Robot Eunice
Senior Member
- May 19, 2024
- 140
- 78
Mimi ni Sina chama ila Mama na Kafulila nawakubali sanaHuyu mama nampenda sana, ameanza kuniingia moyoni
Mungu akubariki sana mama la mama
#MitanoTena
#2025-2035 ni MamaTu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni Sina chama ila Mama na Kafulila nawakubali sanaHuyu mama nampenda sana, ameanza kuniingia moyoni
Mungu akubariki sana mama la mama
#MitanoTena
#2025-2035 ni MamaTu
Wewe umejitambuaMimi ni Sina chama ila Mama na Kafulila nawakubali sana
Njoo CCM tufanye kaziMimi ni CHADEMA ila mama Uchaguzi ukiisha na akashinda Mbowe mama nipokee tu CCM,😭😭
Huyu Rais anafanya mambo mazuri sana na hapendi rushwa kama MBOWE,
Wajumbe wakimchagua tu Mbowe nahamia CCM hii iwe wazi kabisa hapa.
Karibu sana CCMMimi ni CHADEMA ila mama Uchaguzi ukiisha na akashinda Mbowe mama nipokee tu CCM,😭😭
Huyu Rais anafanya mambo mazuri sana na hapendi rushwa kama MBOWE,
Wajumbe wakimchagua tu Mbowe nahamia CCM hii iwe wazi kabisa hapa.
Wewe ni kama Mimi tuHuyu mama nampenda sana, ameanza kuniingia moyoni
Mungu akubariki sana mama la mama
#MitanoTena
#2025-2035 ni MamaTu
Samia ni mtu sanaYule ibilisi aliiharibu sana nchi.
Sijui alitumia dawa gani mpaka wajinga na wapumbavu wakampenda kiasi kile.
Samia ni mtu
Hongera sana Mama SamiaView attachment 3195468
==
Katika hotuba yake bora na ya kihistoria ya kufunga mwaka wa 2024 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameitangazia Tanzània na Dunia kuwa mwaka 2025 utakuwa ni mwaka ambao Serikali yake itajikita zaidi katika kuvuta na kutumia mitaji ya sekta binafsi katika kukuza Uchumi Jumuifu wa Taifa la Tanzània.
Mhe Rais Dkt Samia katika hotuba yake hiyo ameitaja miradi kadhaa ya mifano iliyoko chini ya PPPC ambayo imefikia hatua mbalimbali za Utekelezaji wake kama Mafanikio ya wazi ya Serikali anayoiongoza kwa Mafanikio ya awamu ya 6.
Rais anasema mpaka Sasa tuna jumla ya miradi 74 inayoendelea chini ya PPP na PPPC.
Mtakumbuka PPP Tanzània pamoja na uwepo wake kwenye Sheria kwa zaidi ya miaka 15 lakini haikuwahi kuwa na mradi yoyote serious isipokuwa Leo chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambae ndie anayesimamia sera zote za maendeleo kwenye nchi hii hakuna ubaya tukimpongeza kwa kumchagua tena Oct 2025.
Tanzània ni Kweli Tunaweza kubishana katika mambo mbalimbali lakini kamwe hatuwezi kubishana kuhusu utendaji kazi uliotukuka wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
#SAMIAMITANO TENA KWA MANUFAA YA WOTE
<<<<Msikilize mpaka mwisho hapa>>>>
View attachment 3194735
Rais Samia mitano tenaView attachment 3195468
==
Katika hotuba yake bora ya kihistoria ya kufunga mwaka wa 2024 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameitangazia Tanzània na Dunia kuwa mwaka 2025 utakuwa ni mwaka ambao Serikali yake itajikita zaidi katika kuvuta na kutumia mitaji ya sekta binafsi katika kukuza Uchumi Jumuifu wa Taifa la Tanzània.
Mhe Rais Dkt Samia katika hotuba yake hiyo ameitaja miradi kadhaa ya mifano iliyoko chini ya PPPC ambayo imefikia hatua mbalimbali za Utekelezaji wake kama Mafanikio ya wazi ya Serikali anayoiongoza kwa Mafanikio ya awamu ya 6.
Rais anasema mpaka Sasa tuna jumla ya miradi 74 inayoendelea katika hatua tofauti tofauti chini ya PPP na PPPC.
Mtakumbuka PPP Tanzània pamoja na uwepo wake kwenye Sheria kwa zaidi ya miaka 15 lakini haikuwahi kuwa na miradi yoyote "serious" isipokuwa leo chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambae ndie anayesimamia sera zote za maendeleo kwenye nchi hii hakuna ubaya tukimpongeza kwa kumchagua tena Oct 2025.
Tanzània ni Kweli Tunaweza kubishana katika mambo mbalimbali lakini kamwe hatuwezi kubishana kuhusu utendaji kazi uliotukuka wa Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan.
View attachment 3194735
====
Karibu sana CCM,Mimi ni CHADEMA ila mama Uchaguzi ukiisha na akashinda Mbowe mama nipokee tu CCM,😭😭
Huyu Rais anafanya mambo mazuri sana na hapendi rushwa kama MBOWE,
Wajumbe wakimchagua tu Mbowe nahamia CCM hii iwe wazi kabisa hapa.
DaaahNani alikwambia CHADEMA ni chama Cha siasa?😀
Hongera KafulilaView attachment 3195468
==
Katika hotuba yake bora ya kihistoria ya kufunga mwaka wa 2024 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameitangazia Tanzània na Dunia kuwa mwaka 2025 utakuwa ni mwaka ambao Serikali yake itajikita zaidi katika kuvuta na kutumia mitaji ya sekta binafsi katika kukuza Uchumi Jumuifu wa Taifa la Tanzània.
Mhe Rais Dkt Samia katika hotuba yake hiyo ameitaja miradi kadhaa ya mifano iliyoko chini ya PPPC ambayo imefikia hatua mbalimbali za Utekelezaji wake kama Mafanikio ya wazi ya Serikali anayoiongoza kwa Mafanikio ya awamu ya 6.
Rais anasema mpaka Sasa tuna jumla ya miradi 74 inayoendelea katika hatua tofauti tofauti chini ya PPP na PPPC.
Mtakumbuka PPP Tanzània pamoja na uwepo wake kwenye Sheria kwa zaidi ya miaka 15 lakini haikuwahi kuwa na miradi yoyote "serious" isipokuwa leo chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambae ndie anayesimamia sera zote za maendeleo kwenye nchi hii hakuna ubaya tukimpongeza kwa kumchagua tena Oct 2025.
Tanzània ni Kweli Tunaweza kubishana katika mambo mbalimbali lakini kamwe hatuwezi kubishana kuhusu utendaji kazi uliotukuka wa Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan.
View attachment 3194735
====
Mimi ni CHADEMA ila mama Uchaguzi ukiisha na akashinda Mbowe mama nipokee tu CCM,😭😭
Huyu Rais anafanya mambo mazuri sana na hapendi rushwa kama MBOWE,
Wajumbe wakimchagua tu Mbowe nahamia CCM hii iwe wazi kabisa
Dalali kafulila sijamuona kwenye picha wakati wa ku-sign uuzwaji Bandari ya Bagamoyo.View attachment 3195468
==
Katika hotuba yake bora ya kihistoria ya kufunga mwaka wa 2024 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameitangazia Tanzània na Dunia kuwa mwaka 2025 utakuwa ni mwaka ambao Serikali yake itajikita zaidi katika kuvuta na kutumia mitaji ya sekta binafsi katika kukuza Uchumi Jumuifu wa Taifa la Tanzània.
Mhe Rais Dkt Samia katika hotuba yake hiyo ameitaja miradi kadhaa ya mifano iliyoko chini ya PPPC ambayo imefikia hatua mbalimbali za Utekelezaji wake kama Mafanikio ya wazi ya Serikali anayoiongoza kwa Mafanikio ya awamu ya 6.
Rais anasema mpaka Sasa tuna jumla ya miradi 74 inayoendelea katika hatua tofauti tofauti chini ya PPP na PPPC.
Mtakumbuka PPP Tanzània pamoja na uwepo wake kwenye Sheria kwa zaidi ya miaka 15 lakini haikuwahi kuwa na miradi yoyote "serious" isipokuwa leo chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambae ndie anayesimamia sera zote za maendeleo kwenye nchi hii hakuna ubaya tukimpongeza kwa kumchagua tena Oct 2025.
Tanzània ni Kweli Tunaweza kubishana katika mambo mbalimbali lakini kamwe hatuwezi kubishana kuhusu utendaji kazi uliotukuka wa Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan.
View attachment 3194735
====
Ile kwani ni PPP halafu ule sio uuzwaji ni uwekezajiDalali kafulila sijamuona kwenye picha wakati wa ku-sign uuzwaji Bandari ya Bagamoyo.
Ila machadema mnazingua sanaMimi ni CHADEMA ila mama Uchaguzi ukiisha na akashinda Mbowe mama nipokee tu CCM,😭😭
Huyu Rais anafanya mambo mazuri sana na hapendi rushwa kama MBOWE,
Wajumbe wakimchagua tu Mbowe nahamia CCM hii iwe wazi kabisa hapa.
KAFULILA amshukuru sana marehemu JPM kwa kumtoa MISRI kwa Mafarao na kumfikisha hapo alipo KANAANI, he is now evidently looks healthier and happier than Ever😀View attachment 3195468
==
Katika hotuba yake bora ya kihistoria ya kufunga mwaka wa 2024 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameitangazia Tanzània na Dunia kuwa mwaka 2025 utakuwa ni mwaka ambao Serikali yake itajikita zaidi katika kuvuta na kutumia mitaji ya sekta binafsi katika kukuza Uchumi Jumuifu wa Taifa la Tanzània.
Mhe Rais Dkt Samia katika hotuba yake hiyo ameitaja miradi kadhaa ya mifano iliyoko chini ya PPPC ambayo imefikia hatua mbalimbali za Utekelezaji wake kama Mafanikio ya wazi ya Serikali anayoiongoza kwa Mafanikio ya awamu ya 6.
Rais anasema mpaka Sasa tuna jumla ya miradi 74 inayoendelea katika hatua tofauti tofauti chini ya PPP na PPPC.
Mtakumbuka PPP Tanzània pamoja na uwepo wake kwenye Sheria kwa zaidi ya miaka 15 lakini haikuwahi kuwa na miradi yoyote "serious" isipokuwa leo chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambae ndie anayesimamia sera zote za maendeleo kwenye nchi hii hakuna ubaya tukimpongeza kwa kumchagua tena Oct 2025.
Tanzània ni Kweli Tunaweza kubishana katika mambo mbalimbali lakini kamwe hatuwezi kubishana kuhusu utendaji kazi uliotukuka wa Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan.
View attachment 3194735
====
Kafulila ni mpigajiKafulila ameipamba sana hii PPP ngoja tuone kama kweli yaliyomo yamo