2pac alifanya harakati za kudai haki na kuelimisha jamii, Notorious Big aliedanganya maisha yake na kuimba uhuni pekee, anamsogelea kwa kipi?

Hii ilikuwa ni rumour na ilishakanushwa. Hata ingekuwa ni kweli, Jay is a businessman. Tupac's catalogue is worth billions. By the way, uvumi ulikuwa kwamba alitaka kununua catalogue ya nyimbo ambazo zilikuwa hazijatolewa bado (unreleased).
 
Mkuu umeielewa point yangu lakini!?

Ok acha nikukumbushe. Point ni kwamba Jay kuna kitu alikiona kwenye mziki wa PAC, ndo maana alitaka kufanya hivyo. Anyway najua ni uvumi ulizagaa hapo around 2015 lakini main point ni hiyo hapo
 
Soma tena post yangu. Nimesema na nanukuu "Tupac's catalogue is worth billions". Ndio kitu ambacho Jay alichokiona. Kama ulikuwa hujui Jay is all about business.
 
Tuulize swali la msingi, una uhakika wa milo yako mitatu? Mchana umekula ama umepiga ndefu?
 
Sema old is GOLD wazee hivi hawa madogo wa gen z na hizi bubble gum rap (trap) zao mnawaelewa kweli wakuu sky soldier , Gentlemen_ Mudimkushi
Mumble rapper wana trend sana sema hamna cha maana wengi Wana sound the same young thug, future, lil pump, kodak, Trippie Redd, lil baby na Migos. Ndio maana Pac, Biggie, ice cube na wakali wengine wanaongelewa hadi leo ni miaka mingi imepita
 
Point of correction
At some point Pac was slingin cocaine too.
 
03 Bonnie and Clyde ni replica ya 96 me and my girlfriend ya boss playa Pac
 
mstari wa mwisho umekaa vizuri sana!

nice!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Mumble rapper wana trend sana sema hamna cha maana wengi Wana sound the same young thug, future, lil pump, kodak, Trippie Redd, lil baby na Migos. Ndio maana Pac, Biggie, ice cube na wakali wengine wanaongelewa hadi leo ni miaka mingi imepita
hahah nimekumbuka kuna video flani snoopy anawapopoa sana madogo pembeni yake 50 hana mbavu. Imagine kuna madogo nowdays wanadiss 90s hip hop, i wonder.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…