Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

Bro bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uko sahivi, Ila changamoto ni kwamba mwanaume ambaye anakutaka serious huna hisia nae
Na hii ndo sababu kubwa kuwepo kwa single mother wengi
 
Mahaba is quishiney my wangubpole sans kumbuks ulijitongozesha
 
Amina amina!
 
Pole sana dada huyo jamaa tabia zake kama mimi, ni kawaida sana ya watu wapole na wasioongea sana, hawapendi kelele, wanatimiza majukumu, kuhusu sex umesema una mtoto wa mwezi mmoja kama sijakosea, anasubiria mtoto wakuekue mambo yatakaa sawa,

Mi mpenzi wangu ameshanizoea saivi anaweza tuma text moja nikajibu jioni, we dont like more attention text moja kwa siku inatosha sio kila muda unailiza nilipo na nafanya nini ama nimekula.... (kama sijala unataka kuninunulia chakula?)

Anyways utazoea ndio asili yetu ila hakuna kitu kinakosekana home
 
No yako plz kwa ushauri zaidi
 
















Nakuonea huruma mnoooo,ila ndo hvo haushauriki[emoji19]
Red flags zilianza onekana miaka minne nyuma huko....
Ungefanya maamuzi tangu kipind hiko ungekua ushamove on kitambo sanaaaa...
 
Inawezekana kuna Kitu ana hisi kama uliwah kumsaliti na ana uhakika hiko kitendo ulikifanya ili kulipiza kisasi kasusa
 
Sasa si una mtoto wa miezi rafiki au haupendezwi na uvumilivu wa kaka yetu?
 
Mambo Mambo eh eh - the babes are all around me
Mambo Mambo eh eh - dancin' all night long
Mambo Mambo eh eh - the babes are all around me
Mambo Mambo eh eh - to the break of dawn
 
Nikuambie kitu;
Ukivumilia mwishowe utakuwa na ndoa na familia bora kabisa.
Huyo binti aliyempa yote ipo siku watakwaruzana na ndipo atarudi nyumbani mazima
 
Dada usiondoke hapo muonyeshee Upendo na ushirikiano kuwa muaminifu tu muombe atakuwa unavyotaka
Kuna kitu Mungu ameweka Kwa wanawake ila wanawake hawajielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…