Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 745
- 1,329
Unakuta mtoto ana IQ kubwa ila wazazi ni 0 IQ. Hapo imekaaje?Kuna wazazi wengi wanalalamika watoto hawana akili,ukifuatilia kwa ukaribu utagundua kwamba wazazi wa mtoto wote ni sufuri kwa kila kitu wanachojua ni kubanduana tu.
Huwa nawasisitiza wanafunzi wangu kufanya machaguo sahihi kwa wenza wao kwa tutazama kila kitu hasa thinking capacity,kuna viumbe wao wana vichwa na ubongo kutimiza kusudi la uumbaji tu,ni sufuri,halafu wanaoana,wanataka huyu mtoto atazaliwa akili atoe wapi?,wanataka miujiza isiyowezekana?
Fanyeni right selection msije sumbua watoto kwa mboko.
inabidi wa mixMkuu watu waangalia hisia zao zaidi swala la kuangalia mengine ni wachache sana wanafanya hivo....
Swala la ukilaza nakubaliana na wewe coz siku zote ndege wafananao huruka pamoja, ni ngumu mtu mwenye akili akamuoa au kukubali kuolewa na kilaza
Mambo mawili tu ndiyo halisia hapa Duniani;sio lolote mkuu
kuna character za aina mbili inherited na acquired characters,brightness ni inherited sio acquired
wengi tuna wapima watu kwa elimu zao,kuna watu wanaakili sana ila hawana elimu,mazingira yanawafanya waonekane si kitu,brain lazima itumike ipasavyo ili ijidhihirishe umahiri wake,,shule inasaidia kutrain mind that wayUnakuta mtoto ana IQ kubwa ila wazazi ni 0 IQ. Hapo imekaaje?
Mkuu kuwa muheshimiwa si kigezo cha kuwa smart,bahati nzuri hapa kwetu tuna mifano hai kuanzia state houseMbona kuna watoto wa waheshimiwa lakn kichwani empty set
Sio kweli; "brightness" sio inherited; Brightness kama ambavyo wewe unaichukulia ni matokeo ya mazingira yanayomzunguka mtu. Wapo wazazi walikuwa "bright" na watoto kinyume chake. Na wapo waliokuwa sio "bright" na watoto wakawa kinyume chake.
Wapo watu vilaza wasioweza kufanya jambo lolote kwa viwango vya juu.Hamna MTU kilaza
Africa watu hawajui kuvumbua potential zao na kuzitumia kupata pesa na kuwa na maisha mazuri.
Kwahiyo Kila MTU anajiona smart kwa kuwa na Elimu ya chuo diploma au degree n.k
Ila hakuna MTU kilaza
Ukigundua potential yako mapema ukailea unaweza Fanya mambo marvelous in ur life
haupo mbali sanaKwa muktadha huu unataka kusema familia watoto watatu kati ya watano wakawa bright hawa wawili wakawa bogus upo uwezekano mkubwa mke kulombwa nje zaidi ya mara mbili akaleta wasomi ndani ya familia?
Au sijaelewa!?
Hata kuku halali njaaMimi.mbona kilaza ila silali ata njaaa.
wewe una motivate,mimi nazungumzia scientific facts that have been proved, unachotaka kutuaminisha mtu akigundua pontetiality yake basi si kilaza?,bi msumi ni mfano wa kilaza ila yupo sehemu ambayo anapaswa kukaa mtu ambaye ni smart.Hamna MTU kilaza
Africa watu hawajui kuvumbua potential zao na kuzitumia kupata pesa na kuwa na maisha mazuri.
Kwahiyo Kila MTU anajiona smart kwa kuwa na Elimu ya chuo diploma au degree n.k
Ila hakuna MTU kilaza
Ukigundua potential yako mapema ukailea unaweza Fanya mambo marvelous in ur life
Havihusiani mkuu,kuna vitu ni natureMimi.mbona kilaza ila silali ata njaaa.
ila inachangia piahii ni sababu ya nyepesi, japo inaweza kutokea,sasa ndio wote hao mkuu? labda atokee mmoja tu
100%
Mfano Messi angezaliwa TANZANIA je angeweza kuwa GOAT wa football jibu ni HAPANA
Angeishia kucheza Yanga au Simba au Majimaji
Mazingira anayokutana nayo MTU na aina ya watu Yana mchango wa yeye kuwa smart au kuwa kilaza .
Ukichukuliwa wewe au Mbwana Samatta mkapewa mazingira yote aliyopewa Messi kuna uwezekano msifike hata 20% yake ya sasa.100%
Mfano Messi angezaliwa TANZANIA je angeweza kuwa GOAT wa football jibu ni HAPANA
Angeishia kucheza Yanga au Simba au Majimaji
Mazingira anayokutana nayo MTU na aina ya watu Yana mchango wa yeye kuwa smart au kuwa kilaza .