2025 Rais Samia ampa nguvu zaidi David Kafulila

acheni ufukunyuku kumbukeni ukatili na ushenzi wa ndugu zenu waliotekwa na kuuliwa hata hivi karibu alishushwa mtu kwenye basi la abiria hakurudi tena walimuua
Kwani wametekwa na Samia mkuu?
 
Mimi ni CHADEMA ila mama Uchaguzi ukiisha na akashinda Mbowe mama nipokee tu CCM,😭😭
Huyu Rais anafanya mambo mazuri sana na hapendi rushwa kama MBOWE,
Wajumbe wakimchagua tu Mbowe nahamia CCM hii iwe wazi kabisa hapa.
kazi yetu ni kuwatunzia kumbukumbu za viapo vyenu.
 
Ingependeza sana pppc, EPZA na TIC kuwa taasisi moja

Na sheria ya ppp ilivyo sasa haiibebi sana serikali ndio maana hwdi sasa they have very little to show for

Mfumo na muundo wa ppp Leo hauwezi kulikwamua taifa - pia we need practical solutions na sio reference to sheria kanuni na taratibu when it comes to executions ya strategic projects
 
Zile kilometer 2000 za barabara alizozindua huyo Tumbili mwaka 2022 zipo wapi?
 
Nimekuelewa
 
Kutapunguza ufanisi mkuu
 
Kutapunguza ufanisi mkuu
Si Kweli

Ufanisi unapungua sasa because you have to wonder around many entities
If planning commission ni moja nchi nzima, why tuwe na investment, ppp na export processing authority as different entities?

In total how many staff Wapo wkenye hizo taasisi? Why not one entity?

Do we need 3 CEOs?
 
Mimi ni CHADEMA ila mama Uchaguzi ukiisha na akashinda Mbowe mama nipokee tu CCM,😭😭
Huyu Rais anafanya mambo mazuri sana na hapendi rushwa kama MBOWE,
Wajumbe wakimchagua tu Mbowe nahamia CCM hii iwe wazi kabisa hapa.
Duuh ngoja tuone
 
Hahaha Team Lisu hata hamjielewi, Mnasema Mbowe anapewa Rushwa na Abdul Na Mama yake, halafu unasema huyu mama hapendi rushwa kama Mbowe?

Juzi hapa Lisu alikuwa anazunguka Nchi nzima akituambia Samia amekula rushwa kwa muwekezaji DP world, na pesa zimemwagwa nchi nzima kuwafunga watu midomo, MMESha sahau leo mnasema hapendi rushwa?

Tuna waambia Lisu anaropoka hovyo hafai kuwa kiongozi hamuelewi, kama Kelele za DP World alizokuwa anapiga, hizi za rushwa ya Abdul, na Mama yake nazo ni za UONGO, sasa kwanini mnamtetea?
 
Kafulila mwamba sana ni kati ya Vijana makini sana Kwenye Taifa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…