfalme Chamani hakuna wa kumtingisha
Kila mara tumejaribu kuwafahamisha humu kwamba JPM ameacha athari kubwa sana kwenye mioyo ya wananchi wengi sana katika Nchi hii!
Japo pia wapo ambao hawakumpenda na wapo waliomchukia pia,
Lakini ukweli ni kwamba wengi walimpenda sana na kumuamini sana !
Hivyo yeyote yule atakayecheza na akili za watu kwa style ile ya JPM huyo mtu hatokamatika tena !!
Makonda anacheza na akili za Watanzania walio wengi wale waliompenda Magufuli kupita maelezo !
Na so far inaonekana anaWin hiyo Game !
Jamaa hazuiliki tena whatsoever !!
Ngoja Tusubiri tuone 🙏🙏
Ngoja tuone 😅🔥Huyu dogo anakwenda kupindua meza ya maza 2025
Fomu inaprintiwa moja tu ambayo ni ya Dr Samia sasa Makonda atachukua ipi? CCM hakujawahi kuwa na demokrasia so hilo sahauSuala la Rais aliyeko madarani kupiti bila kupingwa kwenye kura za maoni huko CCM usilitafakari sana kwenye uchaguzi wao wa ndani 2025. Lolote linaweza kutokea.
Katiba hii hii ya Tanzania? Hakuna kitu kama hichoKatiba inataka mgombea Urais angalau awe na degree moja.
Nikumbushe Makonda ana degree ya kutoka chuo gani?
Nafarijika sana na nyuzi kama hizi!, angalia tarehe ya bandiko langu hili Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...Maana kwa sasa target yake kubwa ni Urais na si cheo chochote. Aliamini 2025 angeachiwa kijiti na Magufuli lakini dili likagoma mapema tangu tu alipopigwa chini kwenye kura za maoni jimboni (Kigamboni).
Mimi simpendi Makonda, hata nyuzi zangu zinaonyesha hilo kwa uwazi kabisa lakini akigombea Urais nitamuunga mkono.
Kwa jinsi alivyo yule kijana ataleta maendeleo makubwa hapa nchini, naamini makandokando yake atayaacha.
Japo simkubali D.A.B lakini ni bora kuliko huyu maza asiyejielewa kwanini yupo hapo.
Akiruhusu tu ushoga anakuwa rafikk wa beberu.ugomvi wa makonda na beberu ni kwenye ushoga na sio mambo ya utekaji makonda alipiga vita mashogaHaiwezekani, beberu alishampiga pin
Asante mkulungwa Pascal MayallaNafarijika sana na nyuzi kama hizi!, angalia tarehe ya bandiko langu hili Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Kilichofanya nikafarijika ni kukuta JF bado tuna few people ambao ni bonafide genuine. Watu wengi humu JF ni fake sana, hivyo watu genuine wakweli halisi toka ndani ya nafsi zetu, tunahesabika!, wewe Mkuu Senior security ni one of them, big up for this!.
Kitendo cha kusema "Mimi simpendi Makonda, hata nyuzi zangu zinaonyesha hilo kwa uwazi kabisa lakini akigombea Urais nitamuunga mkono" hii maana yake na wewe umebaini kuwa licha ya mapungufu yake yote ya kibinaadamu, ubishoo, siasa za sanaa za maigizo, lakini unakiri Makonda ana kitu ndani yake hivyo akiishika hii nchi, itanyooka!.
Watu wa kweli wa type hii ndio wale watu watetezi wa kweli wa wanyonge, kwa hoja kuwa mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.
Kama speed hii Makonda aliyoanza nayo, sio nguvu ya soda, na ataendelea na mchakamchaka huu hadi 2025, namshauri Rais Samia, awape wapinzani kila wanachotaka, katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, a level playing field na bado wataambulia patupu!.
Kwasababu Makonda ni yule yule Magufuli!, Paulo huyu wa sasa ni reincarnation ya Magufuli, hivyo CCM itakomba kila kata, kila jimbo, kila kitu! Kwasababu
Kwanza Makonda ameifufua CCM kuendelea kupendwa na kukubalika Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
Pili Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli na tatu nauliza tena na tena Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
P