2pac alifanya harakati za kudai haki na kuelimisha jamii, Notorious Big aliedanganya maisha yake na kuimba uhuni pekee, anamsogelea kwa kipi?

2pac alifanya harakati za kudai haki na kuelimisha jamii, Notorious Big aliedanganya maisha yake na kuimba uhuni pekee, anamsogelea kwa kipi?

Sijajua kwanini Jay-Z alitaka kununua hati miliki ya ngoma zote za 2PAC! Anyway ni mfanya biashara yule nadhani kuna kitu alikiona kwenye mziki wa PAC.

This is to show that PAC was ahead of BIGGIE!

Nipo hapa nasikiliza "ghetto gospel", namuenzi muhuni kidogo
Hii ilikuwa ni rumour na ilishakanushwa. Hata ingekuwa ni kweli, Jay is a businessman. Tupac's catalogue is worth billions. By the way, uvumi ulikuwa kwamba alitaka kununua catalogue ya nyimbo ambazo zilikuwa hazijatolewa bado (unreleased).
 
Hii ilikuwa ni rumour na ilishakanushwa. Hata ingekuwa ni kweli, Jay is a businessman. Tupac's catalogue is worth billions. By the way, uvumi ulikuwa kwamba alitaka kununua catalogue ya nyimbo ambazo zilikuwa hazijatolewa bado (unreleased).
Mkuu umeielewa point yangu lakini!?

Ok acha nikukumbushe. Point ni kwamba Jay kuna kitu alikiona kwenye mziki wa PAC, ndo maana alitaka kufanya hivyo. Anyway najua ni uvumi ulizagaa hapo around 2015 lakini main point ni hiyo hapo
 
Mkuu umeielewa point yangu lakini!?

Ok acha nikukumbushe. Point ni kwamba Jay kuna kitu alikiona kwenye mziki wa PAC, ndo maana alitaka kufanya hivyo. Anyway najua ni uvumi ulizagaa hapo around 2015 lakini main point ni hiyo hapo
Soma tena post yangu. Nimesema na nanukuu "Tupac's catalogue is worth billions". Ndio kitu ambacho Jay alichokiona. Kama ulikuwa hujui Jay is all about business.
 
View attachment 2762707View attachment 2762709

Huyu alikulia hood mitaa iliyojaa msoto, uhalifu na umasikini, wazazi wake walikuwa kundi la black oanthers wanaharakati wa kupigania haki za wamarekani weusi, ni kundi lililokuwa likisakwa kila kukicha na serikali na hata punde alipozaliwa mama yake alikuwa na kesi kama 50 zs uchochezi, kalelewa na ndugu tofauti tofauti ambao nao walikuwa black panthers maana baba yake hakuwepo na mama yake stress zilimsomba aingie kwenye madawa, hata ndugu alioishi nao wengi walipewa kesi za kufungwa jela, nae alibeba vitu vitu kwenye suala la kuwa mtetezi wa haki.

Tangu utotoni alipenda sana kusomea uandishi wa mashairi pamoja na kuigiza

2pac aliweza kufanya kazi kibao kudai haki, kuelimisha jamii, kutoa postive motivation, n.k. ilikuwa ni ndani ya damu yake kwa maisha aliyopitia na watu waliomkuza, waweza kumsikilizisha hata mtoto wako baadhi ya nyimbo zake apate cha kujifunza.

Changes ilikuwa kazi ya kiharakati kutetea haki za mtu mweusi, kukemea ubaguzi na kuhamasisha umoja wa watu weusi.

Dear mama ilitoa fundisho kuwa mama ni mama tu hata akiwa na mapungufu yake (mama yake alikuwa teja)

Only God can judge me alitoa ujumbe maridhawa kwamba ni Mungu pekee wa kumhukumu kikamilifu,

Brenda got a baby ilikemea mimba za utotoni.

A letter to my unborn child anatoa ramani kwa mtoto anaezaliwa kuwa mmarekani mweusi kwa magumu inayobidi ajiandae kuyapitia pamoja na kuwaasa waepukane na maisha ya usela ili kuepukana na hatari za kwenda jela ama kufa.

Keep ya head high ni bonge la postive inspiration kujua thamani yako.

Wonder why they call you bitch ilitoa darasa kwa dada zetu tabia za kujiepusha ili wasijishushe thamani.

2pac nae alikuwa muhuni japo ilikuwa ni mpaka umchokonoe, Biggie aliwahi kumtesti kilochotokea 2pac alimchapia dem wake na kumtolea diss track iliyovunja rekodi - hit em up.

hizo ni chache tu.........

View attachment 2762702
View attachment 2762708

Ukija kwa Notorious Big, kwanza kabisa anadanganya kwamba aliishi maisha magumu wakati kiuhalisia hakulelewa maisha ya kitajiri ila sio haba aliishi maisha walau ya kati, mama yake alikuwa na kazi ya ualimu, Big alisomeshwa shule private, aliishi mitaa yenye hadhi ya wastan hakuishi hood kama 2pac, n.k. hali yake ilimpa wepesi kujuana na kina pdiddy, mama yake alikuwa anachukia sana kamlea vizuri ila yeye anadanganya kakulia kwenye shida

Big nyimbo kibao anaimba kubrag (kujisifia), bata, kudanganya aliishi maisha magumu, kusifia kuuza madawa kama njia sahihi ya kuhaso, n.k.

Big ufalme wake upo kwenye ku flow kama maji na fleva ya jinsi anaflow hata kama hujui lugha una enjoy kusikiliza, anaimba usela lakini alivyopangilia maneno yake ni burudani masikioni, kumbuka shuleni alifanya vizuri zaidi somo la kiingereza huenda hii ilisaidia kujua kupanga flow zake, kazi zake kama ten crack commandments anafundisha namna ya kuuza madawa lakini anavyo flow kama maji waweza kuweka kando ujumbe wake ujikite na flow yake, kazi nyingine kama big poppa kaimba bata na madem ameflow kama maji, aliwahi pia kufanya kazi na eminem -dead wrong kwa hakika aliflow kama maji japo ujumbe wake ni kubaka, kupora wanawake, kupiga mwanamke na kuua.

Huwa wanasema kazi zake za juicy na sky is the limit zina ujumbe, huo ujumbe ni upi ?

Juicy kaweka wazi mafanikio aliyopata kwenye mziki yamempa mkwanja wa kufanya umalaya na kupiga pamba kali, sioni cha kuelimisha hapo zaidi ya kujitamba.

Sky is the limit humo kaendeleza uongo wake kwamba alikulia maisha ya kimasikini, kasifia kwamba kuuza madawa ya kulevya kuna mkwanja kiasi aliamua kuacha shule ili ajifunze kuyauza, n.k.
Tuulize swali la msingi, una uhakika wa milo yako mitatu? Mchana umekula ama umepiga ndefu?
 
Sema old is GOLD wazee hivi hawa madogo wa gen z na hizi bubble gum rap (trap) zao mnawaelewa kweli wakuu sky soldier , Gentlemen_ Mudimkushi
Mumble rapper wana trend sana sema hamna cha maana wengi Wana sound the same young thug, future, lil pump, kodak, Trippie Redd, lil baby na Migos. Ndio maana Pac, Biggie, ice cube na wakali wengine wanaongelewa hadi leo ni miaka mingi imepita
 
Hoja yako ni nini? Kwa sababu Pac na Biggie huwa wanafananishwa kwa uwezo wao kimuziki. Sio walikulia wapi na kulelewa vipi. Anyway, lets break down your points.

1. Tupac was hood, Biggie was not.
-Huu ni upotoshaji. Biggie aliishi Bedford-Stuyvesant, Brooklyn au kama wenyewe wanavyoita Bed Stuy, huko sio ushuani, ni uswahilini kama Harlem ambako Pac aliishi kabla hajahamia Bartimore. So he was as much hood as Pac. Mama yake kuwa mwalimu hakufanyi awe wa kishua. As a matter of fact Biggie alifanya vitu vingi zaidi vya kihuni kuliko Pac mfano kuuza madawa ya kulevya n.k

2. Aina ya nyimbo walizoimba
-Umetaja nyimbo chache za Pac ambazo zina "ujumbe" na kudai kwamba Biggie nyimbo zake za Sky Is The Limit na Juicy ni stori za uongo. Hoja kwamba nyimbo za Biggie zilikuwa za uongo na za Pac ni za ukweli ni suala la perspective. Rappers wengi huwa ni story tellers, wanasimulia kinachotokea kwenye mazingira yao. Sio lazima iwe personal. Tafuta nyimbo nyingine za Biggie kama Ten Crack Commandments na Missing You usikilize, Biggie alikuwa master story teller. Umesema kwamba Biggie alikuwa anaimba nyimbo nyingi za ku-bragg, which is true lakini hujasema kwamba Pac naye ana nyimbo nyingi tu za kujisifu and other stuff that rappers usually talk about. Mfano ni I Get Around na Toss It Up.

3. Kusoma
-Kuna mahali umesema kwamba Biggie alisoma mpaka high school, which is true, lakini Pac kasoma mpaka college (Bartimore School of Arts).

Narudia tena, wasanii hawa wawili maarufu huwa wanafananishwa kimuziki kwa sababu ndio kitu ambacho ni common kwao. Ukitoka nje ya muziki hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Point of correction
At some point Pac was slingin cocaine too.
 
Sijajua kwanini Jay-Z alitaka kununua hati miliki ya ngoma zote za 2PAC! Anyway ni mfanya biashara yule nadhani kuna kitu alikiona kwenye mziki wa PAC.

This is to show that PAC was ahead of BIGGIE!

Nipo hapa nasikiliza "ghetto gospel", namuenzi muhuni kidogo
03 Bonnie and Clyde ni replica ya 96 me and my girlfriend ya boss playa Pac
 
Now I'm lost and I'm weary, so many tears
I'm suicidal, so don't stand near me
My every move is a calculated step to bring me closer
To embrace an early death, now there's nothin' left

There was no mercy on the streets, I couldn't rest
I'm barely standin', bout to go to pieces, screamin', "peace"
And though my soul was deleted, I couldn't see it
I had my mind full of demons tryin' to break free

They planted seeds and they hatched, sparkin' the flame
Inside my brain like a match, such a dirty game
No memories, just a misery
Paintin' a picture of my enemies killin' me in my sleep

Will I survive til the mornin' to see the sun?
Please Lord, forgive me for my sins, 'cause here I come
mstari wa mwisho umekaa vizuri sana!


nice!


JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Mumble rapper wana trend sana sema hamna cha maana wengi Wana sound the same young thug, future, lil pump, kodak, Trippie Redd, lil baby na Migos. Ndio maana Pac, Biggie, ice cube na wakali wengine wanaongelewa hadi leo ni miaka mingi imepita
hahah nimekumbuka kuna video flani snoopy anawapopoa sana madogo pembeni yake 50 hana mbavu. Imagine kuna madogo nowdays wanadiss 90s hip hop, i wonder.
 
Back
Top Bottom