MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Tumeisoma hadi kidato Cha sita.Kidato cha nne kuna topic ya GENETICS,mle ndani mlijifunza masuala ya inheritance particulary mendelian inheritence,imeeleza kuhusu character segregation kwa kina ndio maana utakuta baba anavina saba vya seli mundu na mama pia ila hawana seli mundu wanakuja kuzaa watoto wenye seli,mundu,wasio na seli mundu na carrier wa seli mundu.ni darasa pana.
mimi ni kijana mdogo sana sikupata kuwepo kipindi hichoMwl wa UPE umeuchapa vyema kama France|England 🤣🤣🤣
100%Intelligence inachagizwa, inachochewa na inakua kufuatia mazingira (Lishe, elimu, maarifa n.k). Napoleon Hill, ameshasema kwenye kitanu chake "Think and grow rich"; kila mtu ni genius/talented anapokutana na mazingira sahihi ya kumwezesha kukua.
wewe una motivate,mimi nazungumzia scientific facts that have been proved, unachotaka kutuaminisha mtu akigundua pontetiality yake basi si kilaza?,bi msumi ni mfano wa kilaza ila yupo sehemu ambayo anapaswa kukaa mtu ambaye ni smart.
Basi endelea kukua kwenye misingi hiyo,kuna siku watakuelewa🙏mimi ni kijana mdogo sana sikupata kuwepo kipindi hicho
Ni kwa chance pia, kama Jiwe asingekufa tungekuwa tumeshamsahau sasa kama tulivyowasahau makamu wengine waliotangulia.Unafikiri huyo bibi katika hapo by chance?
Kafika hapo baada ya kukutana na watu sahihi na mazingira sahihi .
🎯🎯📌Intelligence inachagizwa, inachochewa na inakua kufuatia mazingira (Lishe, elimu, maarifa n.k). Napoleon Hill, ameshasema kwenye kitanu chake "Think and grow rich"; kila mtu ni genius/talented anapokutana na mazingira sahihi ya kumwezesha kukua.
Hakuna ajali dunianiNi kwa chance pia, kama Jiwe asingekufa tungekuwa tumeshamsahau sasa kama tulivyowasahau makamu wengine waliotangulia.
kwa faida ya walio ishia kidato cha nne na kuenda michepuko ya sanaa,factor namba 2 ,ukisha zungumzia alelles unazungumzia specific codes katika inheritence,hizi codes huwa zinaweza kuathiriwa na environmental factors particularly some chemicals ambazo ni lethal ,Tumeisoma hadi kidato Cha sita.
Kama ndivyo wote tukubali recessive allele na dominant alleles za akili na ujinga anaweza pia kuwa nazo mtu mwele akili nyingi.
Ikiwa ndivyo, basi sio suala la kulaumu parent kama mtoa mada anavyodokeza.
Halafu kingine huwa tunasema ni 60% tunarithi, kingine mazingira yanatushape
Chance sio ajali.Hakuna ajali duniani
Hata ukihisi ni chance bado ipo kwa mfumo endelevu
Ni kwa chance pia, kama Jiwe asingekufa tungekuwa tumeshamsahau sasa kama tulivyowasahau makamu wengine waliotangulia.
Hapa duniani hakuna hakuna kitu kinaitwa by chanceHakuna ajali duniani
Hata ukihisi ni chance bado ipo kwa mfumo endelevu
100%
Mfano Messi angezaliwa TANZANIA je angeweza kuwa GOAT wa football jibu ni HAPANA
Angeishia kucheza Yanga au Simba au Majimaji
Mazingira anayokutana nayo MTU na aina ya watu Yana mchango wa yeye kuwa smart au kuwa kilaza
sasa haiwezi kubadili uhalisia kuwa yeye ni kilaza,yaani nafasi uliyonayo haimaanishi wewe ni bright,kwenye kugawanya makundi ya watu kwa kuzingatia akili,kwa kuzingatia akili watu hugawanywa ktk makundi matano(Genius,Mensa,Intertel,Triple Nine society na Prometheus Society,yeyote anaweza kuwa na nafasi kubwa katika ulimwengu kulingana na factors za kimazingira,nyota nk.Unafikiri huyo bibi katika hapo by chance?
Kafika hapo baada ya kukutana na watu sahihi na mazingira sahihi .
Aliyezungumzia mwanzo nafikiri alikuwa anamaanisha mtu mwenye akili kubwa sana na ushwawishi na sio anayekidhi tu vile vigezo vya chini vya kuwa rais ambavyo hata wewe na watu wengine wengi wanavyo.Ukiona wewe ni Vice president ujue swala la kuwa Rais ni Jambo ambalo linawezekana
Kwahiyo she is there ila sio by chance mazingira na aina ya watu aliokutana nao ndo amefanikiwa kufika hapo
swadaktaBasi endelea kukua kwenye misingi hiyo,kuna siku watakuelewa🙏
HAPO sikatai lakn kuna watu smart lkn watoto wao vilaza hata wazazi vilaza wanawatoto wanaakili ko hapo ni the way mungu amekuumba 2Mkuu kuwa muheshimiwa si kigezo cha kuwa smart,bahati nzuri hapa kwetu tuna mifano hai kuanzia state house
huku kwetu akili haizingatiwi ktk masuala ya uongozi,sija base huko kama kipimo kanbisaaaAliyezungumzia mwanzo nafikiri alikuwa anamaanisha mtu mwenye akili kubwa sana na ushwawishi na sio anayekidhi tu vile vigezo vya chini vya kuwa rais ambavyo hata wewe unavyo.
Chance sio ajali.
Ajali inaweza kuwa kutokana na random chance, uzembe au kupangwa.
Dunia Kuna mambo mengi yanatokea ni random chance kama vile
Unajadili acceleration kwenye speedChance sio ajali.
Ajali inaweza kuwa kutokana na random chance, uzembe au kupangwa.
Dunia Kuna mambo mengi yanatokea ni random chance kama vile tu unavyorusha shilingi na inaangukia upande wowote usiojua.