80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Sina issue na wafanyabiashara, as earlier said, its up to willing buyer and seller. Naongelea kudangishwa na mizinga, yaani unauziwa indirectly and unwillingly in the name of relationship or love
 
Sina issue na wafanyabiashara, as earlier said, its up to willing buyer and seller. Naongelea kudangishwa na mizinga, yaani unauziwa indirectly and unwillingly in the name of relationship or love
uchaguzi ni wako kama nilivyokwambia. mimi nina shemeji yako haombi hata mia mpaka nijiongeze mwenyewe at the same time nina shemeji yako ambaye ni slay type , natoboka kweli yani na wala siumiii [emoji473] .
 
uchaguzi ni wako kama nilivyokwambia. mimi nina shemeji yako haombi hata mia mpaka nijiongeze mwenyewe at the same time nina shemeji yako ambaye ni slay type , natoboka kweli yani na wala siumiii [emoji473] .
Lipia tangazo
 
Hii dhana ya kumuhudumia mtu mzima mwenye akili na nguvu zake katika set up yoyote, ndoa au mahusiano ndiyo aiingii akilini. Kwanini ahudumiwe, awe mke au mchepuko. Ndiyo mentality ya kuwa omba omba, mtegemezi na kupe. Mabepari hatutaki.
Me mke Wangu Nina mpango nimfungulie genge la kidizaini hivi auze uji vitafunwa na matunda fruit mixer.. nadhani hapo nitamuweza off course wanawake NI wazuri kwenye kutunza hela kuliko sisi.

Mtaji Kama laki mbili hivi utamtosha halafu namsikilizia nione anaendeleaje je bado ananiomba pesa Huku vyakula na bills nyingine naendelea kulipa Mimi..
Sky Eclat
 
Kwa nini unasema 80% ?
Actually ni 100%

Kina dada wanatia aibu, wao kuomba ni jadi sasa hivi. Kutoa papuchi kwa ajili ya huduma si tatizo kabisa sasa hivi. Wanaume mpaka tunaogopa kutania kina dada, ukimkoleza tu unaletewa papuchi unakotaka, kinachofuata ni matatizo lukuki, mara kodi ya nyumba mara chakula mara anauguliwa mara hela ya wine.

Jana tu kabibi kangu ka siku nyingi na tuliachana sababu ya kubomu kwingi, ati kaniambia anani missi na hapo hapo ana shida ya laki 2. Nikamwambia zikinitembelea nitamjulisha!
 
wanatunyoosha sana, ila waelewa bado wapo, ndiyo hiyo 20% iliyobaki
 
Kwenye vikao vya kahawa tunajiita HEAD OF THE HOUSE
Then tunataka ku share cost.
Basi na tuwaombe mahari watoe wao.
Mwanaume sio suruali hata maandiko yanasema.
Mwanamke atazaa kwa uchungu
Mwanamme atailisha familia kwa jasho.
 
Mnafata pisi kali ambazo ni jobless na wadangaji halafu mnakuja kulalamika as if wanaombaga figo
Mwanamke hata akiwa na hela still bado atapiga mizinga tu, tena hao wenye kazi wanakupa hata mwezi siku akipiga mzinga, anapiga mzinga heavy anapukutisha mifuko yote. Wachache sana ambao hawazidi 5% ambao hawapigi mizinga na wakipiga ujue kweli ni MAHITAJI YAKE YA MSINGI na anaomba kutoka na uwezo wa mwenza wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…