2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

Itakuwa ulikuwa umelala tangu mwaka 2015, sasa ndio umeamka!
 
mtihani uko wapi kama wamekubaliana mama aendelee kuwa mgombea pekee ndani ya chama chao?
 
Lakini team msoga imejichimbia sana
 
Siasa za Tanzania ni nzuri sana.
Rais aweza kuunda team yake mpya kabisa ambayo itakuwa loyal kwake 100℅ kwa kuyaondoa makundi na wote wakakaa kimya wakisubiri wakati wao.
Nguvu ya mamba ipo kwenye maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…