TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
- Thread starter
-
- #21
kuna character za aina mbili inherited na acquired characters,brightness ni inherited sio acquiredSio kweli; kwenye genes hapana. Mtoto ni mazingira yanayomzunguka ndio yanaweza chagiza au ibua akili yake.
Ni mazingira yapi yanayochagiza na kuibua Intelijensia (Ambayo ndio inaitwa akili) ya mtu na mazingira yapi ambayo hayawezi chagiza na kuibua Intelijensia hiyo?Sio kweli; kwenye genes hapana. Mtoto ni mazingira yanayomzunguka ndio yanaweza chagiza au ibua akili yake.
Sio kweli; kwenye genes hapana. Mtoto ni mazingira yanayomzunguka ndio yanaweza chagiza au ibua akili yake.
hii ni sababu ya nyepesi, japo inaweza kutokea,sasa ndio wote hao mkuu? labda atokee mmoja tukuchapiwa hakuepukiki
Uhalisia ni mkubwa sanaHakuna uhalisia
Kama ni kilaza ni kilanza tu
Sasa hujaonyesha kwa namna gan kisayansiSIJAZUNGUMZIA MLEZI WALA MALEZI MKUU,RUDIA KUSOMA TENA,ELEWA NDIO UJIBU,KILA MZAZI NI MZAZI ILA SI MLEZI NA SI KILA MLEZI NI MZAZI,NAZUNGUMZIA MZAZI AMBAYE NI MZAZI,SIJUI NAELEWEKA AMA UELEWA WAKO NI WA BI MSUMI?
wakitaka waje waniulize mimi niwape lecturing ya DNA with HERITANCE,MOLECULAR BIOLOGY IPO HAPA.
Kwa muktadha huu unataka kusema familia watoto watatu kati ya watano wakawa bright hawa wawili wakawa bogus upo uwezekano mkubwa mke kulombwa nje zaidi ya mara mbili akaleta wasomi ndani ya familia?kuchapiwa hakuepukiki
magonjwa mengine yasiyorithishwa yanaingia kwenye hiyo 10% mkuu,mfano wa ugonjwa unaoathiri akili ni down's syndromeHata magonjwa yasiyo ya genes kama Malaria kali n.k yakimuathiri mtoto wakati ubongo wake haujakomaa ni tatizo.
Si ndio uieleze kusapport uzi wako utupe na mifano. Suala la genes, DNA kwenye kuchagiza akili ya mtoto ni madharia tuu. Mtoto, akili au kipaji chake kinategemea amekutana na mazingira ya namna gani.
shangaa na weweKwa muktadha huu unataka kusema familia watoto watatu kati ya watano wakawa bright hawa wawili wakawa bogus upo uwezekano mkubwa mke kulombwa nje zaidi ya mara mbili akaleta wasomi ndani ya familia?
Au sijaelewa!?
Hamuamini mpaka AI,TENA HAPO HAKUPASWA KUJIBU "CAN"angesema direct CAN ni modal verb,wataalamu wa lugha ya kiingereza wananielewa
Huu ni wa kurithiwa nao?magonjwa mengine yasiyorithishwa yanaingia kwenye hiyo 10% mkuu,mfano wa ugonjwa unaoathiri akili ni down's syndrome
sio lolote mkuuLolote laweza kuwa sahihi
Ni genetic disorder ndioHuu ni wa kurithiwa nao?