Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

SAS unataka wife wako asifanye kazi bila pressure kazi lazm iwe na pressure nduo kulipa kwake SAS aikienda huko serekali had akapelekeshwe na mijitu wachawi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Nalo la kuuliza kweli? Mkataba wa serikalini ni permanent ,fursa za mikopo kama yote ,apige chini hiyo 1.6 ya pressure akale bata serikalini.
 
Haya mambo mkuu yakupasa mjadiliane kivyenu na shemeji huko mahome kwenu
 
Halafu unajisifu unatoroka kila siku sasa kama unatoroka kila siku nani atafundisha watoto? Ndio maana watoto wanazidi kufeli kila kukicha,ujinga huo huwezi kufanya private na ndio maana nyie mnakwamisha maendeleo ya serikali mmejaa uvivu kupindukia.
 
Halafu bado tunatafuta mchawi wa haya masifuri wanayopata watoto huko mashuleni.
 
Aende Serikalini kufanya Nini? akomae huko huko na aweke malengo baada ya miaka 5 anaacha kazi anafanya kilimo biashara ama biashara yoyote Ile. Kama hatotaka biashara akusanye hela anunue bonds!

kwanza wewe ni mumewe mtie Moyo wekeni malengo, baada ya muda Fulani aache kazi. Serikalini kwa mshahara huko

dooh
 
Kuwa private au kuwa government kote ni kuajiriwa. So hayupo salama. AJiajiri
 
USHAURI

Kama ni mwanamke /mke bora aend huko serikali atakuw na muda zaid wakupumua na job security n kubwa

Ila kampuny hiyo haifi leo au kesho ipo stable na management yake imekaa poa japo pressure za hapa na pale zpo na anatok job mda wa mapem muache aendelee na kaz private


Kiufup muache hukooo private , akiend huko kwa 700000 na bado anakuw staff wa kawaida hakuna oc wala allowance mtaanz magomvi
 
TZS 1.6m Private atakua labda Waitress Serena? Private unatakiwa ugonge 5m huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…