Absalom Kibanda: Sasa sitaogopa kitu na sina cha kupoteza, nitafichua kila kitu

Sisi wengne hata muda wa kuangalia Tv hatuna kabisaa.Hebu tujuzeni kinachoendelea hapo chaneli kumi.
 
Huyu jamaa Kibanda ni mwongo ama ni mwoga wa ajabu! NashangaA amepataje ujasiri wa kuongea kwenye kipindi cha Ulimwengu ambaye kwa kawaida huwa mtafuta uwazi. Kibanada hajasema lolote la maana zaidi ya kuelezea mkongoto alioupata! Hoja ya kwamba anahisi ni nani aliyempanga kumjeruhi hakuifafanua vizuri zaidi ya kuonyesha hisia za hapa na pale. Zaidi ya hapo Ukizingatia ajira yake, na mustakabali wa matamanio yake, huyu mtu ni mwongo tu! Bogus!
 
Moto haufunikwi kwa mikono, ni bora awataje kama alivyofanya Dr. Ulimboka ili umma wa Watanzania utambue. Hao watu ni zaidi ya mbwa mwitu, kama anataka kuwaficha ili asiharibu upelelezi watammaliza na huo upelelezi hautakamilika kamwe.
 
Upelelzi gani hataki kuuharibu hivi kuna upelelezi wa kweli kuliko ukweli atakao usema yeye muathirika? Sidhani lakini kwa vile msifuji mvua imemnyeshea tusubiri na tuone kipi kitafuata au kuunda tume? Mie simo kibanda goo

Haya ... hata akisema mhusika ni Mr ABCD mtafanya nini? Kwa sababu watanzania ni mafundi sana wa maneno lakini utendaji unakuwa sifuri. Wale waliotaka kumuua Dr Ulimboka mbona wanajulikana? Wananchi walifanya nini? Kazi kuangalia kama sinema tu!
 
Sijapenda hajafunguka kisawa sawa kaacha ishu pending....!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Pengine Kibanda hajui hili hapa: Kwamba vyombo vya dola katika nchi zote duniani hutumia sana uncertainty, suspense, obscurity, gray facts kuchelewesha taarifa; na hilo hufanywa si kwa faida ya Subjects, bali kwa faida ya upande wa Serikali. Angalizo hapo ni haya maneno: uncertainty, Suspense, obscurity, gray facts. Nina mashaka Kibanda kaweka katika mazingira hayo akidhani litamsaidia.

Anaweza akatokea mtu kutoka ofisi fulani akakuambaia subiri kidogo hili jambo linafanyiwa kazi. Lengo ni kupitisha muda yatokee mengine hilo liwe historia. Na Historia mambo yakipitwa sana na wakati, au niseme muda, wakati una desturi ya kupunguza hasira au hata relevance ya jambo.

Uncertainty, Suspense, obscurity, gray facts: Mtu amshauri Kibanda awe mwangalifu na watu
wanaomsubirisha kusema kilicho moyoni. Kwa sababu kama wapo hawana nia njema. They are pushing the problem to him. He should consider pushing the problem to them. Aseme tu anachokijua.
 
Inasikitisha' serikali hawakugharimikia matibabu,, kazi waliyoifanya ni uchunguzi...je, angepoteza maisha kwa kukosa huduma ya matibabu uchunguzi ungesaidia nini??

Ingerahisisha kazi kwa kuwa kusingekuwa na kesi tena.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nilichogundua kibanda bado hajiamnini na anarudisha harakati za wanamapinduzi nyuma,tena kwa jinsi alivyokitonesha kidonda leo atakuwa anatembea na GANZI kabisa kwa sababu hajijui kama yeye ni threat kwa hilo kundi kwanini asiwaseme hao wauaji na watesaji?haoni kama kauli yake haijabadilisha chochote zaidi ya kujipalia tu makaa kwa masavimbi hao?
My take ni kwamba kibanda hajielewi hana tofauti na ulimbok tena afadhari hata Uri alimtaja Ramadhani Igondhu,kitendo chake hiko kitakifanya hiko kikundi wamfuate na kummaliza kabisa ili asitoe hyo siri yaani used and eliminated kwa sababu ni tishio linaloishi!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pengine Kibanda hajui hili hapa: Kwamba vyombo vya dola katika nchi zote duniani hutumia sana uncertainty, suspense, obscurity, gray facts kuchelewesha taarifa; na hilo hufanywa si kwa faida ya Subjects, bali kwa faida ya upande wa Serikali. Angalizo hapo ni haya maneno: uncertainty, Suspense, obscurity, gray facts. Nina mashaka Kibanda kaweka katika mazingira hayo akidhani litamsaidia.

Anaweza akatokea mtu kutoka ofisi fulani akakuambaia subiri kidogo hili jambo linafanyiwa kazi. Lengo ni kupitisha muda yatokee mengine hilo liwe historia. Na Historia mambo yakipitwa sana na wakati, au niseme muda, wakati una desturi ya kupunguza hasira au hata relevance ya jambo.

Uncertainty, Suspense, obscurity, gray facts: Mtu amshauri Kibanda awe mwangalifu na watu
wanaomsubirisha kusema kilicho moyoni. Kwa sababu kama wapo hawana nia njema. They are pushing the problem to him. He should consider pushing the problem to them. Aseme tu anachokijua.

Mkuu wewe kweli ni Highlander,
You have spoken well.
You have said it all!
 
Thank you.

Kwa muda unaokaribia nusu mwaka eti uchunguzi unafanyika, huo ni udanganyifu tu.
Wanachotaka ni kupitisha muda harakati za katiba zianze, uchaguzi mkuu na serikali mpya kesi imekwisha.
Kubenea aliambiwa kama Kibanda na hadi leo hakuna kitu.

Kama Kibanda aliambiwa na mtu kutoka taasisi nyeti kuhusu usalama wake na yakatokea, na leo Ramadhani Ighondu wa taasisi nyeti yupo nje sasa hapo kuna uchunguzi gani?
Kwamba washindwe kumkamata Ighondu wa Ulimboka wawe wema saana wa Kibanda! Phwe!
Kibanda heri useme kilicho moyoni
 
Lakini nimuombe tu aseme kila kitu wakati ni huu kwa maana akificha ni kutengeneza bomu kwa wengine ngoja tuone mpaka mwisho wa kipindi kama atafunguka kwa maana ya kufunguka kwani nafasi ni hii gooooooooo absalom kibanda

na asipofunguka vya kutosha asije kushangaa wanakwenda kummaliza kabisa kwa hofu kwamba ipo siku atawataja......
 
Hawezi kuongea ukweli huyo, anajuwa akitoka tu hapo kwenye kipindi watamsubiria getini kwake kumngoa na kummaliza kabisaaa na kumfuta kwenye hii anga ya Tanzania
 
Back
Top Bottom