2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Dressing up tryin be us - Hit em upNotorious Big - gangsta msafi mjanja
Tupaki - msela mavi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dressing up tryin be us - Hit em upNotorious Big - gangsta msafi mjanja
Tupaki - msela mavi
Hii ilikuwa ni rumour na ilishakanushwa. Hata ingekuwa ni kweli, Jay is a businessman. Tupac's catalogue is worth billions. By the way, uvumi ulikuwa kwamba alitaka kununua catalogue ya nyimbo ambazo zilikuwa hazijatolewa bado (unreleased).Sijajua kwanini Jay-Z alitaka kununua hati miliki ya ngoma zote za 2PAC! Anyway ni mfanya biashara yule nadhani kuna kitu alikiona kwenye mziki wa PAC.
This is to show that PAC was ahead of BIGGIE!
Nipo hapa nasikiliza "ghetto gospel", namuenzi muhuni kidogo
Wakija Tupac stans watakuua Mkuu.Notorious Big - gangsta msafi mjanja
Tupaki - msela mavi
Mno..Biggie small ana flow lakini kaachwa mbali na pac
Mkuu umeielewa point yangu lakini!?Hii ilikuwa ni rumour na ilishakanushwa. Hata ingekuwa ni kweli, Jay is a businessman. Tupac's catalogue is worth billions. By the way, uvumi ulikuwa kwamba alitaka kununua catalogue ya nyimbo ambazo zilikuwa hazijatolewa bado (unreleased).
Soma tena post yangu. Nimesema na nanukuu "Tupac's catalogue is worth billions". Ndio kitu ambacho Jay alichokiona. Kama ulikuwa hujui Jay is all about business.Mkuu umeielewa point yangu lakini!?
Ok acha nikukumbushe. Point ni kwamba Jay kuna kitu alikiona kwenye mziki wa PAC, ndo maana alitaka kufanya hivyo. Anyway najua ni uvumi ulizagaa hapo around 2015 lakini main point ni hiyo hapo
Tuulize swali la msingi, una uhakika wa milo yako mitatu? Mchana umekula ama umepiga ndefu?View attachment 2762707View attachment 2762709
Huyu alikulia hood mitaa iliyojaa msoto, uhalifu na umasikini, wazazi wake walikuwa kundi la black oanthers wanaharakati wa kupigania haki za wamarekani weusi, ni kundi lililokuwa likisakwa kila kukicha na serikali na hata punde alipozaliwa mama yake alikuwa na kesi kama 50 zs uchochezi, kalelewa na ndugu tofauti tofauti ambao nao walikuwa black panthers maana baba yake hakuwepo na mama yake stress zilimsomba aingie kwenye madawa, hata ndugu alioishi nao wengi walipewa kesi za kufungwa jela, nae alibeba vitu vitu kwenye suala la kuwa mtetezi wa haki.
Tangu utotoni alipenda sana kusomea uandishi wa mashairi pamoja na kuigiza
2pac aliweza kufanya kazi kibao kudai haki, kuelimisha jamii, kutoa postive motivation, n.k. ilikuwa ni ndani ya damu yake kwa maisha aliyopitia na watu waliomkuza, waweza kumsikilizisha hata mtoto wako baadhi ya nyimbo zake apate cha kujifunza.
Changes ilikuwa kazi ya kiharakati kutetea haki za mtu mweusi, kukemea ubaguzi na kuhamasisha umoja wa watu weusi.
Dear mama ilitoa fundisho kuwa mama ni mama tu hata akiwa na mapungufu yake (mama yake alikuwa teja)
Only God can judge me alitoa ujumbe maridhawa kwamba ni Mungu pekee wa kumhukumu kikamilifu,
Brenda got a baby ilikemea mimba za utotoni.
A letter to my unborn child anatoa ramani kwa mtoto anaezaliwa kuwa mmarekani mweusi kwa magumu inayobidi ajiandae kuyapitia pamoja na kuwaasa waepukane na maisha ya usela ili kuepukana na hatari za kwenda jela ama kufa.
Keep ya head high ni bonge la postive inspiration kujua thamani yako.
Wonder why they call you bitch ilitoa darasa kwa dada zetu tabia za kujiepusha ili wasijishushe thamani.
2pac nae alikuwa muhuni japo ilikuwa ni mpaka umchokonoe, Biggie aliwahi kumtesti kilochotokea 2pac alimchapia dem wake na kumtolea diss track iliyovunja rekodi - hit em up.
hizo ni chache tu.........
View attachment 2762702
View attachment 2762708
Ukija kwa Notorious Big, kwanza kabisa anadanganya kwamba aliishi maisha magumu wakati kiuhalisia hakulelewa maisha ya kitajiri ila sio haba aliishi maisha walau ya kati, mama yake alikuwa na kazi ya ualimu, Big alisomeshwa shule private, aliishi mitaa yenye hadhi ya wastan hakuishi hood kama 2pac, n.k. hali yake ilimpa wepesi kujuana na kina pdiddy, mama yake alikuwa anachukia sana kamlea vizuri ila yeye anadanganya kakulia kwenye shida
Big nyimbo kibao anaimba kubrag (kujisifia), bata, kudanganya aliishi maisha magumu, kusifia kuuza madawa kama njia sahihi ya kuhaso, n.k.
Big ufalme wake upo kwenye ku flow kama maji na fleva ya jinsi anaflow hata kama hujui lugha una enjoy kusikiliza, anaimba usela lakini alivyopangilia maneno yake ni burudani masikioni, kumbuka shuleni alifanya vizuri zaidi somo la kiingereza huenda hii ilisaidia kujua kupanga flow zake, kazi zake kama ten crack commandments anafundisha namna ya kuuza madawa lakini anavyo flow kama maji waweza kuweka kando ujumbe wake ujikite na flow yake, kazi nyingine kama big poppa kaimba bata na madem ameflow kama maji, aliwahi pia kufanya kazi na eminem -dead wrong kwa hakika aliflow kama maji japo ujumbe wake ni kubaka, kupora wanawake, kupiga mwanamke na kuua.
Huwa wanasema kazi zake za juicy na sky is the limit zina ujumbe, huo ujumbe ni upi ?
Juicy kaweka wazi mafanikio aliyopata kwenye mziki yamempa mkwanja wa kufanya umalaya na kupiga pamba kali, sioni cha kuelimisha hapo zaidi ya kujitamba.
Sky is the limit humo kaendeleza uongo wake kwamba alikulia maisha ya kimasikini, kasifia kwamba kuuza madawa ya kulevya kuna mkwanja kiasi aliamua kuacha shule ili ajifunze kuyauza, n.k.
Hahah washamvaa tayari. Huoni wanavyompopoa pac alikuwa mwanaharakati the same kwa wanae hapa haha hawaguswi.Wakija Tupac stans watakuua Mkuu.
Mumble rapper wana trend sana sema hamna cha maana wengi Wana sound the same young thug, future, lil pump, kodak, Trippie Redd, lil baby na Migos. Ndio maana Pac, Biggie, ice cube na wakali wengine wanaongelewa hadi leo ni miaka mingi imepitaSema old is GOLD wazee hivi hawa madogo wa gen z na hizi bubble gum rap (trap) zao mnawaelewa kweli wakuu sky soldier , Gentlemen_ Mudimkushi
Point of correctionHoja yako ni nini? Kwa sababu Pac na Biggie huwa wanafananishwa kwa uwezo wao kimuziki. Sio walikulia wapi na kulelewa vipi. Anyway, lets break down your points.
1. Tupac was hood, Biggie was not.
-Huu ni upotoshaji. Biggie aliishi Bedford-Stuyvesant, Brooklyn au kama wenyewe wanavyoita Bed Stuy, huko sio ushuani, ni uswahilini kama Harlem ambako Pac aliishi kabla hajahamia Bartimore. So he was as much hood as Pac. Mama yake kuwa mwalimu hakufanyi awe wa kishua. As a matter of fact Biggie alifanya vitu vingi zaidi vya kihuni kuliko Pac mfano kuuza madawa ya kulevya n.k
2. Aina ya nyimbo walizoimba
-Umetaja nyimbo chache za Pac ambazo zina "ujumbe" na kudai kwamba Biggie nyimbo zake za Sky Is The Limit na Juicy ni stori za uongo. Hoja kwamba nyimbo za Biggie zilikuwa za uongo na za Pac ni za ukweli ni suala la perspective. Rappers wengi huwa ni story tellers, wanasimulia kinachotokea kwenye mazingira yao. Sio lazima iwe personal. Tafuta nyimbo nyingine za Biggie kama Ten Crack Commandments na Missing You usikilize, Biggie alikuwa master story teller. Umesema kwamba Biggie alikuwa anaimba nyimbo nyingi za ku-bragg, which is true lakini hujasema kwamba Pac naye ana nyimbo nyingi tu za kujisifu and other stuff that rappers usually talk about. Mfano ni I Get Around na Toss It Up.
3. Kusoma
-Kuna mahali umesema kwamba Biggie alisoma mpaka high school, which is true, lakini Pac kasoma mpaka college (Bartimore School of Arts).
Narudia tena, wasanii hawa wawili maarufu huwa wanafananishwa kimuziki kwa sababu ndio kitu ambacho ni common kwao. Ukitoka nje ya muziki hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
03 Bonnie and Clyde ni replica ya 96 me and my girlfriend ya boss playa PacSijajua kwanini Jay-Z alitaka kununua hati miliki ya ngoma zote za 2PAC! Anyway ni mfanya biashara yule nadhani kuna kitu alikiona kwenye mziki wa PAC.
This is to show that PAC was ahead of BIGGIE!
Nipo hapa nasikiliza "ghetto gospel", namuenzi muhuni kidogo
Biggie alikuwa mkali katika word play,(,kucheza na maneno)Biggie small ana flow lakini kaachwa mbali na pac
Bitches bring liesPac anangoma naikubali sana
All eyez on me
Anakwambia "money bring bitches and bitch bring love
mstari wa mwisho umekaa vizuri sana!Now I'm lost and I'm weary, so many tears
I'm suicidal, so don't stand near me
My every move is a calculated step to bring me closer
To embrace an early death, now there's nothin' left
There was no mercy on the streets, I couldn't rest
I'm barely standin', bout to go to pieces, screamin', "peace"
And though my soul was deleted, I couldn't see it
I had my mind full of demons tryin' to break free
They planted seeds and they hatched, sparkin' the flame
Inside my brain like a match, such a dirty game
No memories, just a misery
Paintin' a picture of my enemies killin' me in my sleep
Will I survive til the mornin' to see the sun?
Please Lord, forgive me for my sins, 'cause here I come
Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao
Kila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo japo hakua mwanae ila alikuwa na urafiki na mama yake Rommy. Hivyo hivyo kwa huyu bwana mdogo Yaki...www.jamiiforums.com
hahah nimekumbuka kuna video flani snoopy anawapopoa sana madogo pembeni yake 50 hana mbavu. Imagine kuna madogo nowdays wanadiss 90s hip hop, i wonder.Mumble rapper wana trend sana sema hamna cha maana wengi Wana sound the same young thug, future, lil pump, kodak, Trippie Redd, lil baby na Migos. Ndio maana Pac, Biggie, ice cube na wakali wengine wanaongelewa hadi leo ni miaka mingi imepita
Mumble rappershahah nimekumbuka kuna video flani snoopy anawapopoa sana madogo pembeni yake 50 hana mbavu. Imagine kuna madogo nowdays wanadiss 90s hip hop, i wonder.
they stackin' loot though.Mumble rappers
Migos and all of em
Yesthey stackin' loot though.