Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #41
AhahahahKwa KIU ya kuziba pengo la magufuli lzm wamuandae makonda 2030.
So we kama unaiba iba sasa baada ya mama nchi itakuwa Tait,mafisadi wengi watafungwa sana.
Team msoga Haina nguvu tena
Chuo cha Ushirika MoshilKatiba inataka mgombea Urais angalau awe na degree moja.
Nikumbushe Makonda ana degree ya kutoka chuo gani?
Kama akina mama wanashika dola why not Makonda anayejali wananchi wanyonge kama mimiNchi haiwezi kutawaliwa na mwanaume mwenye msambwanda!! Halafu hata marinda alishatatuliwa
Makondo Kawa habari kubwa mjini!! Kawachanganya mpaka mnatamani agombane na Mwenyekiti wake.Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii.
Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali.
Maana kwa sasa target yake kubwa ni Urais na si cheo chochote. Aliamini 2025 angeachiwa kijiti na Magufuli lakini dili likagoma mapema tangu tu alipopigwa chini kwenye kura za maoni jimboni (Kigamboni).
Sasa baada ya kuukwaa uenezi anaitazama 2030 lakini kwa sifa anazopata mtaani hatoweza kusubiri 2030.
Mwakani 2025 anajilipua rasmi liwalo na liwe. Kama akilljilipua kuna uwezekano akaungwa mkono na wanakamati wengi hapo ndipo Watanzania wataona kasheshe.
Mimi simpendi Makonda, hata nyuzi zangu zinaonyesha hilo kwa uwazi kabisa lakini akigombea Urais nitamuunga mkono.
Kwa jinsi alivyo yule kijana ataleta maendeleo makubwa hapa nchini, naamini makandokando yake atayaacha.
Suala la Rais aliyeko madarani kupiti bila kupingwa kwenye kura za maoni huko CCM usilitafakari sana kwenye uchaguzi wao wa ndani 2025. Lolote linaweza kutokea.
Mbowe anataka kugombea kupitia chama chake!! Yeye atatumia digrii ipi?Katiba inataka mgombea Urais angalau awe na degree moja.
Nikumbushe Makonda ana degree ya kutoka chuo gani?
Hapo alisoma certificateChuo cha Ushirika Moshil
Hata mimi huwa simkubali sana, lakini akigombea 2025, nitamuunga mkono kwa asilimia mia moja.Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii.
Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali.
Maana kwa sasa target yake kubwa ni Urais na si cheo chochote. Aliamini 2025 angeachiwa kijiti na Magufuli lakini dili likagoma mapema tangu tu alipopigwa chini kwenye kura za maoni jimboni (Kigamboni).
Sasa baada ya kuukwaa uenezi anaitazama 2030 lakini kwa sifa anazopata mtaani hatoweza kusubiri 2030.
Mwakani 2025 anajilipua rasmi liwalo na liwe. Kama akilljilipua kuna uwezekano akaungwa mkono na wanakamati wengi hapo ndipo Watanzania wataona kasheshe.
Mimi simpendi Makonda, hata nyuzi zangu zinaonyesha hilo kwa uwazi kabisa lakini akigombea Urais nitamuunga mkono.
Kwa jinsi alivyo yule kijana ataleta maendeleo makubwa hapa nchini, naamini makandokando yake atayaacha.
Suala la Rais aliyeko madarani kupiti bila kupingwa kwenye kura za maoni huko CCM usilitafakari sana kwenye uchaguzi wao wa ndani 2025. Lolote linaweza kutokea.
Aliliwa na marehemu Spika wa Urambo, habari ndiyo hiyoHizo misambwanda ama kutatuliwa marinda ni hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
Kwa jina la kufoji alisoma ushirika moshi.....degree anayo ila jina sio lakeKatiba inataka mgombea Urais angalau awe na degree moja.
Nikumbushe Makonda ana degree ya kutoka chuo gani?
Hiyo sio hoja na kuna Waziri naye huwaga mnasemaga hivyo hivyo sio mm lkn anakula mema ya Nchi kwann. Makonda mwacheni atusaidie sisi wanyonge yawezekana ni mpango wa Mungu.Vile vile Majina hubadilishwa hata kwà kubatizwa hata Baba wa Taifa Julius halikuwa jina lake halisi alibatizwa Daud kuwa Paul sio mbaya kula mtori na nguruwe BWASHEE upunguze stressKwa jina la kufoji alisoma ushirika moshi.....degree anayo ila jina sio lake
Buku 7 kazini.....kigongo hicho mwishoniiiiHiyo sio hoja na kuna Waziri naye huwaga mnasemaga hivyo hivyo sio mm lkn anakula mema ya Nchi kwann. Makonda mwacheni atusaidie sisi wanyonge yawezekana ni mpango wa Mungu.Vile vile Majina hubadilishwa hata kwà kubatizwa hata Baba wa Taifa Julius halikuwa jina lake halisi alibatizwa Daud kuwa Paul sio mbaya kula mtori na nguruwe BWASHEE upunguze stress
Ukisikia mtu anajiita mnyonge mhesabu ni msukule. Mungu alimuumba kila mtu kiukamilifu, unahitaji kujishughulisha kidogo ili kufikia matarajio.Kama akina mama wanashika dola why not Makonda anayejali wananchi wanyonge kama mimi
aliacha ukuu wa mkoa mbele ya baba yake kugombea ubunge kilichofata kaangukia wowo sio pua.leo cheo hiko tafute uraisi we embu acha kujaza server ya JF.hakitolewa unataka mbwembwe zijifiche
Sawa muuza Mbege pale UshumunduUkisikia mtu anajiita mnyonge mhesabu ni msukule. Mungu alimuumba kila mtu kiukamilifu, unahitaji kujishughulisha kidogo ili kufikia matarajio.
Kukubali kuitwa mnyonge huku ukitemgemea Makonda akunyanyue ni UPIMBI
Wakati anawania kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni,wajumbe wakamkata ,ulikuwa hujazaliwa?Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii.
Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali.
Maana kwa sasa target yake kubwa ni Urais na si cheo chochote. Aliamini 2025 angeachiwa kijiti na Magufuli lakini dili likagoma mapema tangu tu alipopigwa chini kwenye kura za maoni jimboni (Kigamboni).
Sasa baada ya kuukwaa uenezi anaitazama 2030 lakini kwa sifa anazopata mtaani hatoweza kusubiri 2030.
Mwakani 2025 anajilipua rasmi liwalo na liwe. Kama akilljilipua kuna uwezekano akaungwa mkono na wanakamati wengi hapo ndipo Watanzania wataona kasheshe.
Mimi simpendi Makonda, hata nyuzi zangu zinaonyesha hilo kwa uwazi kabisa lakini akigombea Urais nitamuunga mkono.
Kwa jinsi alivyo yule kijana ataleta maendeleo makubwa hapa nchini, naamini makandokando yake atayaacha.
Suala la Rais aliyeko madarani kupiti bila kupingwa kwenye kura za maoni huko CCM usilitafakari sana kwenye uchaguzi wao wa ndani 2025. Lolote linaweza kutokea.
Hatar sana. !Kwa KIU ya kuziba pengo la magufuli lzm wamuandae makonda 2030.