Abdul Kambaya na wanachama kadhaa kutoka CUF wajiunga CHADEMA na kupokelewa na Freeman Mbowe

Mwongo mwepesi, hiyo pesa yako si itumie kuanzisha?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kumekucha mamia ya wana CUF wanapotimkia CDM haijulikani mwenye chama yuko wapi.



Alifanya mkutano mmoja Magomeni. Hatukupata mrejesho wa nini kilijiri.

Ikasemekana waziwazi bila kumtaja Lissu au CDM Prof hana wa kumsikiliza.

Apewe pole Profesa Lipumba anapoelekea kumfanana mzee mapesa.

-------
Source: Mwananchi

Wanachama 384 wajiengua CUF, wajiunga Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…