Pre GE2025 Abdulrahman Kinana: Chaguzi za 2019 na 2020 zilileta hofu, Mwaka 2024 na 2025 zitakuwa za Huru na Haki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hana jipya huyu mwizi wa tembo.
 


Kwa sheria au matakwa binafsi. Kwanini wanakataa kuweka sheria nzuri🤣
 
Kwa Watu Wenye Akili na ukongwe ndani ya CCM kama mzee Mgaya wamemuelewa Vizuri sana Komredi Kinana

Ni kwamba Uchaguzi Mkuu ujao Wapinzani hawatakubali kuchezewa mazingaombwe, ndicho alichomaanisha Kanali mstaafu Kinana

Mungu wa Mbinguni awabariki Sana
 
Wale mliosimamia Madudu ya Uchaguzi wa 2019 na 2020 mjitafakari ikiwemo wale ambao walipata nafasi Kwa mbeleko.

2025 hakuna Cha mbeleko Kila mtu atavuna alichopanda akiwemo Rais Samia mwenyewe hata kama atashinda Kwa 51% ila uchaguzi utakuwa huru na Haki so Wapinzani msitafute visingizio.

 
Wewe na genge lenu la Mwendazake mlivuruga uchaguzi wa 2019 & 2020.

Unajisemesha ujinga
 
CCM ni Ile Ile hata Magufuli alisema uchaguzi utakua huru na haki , ila alichokifanya yeye na ibilisi ndo wanajua
 

Attachments

  • Screenshot_20240306-140510_1.jpg
    277.5 KB · Views: 1
uhakika na uhalali uliutoa wap na leo umeenda wap au kwa vile chama tawala kilikua chadema wakati huo 🐒

So ukishinda ndio halili ukishindwa umeibiwa 🤣

ndezi sana🤣
 
Saa100 ameshasema! Chawa wake hawataacha!! tumejiandaa vizuri kiakili na kimwili! Hatutabweteka na kauli za kishamba kama hizi! Ukatae kubadili sheria za kuhakiki huru na haki alafu ulete nye nye nye !! Tuko tayari!
Amemchagua mkwewe mwenye kifua kipana atushughulikie lakini nasi tuko porini tunabeba vyuma!!
 
uhakika na uhalali uliutoa wap na leo umeenda wap au kwa vile chama tawala kilikua chadema wakati huo 🐒

So ukishinda ndio halili ukishindwa umeibiwa 🤣

ndezi sana🤣
Ww kweli ndio 🌈, ni wapi wapinzani walisema tume ni huru kisha wameshinda sehemu fulani Fulani? Hicho kilio Cha tume huru ni Cha Jana? Au unadhani watu kukubali kushiriki kwa shingo upande ndio waliamini tume ni huru. Ni hivi, kuendelea kushiriki chaguzi chini ya tume hii ukitegemea hisani za rais ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
sasa shingo upande yako inahusu nini wengingi wasio na shungo upande?

mihemko na ghadhabu zako ziwe kwa manuafaa na faida yako mwenyewe,

wanaoshiriki uchaguzi wasisumbuliwe na mihemko na ghadhabu zako, kua mtulivu unyoroshwe vizuri kwenye debe tena ili akili ikukae sawa...

wananchi hawachagui mihemko, uhodari wa kutukana, kejeli wala ghadhabu, wanachagua chama chenye sera, mipango na wagombea makini na mahiri wa kuwaongoza kwenye maendeleo...
 
Hicho Chama chenye sera kinachochaguliwa na wananchi ndio kwenye huo uchaguzi wa kihayawani aliosema kinana Jana?
 
Hicho Chama chenye sera kinachochaguliwa na wananchi ndio kwenye huo uchaguzi wa kihayawani aliosema kinana Jana?
uhodari wa kuporomosha dhihaka hauta kusaidia wewe wala chama chako chochote, zaidi sana wenye hekima na busara kujitenga nawe na kuhamia wanapostahili heshima na watakao vumilie hiyo mihemko na ghadhabu ambazo si kitu utabaki wewe tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…