2025 Rais Samia ampa nguvu zaidi David Kafulila

Kundi la CDM na kundi la CCM lipi ni Bora?
 
Chadema ni chama Cha siasa CCM Sio chama ila kundi la watu walioamua kuwakandamiza watanzania
CCM wamekukandamiza sehemu gani? na CHADEMA wamekupa relief sehemu gani uliyokandamizwa? Hujui kama Hawa ni colleagues enjoying their business and you're unnecessarily suffering?Live your life pls!!
 
Samia apewe mitano tena
 
Mimi ni CHADEMA ila mama Uchaguzi ukiisha na akashinda Mbowe mama nipokee tu CCM,😭😭
Huyu Rais anafanya mambo mazuri sana na hapendi rushwa kama MBOWE,
Wajumbe wakimchagua tu Mbowe nahamia CCM hii iwe wazi kabisa hapa.
Ila CHADEMA ni wasumbufu sana
 
Kafulila fanya kazi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…