2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

Bila Katiba mpya tume ni lazima itamtangaza. N. B. Ni lazima imtangaze tume yetu ni huru kwenye makaratasi tu kiuharisia ni chombo kinachomilikiwa na Rais
 
Iko wazi kabisa , sema mama hana shaka akianguka anarudi zake Kisiwandui , kazi ni kwa hao Mamluki wa Tanganyika
 
CCM wanalijua Hilo ndio maana Kuna mtu alisemaga ,'watatumia dola kubaki kwenye dola' mwingine akasema watashinda hata kwa bao la mkono.

CCM wanajua hawana ideas za kuendesha nchi that is why they are beating about the bush.
 
Bila Katiba mpya tume ni lazima itamtangaza. N. B. Ni lazima imtangaze tume yetu ni huru kwenye makaratasi tu kiuharisia ni chombo kinachomilikiwa na Rais
Ndo maana nimesema uchaguzi huru na haki hatoboi
 
CCM wanalijua Hilo ndio maana Kuna mtu alisemaga ,'watatumia dola kubaki kwenye dola' mwingine akasema watashinda hata kwa bao la mkono.

CCM wanajua hawana ideas za kuendesha nchi that is why they are beating about the bush.
Kabisa mkuu, ukiangalia mikutano ya wabunge wa CCM utawaonea huruma[emoji1]
 
Kwani uchaguzi uliopita mzee yule alishinda?
 
Angalia iyo tikiti Sasa ajira12 elfu Ni nusu ya ajira 46elfu,,Samia ashaferi vibaya
Kwani Samia amekaa madarakani miaka mingapi?? Kwa taarifa yako atake asitake tutamlazimisha atawale milele.
 
Don't dream mchana.

CCM bado kuondoka madarakani.

Jina lao ni lazima lipite.

Tena ameshajiongeza kaweka wa goli la mkono,

Wabunge upinzani watakuwa wengi, ila huko juu ni SIRI KUU
Umezaliwa mjini, ukasoma soma mjini, unaganga njaa mjini utasema unayajuwa maisha wew.., tembea uone kijana raia walivyobadilika, si mjini wala kijijini raia wameshanawa uso.
 
Anashinda vizuri sana....wabunge ndio wa kugawana...
 
Samia akiendelea kutafuta pesa na kuzitumia kwa wananchi kama anavyofanya sasa hiyo 2025 atapeta kama anamsukuma mlevi.

Kuna siasa halisi za huko kwa wapiga kura na zile za humu jukwaani. Hizo ni siasa za aina mbilii tofauti.
 
Kwa tume huru hachomoki hata kwa Kuloga.
 
Acha uongo. Watanzania wako vizuri sana.

Unadhani Jpm kukodi vikosi vya kubeba mabox ya kura alikuwa mjinga?

Alijua kwa uhuru na usawa hachomoki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…