Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

Ukiingi humo kwenye LSS ndio kazi ya serikali inapoanza kuwa tamu
Ukiwa Mbunge (Dr) hayo makaratasi hayakuhusu.
1. Unakunja 13m Cash (tax exempted).
2. Sitting allowance (TSH 300,000 Kwa siku),
3. Mfuko wa Jimbo,
4. Bima ya Afya (kubwa ya kutibiwa Hadi nje ya nchi),
5. Allowance za Kamati,
6. >400m TZS retirement package.
 
Hii situation ndiyo ambayo inanikuta mimi najiuliza niendelee kubaki Europe ninakolipwa dola 40 kwa saa au nirudi bongo nilipwe vijisent? 😃
Utakuwa kibwengo in chief kama utakuja bongo kulipwa dolar 8 kwa siku nzima 🤣🤣🤣 kisa job security
 
Hizi ndii unazoingiza Bwana Juma
 
3months katika mwaka hufanyi kazi
 
Hapa kuna maswali mengi ya wewe kutujibu kabla ya kuchagua laki 7 na 1.6m,
1. Ni kazi gani?
2. Huko Govt ni mbali au karibu na mnapoishi? Je ni mjini?
3. Hiyo private ni zile kampuni za watu binafsi, taasisi ya dini, mashirika ya kimataifa?
4. Mkataba ni wa miaka mingapi?
 
"Aache hapo private au aende government" hiyo ni kitu kimoja.
 
Kumbuka serikalini Kuna kupandishwa mishahara , baada ya miezi kadhaa, Kuna hela za wizi, Kuna hela ya chajuu , Kuna helaa za likizo , Kuna hela ya kujifungua , bado Kuna opportunity nyingi hadi za kuishi njee serikalini Tena ya Sasa ni royal tour tu. Raha kweli atapata kitambi Cha buree kama mkuu wawilaya anatoa ml. 3 ila kanenepa anaraha na yupo gado anagari yake kajenga acha na serikali ukiwa naakili wewe ni billionea
 
Hakuna cha job security ,ngoja siku limkute huko serikalin ndo atajua

Hao talgwu sjui tucta na wengineo wapo kwa maslahi yao tu hawamtetei mfanya kazi likimkuta

Kuna mfanyakazi mwenzangu alismamishwa kazi akapelekwa takukuru kwa rushwa ya 30,000 tu
Rushwa ni rushwa tu, hapo hakuonewa., au ulitaka wamchekee tu!?
 
Hii situation ndiyo ambayo inanikuta mimi najiuliza niendelee kubaki Europe ninakolipwa dola 40 kwa saa au nirudi bongo nilipwe vijisent? 😃
Ebu turudi kwenye mada...
Je, unatafuta mume ama unatafuta mke..??
 
Key points ni urefu wa kamba, na sio mshahara. Mshahara unaweza ukawa Mdogo lakini una kamba ndefu.
Nilikuwa nashangaa mtu analipwa kibarua 5 KWA siku kumbe yeye alengi hio 5 unayoitazama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…