TaiPei
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 572
- 608
Kwani wametekwa na Samia mkuu?acheni ufukunyuku kumbukeni ukatili na ushenzi wa ndugu zenu waliotekwa na kuuliwa hata hivi karibu alishushwa mtu kwenye basi la abiria hakurudi tena walimuua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wametekwa na Samia mkuu?acheni ufukunyuku kumbukeni ukatili na ushenzi wa ndugu zenu waliotekwa na kuuliwa hata hivi karibu alishushwa mtu kwenye basi la abiria hakurudi tena walimuua
kazi yetu ni kuwatunzia kumbukumbu za viapo vyenu.Mimi ni CHADEMA ila mama Uchaguzi ukiisha na akashinda Mbowe mama nipokee tu CCM,😭😭
Huyu Rais anafanya mambo mazuri sana na hapendi rushwa kama MBOWE,
Wajumbe wakimchagua tu Mbowe nahamia CCM hii iwe wazi kabisa hapa.
Ingependeza sana pppc, EPZA na TIC kuwa taasisi mojaView attachment 3195468
==
Katika hotuba yake bora na ya kihistoria ya kufunga mwaka wa 2024 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameitangazia Tanzània na Dunia kuwa mwaka 2025 utakuwa ni mwaka ambao Serikali yake itajikita zaidi katika kuvuta na kutumia mitaji ya sekta binafsi katika kukuza Uchumi Jumuifu wa Taifa la Tanzània.
Mhe Rais Dkt Samia katika hotuba yake hiyo ameitaja miradi kadhaa ya mifano iliyoko chini ya PPPC ambayo imefikia hatua mbalimbali za Utekelezaji wake kama Mafanikio ya wazi ya Serikali anayoiongoza kwa Mafanikio ya awamu ya 6.
Rais anasema mpaka Sasa tuna jumla ya miradi 74 inayoendelea chini ya PPP na PPPC.
Mtakumbuka PPP Tanzània pamoja na uwepo wake kwenye Sheria kwa zaidi ya miaka 15 lakini haikuwahi kuwa na mradi yoyote serious isipokuwa Leo chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambae ndie anayesimamia sera zote za maendeleo kwenye nchi hii hakuna ubaya tukimpongeza kwa kumchagua tena Oct 2025.
Tanzània ni Kweli Tunaweza kubishana katika mambo mbalimbali lakini kamwe hatuwezi kubishana kuhusu utendaji kazi uliotukuka wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
#SAMIAMITANO TENA KWA MANUFAA YA WOTE
<<<<Msikilize mpaka mwisho hapa>>>>
View attachment 3194735
Kwa hiyo mtu akitekwa shida ni CCMsiku ndugu yako au mtu katika familia yako ya karibu atakapotekwa na kuuliwa utakuja hapa na lugha nyengine, ccmu is not a good friend
NimekuelewaKampeni zina mambo mengi sana na ya hovyo.
Hivi Chadema kuna nini cha kung'ang'ania kama umeridhika na sera za Ccm?
Yaani mkakati ulionao wewe ni kama mkristu anapotaka kuwatukana ama kuwakashifu waislam aseme: ... 'mimi ni muislamu, ninawaungu mkono sana wakristu kwa haya mambo ya hovyo wanayofanyiwa na viongozi wetu wa kiislamu'...
Wakati uamzi wa kuhama na kuunga mkono kunakokuridhisha unao na hakuna pingamizi?
Kutapunguza ufanisi mkuuIngependeza sana pppc, EPZA na TIC kuwa taasisi moja
Na sheria ya ppp ilivyo sasa haiibebi sana serikali ndio maana hwdi sasa they have very little to show for
Mfumo na muundo wa ppp Leo hauwezi kulikwamua taifa - pia we need practical solutions na sio reference to sheria kanuni na taratibu when it comes to executions ya strategic projects
Wapi hukoZile kilometer 2000 za barabara alizozindua huyo Tumbili mwaka 2022 zipo wapi?
Si KweliKutapunguza ufanisi mkuu
Ingia YouTube utamwona huyo Tumbili akizindua ujenzi wa miradi hewa ya barabara za PPPWapi huko
wewe unaonajeKwa hiyo mtu akitekwa shida ni CCM
Ni swali zuri ila hata majambazi tu yanateka wenginewewe unaonaje
Duuh ngoja tuoneMimi ni CHADEMA ila mama Uchaguzi ukiisha na akashinda Mbowe mama nipokee tu CCM,😭😭
Huyu Rais anafanya mambo mazuri sana na hapendi rushwa kama MBOWE,
Wajumbe wakimchagua tu Mbowe nahamia CCM hii iwe wazi kabisa hapa.
Hahaha Team Lisu hata hamjielewi, Mnasema Mbowe anapewa Rushwa na Abdul Na Mama yake, halafu unasema huyu mama hapendi rushwa kama Mbowe?Mimi ni CHADEMA ila mama Uchaguzi ukiisha na akashinda Mbowe mama nipokee tu CCM,😭😭
Huyu Rais anafanya mambo mazuri sana na hapendi rushwa kama MBOWE,
Wajumbe wakimchagua tu Mbowe nahamia CCM hii iwe wazi kabisa hapa.
Akikujibu nishtueNani alikwambia CHADEMA ni chama Cha siasa?😀
Ulivyolishwa tu, ukiambiwa nyeusi madam umeambiwa ni yeupe utasema ni nyeupe tuNi swali zuri ila hata majambazi tu yanateka wengine
Kafulila mwamba sana ni kati ya Vijana makini sana Kwenye Taifa hiliView attachment 3195468
==
Katika hotuba yake bora na ya kihistoria ya kufunga mwaka wa 2024 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameitangazia Tanzània na Dunia kuwa mwaka 2025 utakuwa ni mwaka ambao Serikali yake itajikita zaidi katika kuvuta na kutumia mitaji ya sekta binafsi katika kukuza Uchumi Jumuifu wa Taifa la Tanzània.
Mhe Rais Dkt Samia katika hotuba yake hiyo ameitaja miradi kadhaa ya mifano iliyoko chini ya PPPC ambayo imefikia hatua mbalimbali za Utekelezaji wake kama Mafanikio ya wazi ya Serikali anayoiongoza kwa Mafanikio ya awamu ya 6.
Rais anasema mpaka Sasa tuna jumla ya miradi 74 inayoendelea chini ya PPP na PPPC.
Mtakumbuka PPP Tanzània pamoja na uwepo wake kwenye Sheria kwa zaidi ya miaka 15 lakini haikuwahi kuwa na mradi yoyote serious isipokuwa Leo chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambae ndie anayesimamia sera zote za maendeleo kwenye nchi hii hakuna ubaya tukimpongeza kwa kumchagua tena Oct 2025.
Tanzània ni Kweli Tunaweza kubishana katika mambo mbalimbali lakini kamwe hatuwezi kubishana kuhusu utendaji kazi uliotukuka wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
#SAMIAMITANO TENA KWA MANUFAA YA WOTE
<<<<Msikilize mpaka mwisho hapa>>>>
View attachment 3194735
Alitoka kuwananga ccm halafu akaenda kujipendekeza kulinda ugali watanganyika njaa sanaKafulila mwamba sana ni kati ya Vijana makini sana Kwenye Taifa hili