Umesema kweli Hawa watu wanatoa makafara sana kwa shetani ndio mana inchi haiwezi kwenda mbele hata iweje, kinachonishangaza Mimi nikuona kwamba mtu anaifurahia hii timu uku akijua kwamba ni wezi, mafisadi, wauwaji, fitina kibao, sijui nao wamerogwa?Team Kikwete wana backing ya NWO Cabal kwa hiyo ni moto wa kuotea mbali.Nikumbushe kwamba mfumo wa utawala wa team Kikwete(Msoga), ndio mfumo Lucifer anaoutaka kwa Dunia,kwa hiyo most likely ndio utakaofanikiwa.
What's this bullshit, ushawishi upi kwani anagombea Urais both samia na Lissu/Mbowe ni anti JPM sasa ushawishi huo utasaidia vipi ushindi wa 2025? Ingekua na maana kama angekuwepo mgombea ambaye ni pro-JPM not otherwise.Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi
Mkuu wa Chama ameshazisoma alama za nyakati ndio maana anawarudisha Team JPM !!What's this bullshit, ushawishi upi kwani anagombea Urais both samia na Lissu/Mbowe ni anti JPM sasa ushawishi huo utasaidia vipi ushindi wa 2025? Ingekua na maana kama angekuwepo mgombea ambaye ni pro-JPM not otherwise.
Anawarudisha ili CCM wawe wamoja maana anatolia wakigawanyika yatatokea ya Lowassa na yeye hatoweza zuia pressure ile ila sio sababu JPM sijui ana ushawishi and other crap. Ni lini CCM imewahi tegemea ushawishi wa mtu kushinda uchaguzi? JK alishinda 2010 akiwa hapendwi kabisa kila kona ya kanda ya ziwa na nchi nzima ndio sembuse Samia?Mkuu wa Chama ameshazisoma alama za nyakati ndio maana anawarudisha Team JPM !!
Labda !! π π !!Anawarudisha ili CCM wawe wamoja maana anatolia wakigawanyika yatatokea ya Lowassa na yeye hatoweza zuia pressure ile ila sio sababu JPM sijui ana ushawishi and other crap. Ni lini CCM imewahi tegemea ushawishi wa mtu kushinda uchaguzi? JK alishinda 2010 akiwa hapendwi kabisa kila kona ya kanda ya ziwa na nchi nzima ndio sembuse Samia?
It's worth considering that Kenya's elections are often plagued by malpractice at every level, including the judiciary.
He was just a populist who knew how to manipulate the media and poor citizens and for that I'll give credit to him. However in reality he never believed what he stood for, fighting corruption on media whilst protecting the corrupt politburo in his party. Claimed to fund the multi-million dollar projects with internal funds from poor-man's taxes but on the contrary he left us with a burden in a form of humongous interest rates.It seems that you view politics through an emotional lens rather than through a practical one, Mizania.
The legacy of Magufuli stands out as he was the only African president who spoke to his constituents in their language and found practical solutions to their issues, even meeting with them face-to-face.
This is a significant achievement, and he will be remembered by the electorate for a long time to come.
It seems that you view politics through an emotional lens rather than through a practical one, Mizania.

Mkuu substantiate ufisadi unao uzungumzia kwa kuainisha kwa mujibu wa CAG kiasi cha fedha kilichoibiwa sekalini katika kipindi cha JK na JPM.Sema huyo Mzee anaroho mbaya sana, watu wote wanaomfagilia huyu Mzee ni wezi na mafisadi tuu na wasiotaka maendeleo ya inchi.
Unaruhusiwa kimchukia JPM, ni haki yako.What's this bullshit, ushawishi upi kwani anagombea Urais both samia na Lissu/Mbowe ni anti JPM sasa ushawishi huo utasaidia vipi ushindi wa 2025? Ingekua na maana kama angekuwepo mgombea ambaye ni pro-JPM not otherwise.
It seems that you view politics through an emotional lens rather than through a practical one, Mizania.
The legacy of Magufuli stands out as he was the only African president who spoke to his constituents in their language and found practical solutions to their issues, even meeting with them face-to-face.
This is a significant achievement, and he will be remembered by the electorate for a long time to come.
Mkuu I respect your opinion, and agree with you on the aspect of JPM handling individual issues on the street using sometimes vernacular language. He was good at lying and brainwashing the poor masses! In fact he carried the trophy on that!It seems that you view politics through an emotional lens rather than through a practical one, Mizania.
The legacy of Magufuli stands out as he was the only African president who spoke to his constituents in their language and found practical solutions to their issues, even meeting with them face-to-face.
This is a significant achievement, and he will be remembered by the electorate for a long time to come.
Na hayo wewe huyapendi?
Tayari wameshakuja mkuu kukupa mwonngozoNgoja nicomment haraka kabla ya Yule wa β Ngoja waje wakupe Mwongozoβ haja comment
Utapeli mwingine wa kisiasa unakuja.
Raha sana huu mtanange.Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii.
Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti kwenda na team Lowasa plus team JPM. Kwa kuzileta hizo team mbili karibu kuna uwezekano wa team Msoga kumalizwa mazima this time.
2025 ni mtihani mzito kwa chama kuliko hata 2015.
πππππποΈπHe was just a populist who knew how to manipulate the media and poor citizens and for that I'll give credit to him. However in reality he never believed what he stood for, fighting corruption on media whilst protecting the corrupt politburo in his party. Claimed to fund the multi-million dollar projects with internal funds from poor-man's taxes but on the contrary he left us with a burden in a form of humongous interest rates.
Had he been that popular as many claim he wouldn't tamper with the 2020 elections, but the opposition had made significant inroads and showed how he was a crony propagandist. For example Lissu was able to campaign against his "Machinga IDs" manipulations, imagine the president had lied that a mere ID without a picture or name would be used to access finance from formal institutions, can allow access to security funds and so on!! That alone swayed approval ratings from the "machingas/Micro-SMEs" who are majority in this country!!
Let's not give credit to propagandists who used lies and manipulations to consolidate power.
Mama yupo kazini. Kazi Inaendelea!Kwa sasa hali ipoje mkuu
Simchukii ila hizi propaganda sijui political analysis za ajabu sana. Yaani Samia ni Anti-JPM na Lissu ni Anti-JPM sasa hapo Samia atapoteza nini hata asipotafuta kura za Team JPM? Kwamba team JPM watampigia Lissu? Why wampigie ilihali hapendi siasa za JPM pia?Unaruhusiwa kimchukia JPM, ni haki yako.
Wafu mzikane wenyewe!Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii.