Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Uongo , sema sababu ni Heri kupata moja kuliko kupata hamna kitu(sufuri)"Pesa haijawahi kutosha kamwe" wala sijasema mimi Chifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo , sema sababu ni Heri kupata moja kuliko kupata hamna kitu(sufuri)"Pesa haijawahi kutosha kamwe" wala sijasema mimi Chifu.
Uliitumia kwenye nini Mili 17 kwa masaa matatu Tanzania hii tajiri?Ukiingiza kwenye anasa ni pesa kidogo sana iyo,pesa ni matumizi yako tu hakuna pesa nyingi isioisha kwenye matumizi
Mimi nmewahi kutumia 17M ndani ya masaa 3 tu,Ingia Hardware uone
Wahamiaji ni wengi sehemu ikiingiliwa na wageni maisha yana panda mahitaji yana kuwa juu mfano wa Nyumba za kukodiKweli siku hizi mwanza maisha yanakuwa expensive sana, kuanzia nyumba za kupanga bei kubwa kama za Dar tuu ingawa wenye nyumba wanajenga nyumba nzuri sana, misosi bei kubwa.
Maji ya kunywa yanayouzwa 600 Dar kwa mwanza ni 1000. Cha urahisi kule ni usafiri tuu
Kama unajenga inawezekana.Uliitumia kwenye nini Mili 17 kwa masaa matatu Tanzania hii tajiri?
Hapahapa TzUliitumia kwenye nini Mili 17 kwa masaa matatu Tanzania hii tajiri?
Mkuu nikiandika ukweli hapa nitaonekana najisifu lakini ukweli hio 1.5 nusu mwezi labda.
BRO UNAHATARI,WAKATI MADENI YANGU TENA YANATAKA KUNIUA NI HIYO M.1!
Huyu hamjaelewanaUliitumia kwenye nini Mili 17 kwa masaa matatu Tanzania hii tajiri?
MhhhhHiyo ni basic salary ya mwalimu wa digrii[emoji2]
Hapo hajakatwa kodi, bima, nssf nk
Nami naona hivyo pia, naona kawaida tuMbona Arusha sioni kama maisha ni gharama?[emoji848],any way acha tuishi
Sema ninachokubali Mwanza wenye nyumba wanazipangisha wanajenga na kuwekeza haswa nyumba nzuri ya kisasa, hata mtu unapotoa hela yako unasema kweli naishi pazuri.Wahamiaji ni wengi sehemu ikiingiliwa na wageni maisha yana panda mahitaji yana kuwa juu mfano wa Nyumba za kukodi
Yes sir,ila siyo mimiNi lazima uwe na side chick?
Ni lazima kunywa bia?
Familia yako ina ukubwa kiasi gani? Watoto wanasoma? Mke anafanya kazi? Una shughuli za pembeni?Ndugu maisha ni magumu sana lakini bado yanawezekana kabisa, binafsi nalipwa 400,000 , nina familia na ninaishi Dar lakini hakuna hata siku moja niliwahi kulala njaa.
Tupe mchanganuo kidogo unaifanyaje na unaingizaje pesa hadi unaspend kiasi hichoMkuu nikiandika ukweli hapa nitaonekana najisifu lakini ukweli hio 1.5 nusu mwezi labda.
Mwenyewe nilimshangaa huyo SILULUUliishi singida ipi mzee? Labda hapo town ambapo hamlimi chochote ila ndani ndani huko Mkalama vyakula vya kumwaga sana. Karanga,viazi vitamu,alizeti,mahindi ,mtama n.k vyote vinalimwa!
Unashangaa nini Singida maisha ni magumu ,mkalama na Iramba nakufahamu na nimewahi lima mahindi huko,maji wanachota kwenye visima na maji yao kwa kiasi kikubwa yana chumvi mpaka vitoto vikikua vinakuwa na meno mekundu,Ikungi na Manyoni hali ni ile ile ungeniambia kwa kilimo cha alizeti na vitunguu sawa ,tusidanganyane hali halisi ya Singida ni ngumu huwezi fananisha na mikoa ya Rukwa,Ruvuma,Mbeya,Morogoro au ManyaraMwenyewe nilimshangaa huyo SILULU
Mimi mwenyewe nimeishi mjini na kijijini pia navifaham vijiji vingi mpaka ndani mtekente huko unaweza ukalima mahindi au maharage,yataota vizur tu lakini likija jua linawaka mahindi yanaanza kukauka hata kabla ya kukomaa ndiyo maana wanalima sana mihogo,viazi vitamu ,mtama, ulezi na uwele mazao yanayostahimili ukame,Mwenyewe nilimshangaa huyo SILULU
Wakuu nilikuwa nauliza tu kama 750k ni takehome inayoweza kumfanya mtu aishi kidogo standard life.
Maana isikute nadharau kumbe naweza kufanya kitu.