2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

CCM ni Chama, Mgombea ni wa Chama, Chama kina stronghold nyingi,Chama ni wanachama, Mh. Rais Samia akisimama kama Mgombea wa Chama ni kazi ya chama kuhakikisha kuwa anashinda.
Kupanda kwa bei sio matokeo ya Rais Samia, Bei zilipanda wakati wa Nyerere na pia hali ilikuwa ngumu sana kiasi ambacho watu walivaa magunia, walifua kwa sabuni za majani ya mpapai, Wakati wa ruksa pia sio kila mtu alikuwa na hali bora, Wakati wa mkapa mambo hayakuwa Rahisi, Hata wakati wa Kikweye kuna watu walilala na njaa wakati wengine wanashiba. Wakati wa Mzee baba ndio usiseme kila mtu alkuwa anadai hali ngumu.
Kwa hiyo acha kumbagua Samia, Inlfation upanda na kushuka, ila hii ya sasa lazima itakuwa zaidi maana imegusa kwenye Mafuta, na Mafuta ndio nyenzo ya kila bidhaa na uzalishaji na usambazaji bidhaa.
Vita ya Ukraine kila mtu anataharuki, Mkubwa wetu Marekani hali ya mafuta mbaya, karibu dunia nzima.
Na Tanzania ni sehemu ya Dunia hatuwezi kujitenga na matatizo.
 
Mimi ni shabiki na mwanaCCM kindakindaki ninayeishi Kanda ya Ziwa na simuungi mkono SSH. Lakini, iwapo SSH atapitishwa na chama kugombea Urais 2025, nitapambana kuhakikisha yeye na CCM wanashinda kwa kishindo kwaaababu Mwl. Nyerere aliwahi kutwambia Watanzania ya kwamba BILA CCM IMARA NCHI ITAYUMBA!
 
Don't dream mchana.

CCM bado kuondoka madarakani.

Jina lao ni lazima lipite.

Tena ameshajiongeza kaweka wa goli la mkono,

Wabunge upinzani watakuwa wengi, ila huko juu ni SIRI KUU
Anaweza akaondoka asee wananchi wananchukia sn
 
Una bariki vitu kupanda? hakuna cha maana anachokifanya
 
Kuichagua CCM lazima uwe unaishi kwenye nyumba ya tembe
 
Hii bei ya Sasa ya mafuta kwenye soko la dunia mbona ilishawahi kuwepo hapo zamani kidogo Ila mafuta hatukununua 2500 kwa Lita?
 
Ikiwa Magufuli mwenyewe alishindwa uchaguzi wa 2015 na Lowassa, huyu mama hatoboi hata
 
Maza ako yupo Ikulu? mtakaa kwenye tembe mpaka mpate akili
Ebu njoo hapa Moshi unywe K Vant utulize akili maana ninyi mliozaliwa kwenye umaskini na kupata kidogo baadae huwa shida sana. Ungekuwa kama mimi ninayeishi kijijini Rubambangwe Chato na sasa hivi nipo Moshi natembea tu nakula maisha si ungekuwa unatukana kila mtu! Njoo Keys Hotel hapa unywe K Vant nyau wewe!!!
 

Hizo sababu ni za mbali sana huku ukiaacha sababu yenye nguvu na iliyo wazi na rahisi kueleweka hata kwa mtoto mdogo wa darasa la nne

Huyu ni MZANZIBARI raia wa nchi nyingine inayoitwa ZANZIBAR.

Ni UJINGA na ni UPUMBAVU raia wa nchi ya kigeni kupewa nafasi kuongoza raia wa nchi nyingine. Hili haliwezekani na kila Mtanganyika anakerwa sana na hii hali!!

Hata ndani ya CCM kama ni wa kweli wa nafsi zao, hili linawakera na haliwapendezi kabisa.

Na ndiyo maana mwaka jana baada ya kifo cha Magufuli, ilitaka kuleta mgogoro wa kikatiba kwani ndani ya CCM na serikalini, baadhi walikuwa wakitaka huyu Mzanzibari tena Mwanamke asipewe nchi!!

Lakini kwa kuiheshimu katiba, wakalazimika kumpa kwa makubaliano kuwa aachwe amalize awamu hii kisha mwaka 2025 arudishwe zake kwao Zenj

Kwa hiyo huyu hawezi kugombea achilia mbali kushinda.

Akilazimisha awe mgombea, basi mgogoro mkubwa sana utaanzia ndani ya CCM na watanyukana na kuraruana wenyewe kwa wenyewe na wataishia kugawana fito..

Ikitokea hili, heri ya upinzani kina CHADEMA maana njia itakuwa nyeupe kabisa kushinda uchaguzi na kuongoza dola ya nchi hii..!!

Na tuwaonye wanaCCM mapema kabisa kuwa, UHUNI WA 2019 wa uchaguzi wa serikali za mitaa na UHUNI WA 2020 wa uchaguzi Mkuu wasidhani kabisa kuwa wataufanya tena

Nawahakikishia LEO HII kuwa, TUMEKATAA kuanzia sasa na MUNGU KAMWE HAWEZI KURUHUSU HIAYO KUTOKEA vinginevyo wakae mkao wa kuumia wao na kupotea kabisa.

ONYO LILISHAANZA kutolewa kwa kiongozi mkuu wa UCHAFUZI MKUU WA 2020 Mwendazake J. P. Magufuli kuondolewa duniani kwa kifo kibaya na cha aibu kwa sababu ya kunyanyasa na kuwatendea vibaya ikiwemo kuwajeruhi na kusimamia mauaji ya watu wa nchi ya Mungu

Kama wana akili, watakuwa wamejifunza lakini kama kuna mwingine anataka kufa, afanye kama alivyofanya Pombe Magufuli 2020. NASEMA HAKIKA ATAKUFA!!!
 
Mleta mada uliyosema hayakanushiki.... Strong hold yake ni CCM ... ambapo ipo vipande vipande ..... Hakuna block kamili ya uchaguzi....
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚
Endeleeni kujitutumua maisha si yenu bana acha mafuta yafike laki 9 kwa dumu la litre 20 tutaheshimiana tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23]
Endeleeni kujitutumua maisha si yenu bana acha mafuta yafike laki 9 kwa dumu la litre 20 tutaheshimiana tu
Hiyo siyo kwa Tanzania tu,ni issue ya Dunia nzima hivyo haiwapi wapinzani credit za kisiasa.
 
Hopeless
 
Chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…