Mifumo iliyopelekea uhayawani ule bado ipo hivyo hivyo. Kwanini kusiwe na tume huru badala ya hadithi za mdomoni? Ni kipi kinawafanya mlazimishe kubaki kwenye mifumo ile ile inayolinda ubatili? Kama mnagoma tume huru ya kisheria, mnapata uhalali gani wa kutaka muaminike kwa porojo za mdomoni?Aliyesababisha hofu yupo chini futi sita
This is rubbish! Unaogopa nini kuweka tume huru kama unataka haki?
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekusudia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kuwa huru na haki.
Kinana amesema hayo katika Mkutano Mkuu wa ACT- Wazalendo unaofanyika leo Machi 5, 2024 kwenye ukumbi wa mikutano wa Mlimani City.
Pia Soma:
- Rais Samia: Uchaguzi utakuwa huru na wa haki
CCM wakikwambia usiku mwema ,nakushauri Toka nje uchungulie kama Kuna GIZA!! Kweli.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekusudia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kuwa huru na haki.
Kinana amesema hayo katika Mkutano Mkuu wa ACT- Wazalendo unaofanyika leo Machi 5, 2024 kwenye ukumbi wa mikutano wa Mlimani City.
Pia Soma:
- Rais Samia: Uchaguzi utakuwa huru na wa haki
NdiyoKwahiyo anataka kusema na Mama Sa100 alishiriki?
maana alikuwa mgombea tena wanafasi kuu ya urais.
Tunasema hivi, Tanzania hakuna uchaguzi bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Wanaofaidika na mfumo wa wizi hawataki tume huru ya uchaguzi, ili waendelee kuwa na maamuzi ya kiwango Cha ushindi wautakao wao, na kidogo wa kuwapa wapinzani Ili kupunguza kelele.kuzira na kususa hakutasaidia wala kubadili chochote....
ukiona hakuna haja kushiriki uchaguzu kaa kando na uwe mtulivu, acha watakaoshiriki wafanye hivyo kwa haki, uhuru na namani...
we watizame tu kwa tv...
Kisheria au utashi wa watawala, je baada ya hapo miaka ijayo akija mtawala mpumbavu kama aliyepita itakuwaje?View attachment 2925116
"Uchaguzi mwaka huu na mwaka ujao utakuwa wa huru na wa haki, wakati nazungumza hivi nina hakika wapo ambao wana mashaka na kauli hii, na hao wenye mashaka wanazo sababu, na sababu zao zinatokana na 2019 na 2020 huo ndio ukweli"
"Sheria tuliyokuwa nayo ya uchaguzi ambayo ilitupeleka kwenye uchaguzi wa 2015 iliwezesha wanachama kutoka upinzani 117 kuingia bungeni, sheria hiyo hiyo iliwezesha karibu asilimia 40 ya madiwani kuingia kwenye nafasi za halmashauri, tulipokuja 2020... msema kweli lazima tuseme kweli"
"Hofu ya watanzania hofu ya wenzangu vyama vya siasa, asasi za kiraia, baadhi ya viongozi wa dini, msingi wa hofu yao ni yale yaliyotokea 2019/2020. Niwahakikishie Rais Samia Suluhu Hassan ameamua uchaguzi mwaka huu na mwakani mtaachwa wapiga uamuzi wao utoe tafsiri ya uchaguzi" - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa.
Chanzo: EATV
HATA MAGUFULI ALIUELEZA ULIMWENGU KUWA ATAFANYA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI MATOKEO YAKE NI KUWAKAMATA WAPINZANI KUWAJAZA MAGEREZANI KWA KESI ZA MAUAJI KUWATEUA KINA HALIMA MDEE NA WENZAKE KUWAPA UBUNGE hivyo CCM HAIAMINIKI
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekusudia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kuwa huru na haki.
Kinana amesema hayo katika Mkutano Mkuu wa ACT- Wazalendo unaofanyika leo Machi 5, 2024 kwenye ukumbi wa mikutano wa Mlimani City.
Pia Soma:
- Rais Samia: Uchaguzi utakuwa huru na wa haki
Kwa hiyo uchaguzi kuwa huru na haki ni matakwa binafsi ya Rais au ni matakwa ya kidemokrasia na kisheria? Mpaka lini tutaendelea kuongozwa na hulka binafsi za kiongozi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekusudia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kuwa huru na haki.
Kinana amesema hayo katika Mkutano Mkuu wa ACT- Wazalendo unaofanyika leo Machi 5, 2024 kwenye ukumbi wa mikutano wa Mlimani City.
Pia Soma:
- Rais Samia: Uchaguzi utakuwa huru na wa haki
huna dira, huna wagombea mahiri wala makini, huna ishawishi, huna mipango, huna mikakati wala uelekeo, atakuchagua nan? uibiwe isichokua nacho kivip sasa...Tunasema hivi, Tanzania hakuna uchaguzi bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Wanaofaidika na mfumo wa wizi hawataki tume huru ya uchaguzi, ili waendelee kuwa na maamuzi ya kiwango Cha ushindi wautakao wao, na kidogo wa kuwapa wapinzani Ili kupunguza kelele.
Halafu wanaohadaa umma kuwa kutakuwa na uchaguzi, wanasema ukichagua mpinzani serekali haitapeleka maendeleo!
Kabla ya 2005 ccm ndio ilikuwa na uhakika wa kushinda kihalali maana kile Bado kilikuwa kizazi chake. Kwa uhayawani unaoendelea kwenye chaguzi zetu, nakushauri 🌈 unyamaze yu.huna dira, huna wagombea mahiri wala makini, huna ishawishi, huna mipango, huna mikakati wala uelekeo, atakuchagua nan? uibiwe isichokua nacho kivip sasa...
Tz hayupo wa kuchagua mihemko na malalamiko...
Kwani uchaguzi HURU na WA haki ni lazima upinzani ushinde ??View attachment 2925116