2025 Rais Samia ampa nguvu zaidi David Kafulila

Mimi ni CHADEMA ila mama Uchaguzi ukiisha na akashinda Mbowe mama nipokee tu CCM,😭😭
Huyu Rais anafanya mambo mazuri sana na hapendi rushwa kama MBOWE,
Wajumbe wakimchagua tu Mbowe nahamia CCM hii iwe wazi kabisa hapa.
CCM ni Ile Ile ....
 
To me kazi anazofanya Kafulila ni zaidi ya Waziri apongezwe, Mama Samia tuko na wewe
 
Kafulila sana, huyu jamaa chawa sana kwa Mama,
 
Kafulila naona safari ya kuuvizia Urais imeanza sio kwa masuti haya
 
Mimi ni CHADEMA ila mama Uchaguzi ukiisha na akashinda Mbowe mama nipokee tu CCM,😭😭
Huyu Rais anafanya mambo mazuri sana na hapendi rushwa kama MBOWE,
Wajumbe wakimchagua tu Mbowe nahamia CCM hii iwe wazi kabisa hapa.
acheni ufukunyuku kumbukeni ukatili na ushenzi wa ndugu zenu waliotekwa na kuuliwa hata hivi karibu alishushwa mtu kwenye basi la abiria hakurudi tena walimuua
 
Huyu mama nampenda sana, ameanza kuniingia moyoni
Mungu akubariki sana mama la mama
#MitanoTena
#2025-2035 ni MamaTu
siku ndugu yako au mtu katika familia yako ya karibu atakapotekwa na kuuliwa utakuja hapa na lugha nyengine, ccmu is not a good friend
 
Tanzània iko katika mikono salama sana ya Mama,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…