Andika vitu vya kueleweka coherentlyUnajadili acceleration kwenye speed
Unajadili umuhimu wa ng'ombe duniani
Wao ni ni sehemu ya dunia
Na Dunia inaendesha na watu sio mtu
Hata sisi wa Tz tukitoweka dunia haisimami mbali ufisiemu na uchandore wenu.! Huelewi nini
HAKUNA MTOTO SMART MWENYE MZAZI KILAZA,NA HUNA MTOTO KILAZA MWENYE MZAZI SMART SCIENTIFICALLY,UNACHOKIONA WEWE NI MATOKEO(PHENOTYPES) NA SIO GENOTYPE,PHENOTYPE INAWEZA ISIWE MATOKEO YA GENOTPE MKUU MFANO MZURI BINT MWEUSI WA KUZALIWA AKATUMIA MKOROGO UKAMUONA MWEUPE NA HUNA HISTORIA NAE,AKAZAA MTOTO MWEUSI ILI HALI BABA YAKE PIA NI MWEUPE ,HUWEZI SHANGAA?HAPO sikatai lakn kuna watu smart lkn watoto wao vilaza hata wazazi vilaza wanawatoto wanaakili ko hapo ni the way mungu amekuumba 2
Ni nchi chache sana viongozi huchaguliwa kwa kuzingatia uwezo wao wa akili na kutatua matatizo, nafikiri ni Singapore na China tu.huku kwetu akili haizingatiwi ktk masuala ya uongozi,sija base huko kama kipimo kanbisaaa
Mungu amewaumba Waafrika wengi vilaza kuliko Wazungu, Wachina na Wakorea??HAPO sikatai lakn kuna watu smart lkn watoto wao vilaza hata wazazi vilaza wanawatoto wanaakili ko hapo ni the way mungu amekuumba 2
Mtoto hawezi kuwa mjinga kama wazazi si wajingaKuna wazazi wengi wanalalamika watoto hawana akili,ukifuatilia kwa ukaribu utagundua kwamba wazazi wa mtoto wote ni sufuri kwa kila kitu wanachojua ni kubanduana tu.
Huwa nawasisitiza wanafunzi wangu kufanya machaguo sahihi kwa wenza wao kwa tutazama kila kitu hasa thinking capacity,kuna viumbe wao wana vichwa na ubongo kutimiza kusudi la uumbaji tu,ni sufuri,halafu wanaoana,wanataka huyu mtoto atazaliwa akili atoe wapi?,wanataka miujiza isiyowezekana?
Fanyeni right selection msije sumbua watoto kwa mboko.
Naam,Japan and South korea tooNi nchi chache sana viongozi huchaguliwa kwa kuzingatia uwezo wao wa akili na kutatua matatizo, nafikiri ni Singapore na China tu.
Dah,kuna viumbe wao wana vichwa na ubongo kutimiza kusudi la uumbaji tu,ni sufuri,
You nailed itMtoto hawezi kuwa mjinga kama wazazi si wajinga
Wazazi ndio wana imprint all behaviours if sio 80% of tit
Jiangalie wewe una uwezo gani? kama zipo mtabalance,sio wote muwe kama bi msumiDah,
Kwa hiyo ukikutana na wa aina hiyo na anavutia unafanyaje, kupiga pipe kumwaga nje na kusepa?
Ndani ya wazazi hao hao wawili.kwa faida ya walio ishia kidato cha nne na kuenda michepuko ya sanaa,factor namba 2 ,ukisha zungumzia alelles unazungumzia specific codes katika inheritence,hizi codes huwa zinaweza kuathiriwa na environmental factors particularly some chemicals ambazo ni lethal ,
Unatakiwa uelewe kuhusu DNA,Gene na allele ndio utadadavua vema hili na kukubaliana na mimi kwamba ulichoandika possibility yake ni 0.1%,no scientific researches has ever proved that.
Gene ni taarifa ndani ya DNA na Allele ni mgawanyiko wa hizo taarifa ndani ya DNA,sasa taarifa ni taarifa tu itoke nusu (recessive)au full(dominant) outcomes ndio itathibitisha,ndio hapo unapata kilaza,kilaza kidogo,akili mingi,akili kidogo na akili mingi.
kweli hala tulivyo vilaza plus tunajiona welevuMungu amewaumba Waafrika wengi vilaza kuliko Wazungu, Wachina na Wakorea??
Usipendelee kujionaAndika vitu vya kueleweka coherently
Hakuna haja ya kulumbana ktk hili as intellectual egoism,we are here to learn,mtu akisema chemicals anamaana kwamba chemicals zote?,si sawa fikiri kama msomi twende na ya msingi wa hoja.Ndani ya wazazi hao hao wawili.
Achana na chemical na sio Kila kemikali inaweza kuathiri mpaka level ya Gene na kualter it.
Hivyo mazingira yaliyo zungumziwa hapo, ni Yale bila uchafuzi wowote.
Tujiulize iwapo Einstein au Stephen Hawking wangezaliwa Tandale kwa mtogole wangefikia level hizo?
Na iwapo Richard Mpemba angezaliwa USA angeishia kuja tu na Mpemba effect halafu kwenda kuwa bwana misitu?
Sio Kila chemicala inauwezo wa kualter genes kiasi Cha athari zake kuonekana Kwa kizazi kinachofatia
Mazingira yote na sio ya kielimu tu.Hakuna haja ya kulumbana ktk hili as intellectual egoism,we are here to learn,mtu akisema chemicals anamaana kwamba chemicals zote?,si sawa fikiri kama msomi twende na ya msingi wa hoja.
Hata awe tandale,kama ni bright ni bright tu mkuu,hata awe Ugiriki kama ni kilaza ni kilaza tu,mazingira ni triggering factor hasa mazingira ya elimu.
Hii inanikumbusha dada mmoja wa kizungu, nilisoma siku chache zilizopita akisema kuwa Elon Musk alimpa ''offer'' ya kuzaa naye. Yaani jamaa ameshajiona ni dume la mbegu bora. Ukweli ni kwamba watoto kuwa na uwezo inategemea vitu vingi sana na huwezi ku-conclude kuwa wazazi wakiwa bright, basi na watoto ni lazima wawe hivyo. Nimeshuhudia famia zenye baba na mama waliokuwa wanaitwa wajinga wa kijiji, wamekaa kama ma-zombi tu wakizaa watoto wenye akili sana. Na nimeshuhudia wazazi wasomi na vipanga kweli kweli wakizaa watoto wasio na akili.Sahihi,
Ukilaza wa mtoto unatokana na genes za wazazi pamoja na lishe anayopata utotoni.
Pia na magonjwa ya utotoni
kwa hiyo mkuu unataka kuniambia thiking capacity inatoka kwa wazazi pekee na cy ukooHAKUNA MTOTO SMART MWENYE MZAZI KILAZA,NA HUNA MTOTO KILAZA MWENYE MZAZI SMART SCIENTIFICALLY,UNACHOKIONA WEWE NI MATOKEO(PHENOTYPES) NA SIO GENOTYPE,PHENOTYPE INAWEZA ISIWE MATOKEO YA GENOTPE MKUU MFANO MZURI BINT MWEUSI WA KUZALIWA AKATUMIA MKOROGO UKAMUONA MWEUPE NA HUNA HISTORIA NAE,AKAZAA MTOTO MWEUSI ILI HALI BABA YAKE PIA NI MWEUPE ,HUWEZI SHANGAA?
elimu ni mfano tu,environmental factors ni nyingi mkuuMazingira yote na sio ya kielimu tu.
Mazingira ndio Kila kitu.
Ila upo sahihi, tujadili kwa hoja ndio inaleta mantiki
ππππππelimu ni mfano tu,environmental factors ni nyingi mkuu