Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Kwenda kufanya uvivu tu huko na kiburi kwa wateja.Job security ✔️✔️✔️aende serikali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenda kufanya uvivu tu huko na kiburi kwa wateja.Job security ✔️✔️✔️aende serikali
Kumbuka una drop toka 1.2M take home hadi take home ya laki 6.Mimi ningeenda serikalini ,kwanza kuna chances za kusoma na mshahara utaongezeka,semina ,vikao safari.Peace of mind ,job security .
Ukiwa Mbunge (Dr) hayo makaratasi hayakuhusu.Ukiingi humo kwenye LSS ndio kazi ya serikali inapoanza kuwa tamu
Utakuwa kibwengo in chief kama utakuja bongo kulipwa dolar 8 kwa siku nzima 🤣🤣🤣 kisa job securityHii situation ndiyo ambayo inanikuta mimi najiuliza niendelee kubaki Europe ninakolipwa dola 40 kwa saa au nirudi bongo nilipwe vijisent? 😃
Ebu tusaidie kutuwekea mfano wa hizo allowance mkuu.
Anataka tu tujue wife wake kapata mchongo. Huyu atakuwa Mhaya au msukuma.Sasa ni swala la kujadili kweli kwamba uhame tambarare kwenda bondeni kwenye njia ya maji
Kama hawa Takukuru wana nafasi kibao ila ukiwa above 30 wanakupangua 🤣🤣🤣uuwe unasoma na kuelewa , nimekwambia ajira nyingi za serikali zinahitaji uwe chini ya 30, nafasi ya kupata ajira za serikali its slim and thin ukiwa na above 30, na 45 ni mwisho kabisa
Hizi ndii unazoingiza Bwana JumaUkiwa Mbunge (Dr) hayo makaratasi hayakuhusu.
1. Unakunja 13m Cash (tax exempted).
2. Sitting allowance (TSH 300,000 Kwa siku),
3. Mfuko wa Jimbo,
4. Bima ya Afya (kubwa ya kutibiwa Hadi nje ya nchi),
5. Allowance za Kamati,
6. >400m TZS retirement package.
Karibu Madrasa Al Qadiriya hapa ChukwaniHizi ndii unazoingiza Bwana Juma
3months katika mwaka hufanyi kaziukiwa na fursa ya kupata kazi serikalini do it aisee, salary ni nini eti , mimi mwalimu wa government kwa mwaka nina likizo april siku 14, june siku 30, september siku 14, december siku 30, plus weekend zote, natoroka karibu kila siku , ninafundisha mikondo miwili , kila mkondo una vipindi vitatu per week so ni dk 40 * 3 kwa kila mkondo , halafu nipo TGTS E ,hizo pesa za private ache nipate mtaani
Hapo Chukwani karibu na Bunge la wawakilishi?Karibu Madrasa Al Qadiriya hapa Chukwani
"Aache hapo private au aende government" hiyo ni kitu kimoja.Wife kapata kazi serikalini huko,mshahara ni TGS D ambayo ni sawa na laki 7.6, kwa sasa anafanya kazi private sector ambako mshahara ni 1.6m gross.
Kampuni anayofanyia ina pressure za hapa na pale ila kuna a lot of incentives kama bima ya afya ya Jubilee,holidays allowance na nyingine nyingi.
So right now yuko dilemma, aache hapo private au aende government?
Rushwa ni rushwa tu, hapo hakuonewa., au ulitaka wamchekee tu!?Hakuna cha job security ,ngoja siku limkute huko serikalin ndo atajua
Hao talgwu sjui tucta na wengineo wapo kwa maslahi yao tu hawamtetei mfanya kazi likimkuta
Kuna mfanyakazi mwenzangu alismamishwa kazi akapelekwa takukuru kwa rushwa ya 30,000 tu
Ebu turudi kwenye mada...Hii situation ndiyo ambayo inanikuta mimi najiuliza niendelee kubaki Europe ninakolipwa dola 40 kwa saa au nirudi bongo nilipwe vijisent? 😃
Hivi hao huwa ni kuanzia vyeo gani mkuu?Ukiingi humo kwenye LSS ndio kazi ya serikali inapoanza kuwa tamu
Pressure ya ku-renew contract unaijua wewe?Aah hiyo yote sababu ni job security ama? Kama anahitaji hivo aende serikalini ila mimi ningeendelea huko private ,tofauti ya mshahara ni 2times duh
Si wakurugenzi ndio wako humo na wakuu wa wilayaHivi hao huwa ni kuanzia vyeo gani mkuu?