Pre GE2025 2025 kuna uwezekano Paul Makonda akachukua fomu ya Urais. Ndipo Rais Samia ataijua vizuri rangi ya Paul Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lyrics

I don't know why I keep believing
That one day they'll bring us together
When they've shown
In more ways than one (One one)
That all they care about is the dollar
You belong to the one
Political party
I belong to the one
Musical party
Our differences are worlds apart
Just like guns and roses

If we don't take control
Of the situation
We'll stay forever
In this here commotion (This here commotion)
Of these guns and the roses
That we've got to live with
These guns and the roses

That we've got to live with
These guns and the roses
That we've got to live with

How can five years of power
Destroy a lifetime of togetherness
One time we were judged
By the colour of our skins (Skin)
Now we are judged by the colour of our flags (Colour of our flags)
Let us unite against being divided
You belong to the one
Political party (Political party)
I belong to the one
Musical party (Musical party)
Let us take control of the situation
Otherwise we'll be trapped in
These guns and the roses (Situation)

That we've got to live with (Every time)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (We gotta live with)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (Every time)
We'll be trapped in these
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (Every day)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (We got to live with every day)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (We got to every day)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (Oh every day)
 
Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii.

Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali.

Maana kwa sasa target yake kubwa ni Urais na si cheo chochote. Aliamini 2025 angeachiwa kijiti na Magufuli lakini dili likagoma mapema tangu tu alipopigwa chini kwenye kura za maoni jimboni (Kigamboni).

Sasa baada ya kuukwaa uenezi anaitazama 2030 lakini kwa sifa anazopata mtaani hatoweza kusubiri 2030.

Mwakani 2025 anajilipua rasmi liwalo na liwe. Kama akilljilipua kuna uwezekano akaungwa mkono na wanakamati wengi hapo ndipo Watanzania wataona kasheshe.

Mimi simpendi Makonda, hata nyuzi zangu zinaonyesha hilo kwa uwazi kabisa lakini akigombea Urais nitamuunga mkono.

Kwa jinsi alivyo yule kijana ataleta maendeleo makubwa hapa nchini, naamini makandokando yake atayaacha.

Suala la Rais aliyeko madarani kupiti bila kupingwa kwenye kura za maoni huko CCM usilitafakari sana kwenye uchaguzi wao wa ndani 2025. Lolote linaweza kutokea.
Makondo Kawa habari kubwa mjini!! Kawachanganya mpaka mnatamani agombane na Mwenyekiti wake.

Nikusaidie tu..! Ni kwamba Makonda humpendi lakini mnavyomuandika Kila Uzi mnampandisha chart bila nyie kujua
 
Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii.

Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali.

Maana kwa sasa target yake kubwa ni Urais na si cheo chochote. Aliamini 2025 angeachiwa kijiti na Magufuli lakini dili likagoma mapema tangu tu alipopigwa chini kwenye kura za maoni jimboni (Kigamboni).

Sasa baada ya kuukwaa uenezi anaitazama 2030 lakini kwa sifa anazopata mtaani hatoweza kusubiri 2030.

Mwakani 2025 anajilipua rasmi liwalo na liwe. Kama akilljilipua kuna uwezekano akaungwa mkono na wanakamati wengi hapo ndipo Watanzania wataona kasheshe.

Mimi simpendi Makonda, hata nyuzi zangu zinaonyesha hilo kwa uwazi kabisa lakini akigombea Urais nitamuunga mkono.

Kwa jinsi alivyo yule kijana ataleta maendeleo makubwa hapa nchini, naamini makandokando yake atayaacha.

Suala la Rais aliyeko madarani kupiti bila kupingwa kwenye kura za maoni huko CCM usilitafakari sana kwenye uchaguzi wao wa ndani 2025. Lolote linaweza kutokea.
Hata mimi huwa simkubali sana, lakini akigombea 2025, nitamuunga mkono kwa asilimia mia moja.
 
Kwa jina la kufoji alisoma ushirika moshi.....degree anayo ila jina sio lake
Hiyo sio hoja na kuna Waziri naye huwaga mnasemaga hivyo hivyo sio mm lkn anakula mema ya Nchi kwann. Makonda mwacheni atusaidie sisi wanyonge yawezekana ni mpango wa Mungu.Vile vile Majina hubadilishwa hata kwà kubatizwa hata Baba wa Taifa Julius halikuwa jina lake halisi alibatizwa Daud kuwa Paul sio mbaya kula mtori na nguruwe BWASHEE upunguze stress
 
Buku 7 kazini.....kigongo hicho mwishoniiii
 
Kama akina mama wanashika dola why not Makonda anayejali wananchi wanyonge kama mimi
Ukisikia mtu anajiita mnyonge mhesabu ni msukule. Mungu alimuumba kila mtu kiukamilifu, unahitaji kujishughulisha kidogo ili kufikia matarajio.

Kukubali kuitwa mnyonge huku ukitemgemea Makonda akunyanyue ni UPIMBI
 
aliacha ukuu wa mkoa mbele ya baba yake kugombea ubunge kilichofata kaangukia wowo sio pua.leo cheo hiko tafute uraisi we embu acha kujaza server ya JF.hakitolewa unataka mbwembwe zijifiche
Kuna mtu ametoka kuniambia Makonda anakubalika nikabaki nacheka. Nje ya kelele na maigizo mengi Makonda hana kitu.

Ndugulile tu alimshinda!
 
Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii.

Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali.

Maana kwa sasa target yake kubwa ni Urais na si cheo chochote. Aliamini 2025 angeachiwa kijiti na Magufuli lakini dili likagoma mapema tangu tu alipopigwa chini kwenye kura za maoni jimboni (Kigamboni).

Sasa baada ya kuukwaa uenezi anaitazama 2030 lakini kwa sifa anazopata mtaani hatoweza kusubiri 2030.

Mwakani 2025 anajilipua rasmi liwalo na liwe. Kama akilljilipua kuna uwezekano akaungwa mkono na wanakamati wengi hapo ndipo Watanzania wataona kasheshe.

Mimi simpendi Makonda, hata nyuzi zangu zinaonyesha hilo kwa uwazi kabisa lakini akigombea Urais nitamuunga mkono.

Kwa jinsi alivyo yule kijana ataleta maendeleo makubwa hapa nchini, naamini makandokando yake atayaacha.

Suala la Rais aliyeko madarani kupiti bila kupingwa kwenye kura za maoni huko CCM usilitafakari sana kwenye uchaguzi wao wa ndani 2025. Lolote linaweza kutokea.
Wakati anawania kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni,wajumbe wakamkata ,ulikuwa hujazaliwa?
 
Kwa KIU ya kuziba pengo la magufuli lzm wamuandae makonda 2030.
So we kama unaiba iba sasa baada ya mama nchi itakuwa Tait,mafisadi wengi watafungwa sana.
Team msoga Haina nguvu tena
Hatar sana. !
Nguvu ya Mamba kumayi !
 
Back
Top Bottom