The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ulisoma comment yangu labda? Ulitaka nisile na nisilale? Kwani ulilazimishwa kutengenezea wategemezi?Unajaribu kutetea nini labda ili nikuelewe.
Maana huenda tunapoteza muda kwa kula kulala asiyetegemewa na mtu yeyote hapa duniani zaidi ya wauza bundle.
Kwa hiyo nchi zisizo na tozo tayari kuna hospital kila kata?Waondoe kwa sababu tayari kila kata Kuna Kituo cha Afya, hospital au? Akili za kisoda..
Madawa yatakuwepo ya kutosha Pesa ipo ya kutosha? Kuzaa hovyo mumeacha?
Haha haaa! Umesahau kuna aliyetoa mia akaambiwa ashtakiwe kwa uhujumu uchumi? Hii mia tano kwenye budget haikuwemo? Tz full comedyZitto Kabwe ametowa ushauri mzuri na unatekelezeka kama kuna utashi.
Serikali ibebe huu msalaba kwa kuondowa sh 500 za tozo kwa kila litter ili wananchi wapumuwe.
Ndio maana nakwambia una akili ndogo afadhari na funza,unaweza Kuta na wewe ni msomi unauliza Kodi inaenda wapi 😄😄..Kwa hiyo nchi zisizo na tozo tayari kuna hospital kila kata?
Nchi zinazoongeza mishahara tayari wameacha kuzaliana kama panya?
Kodi tunayolipa watanzania inakwenda wapi?
Mirahaba tunayolipwa kwenye madini inakwenda wapi?
Mikopo ya mama yenu anayotuaminisha inakwenda wapi?
Unatumia bilioni 9 kwenye filamu halafu asubuhi kabla hujamaliza uzinduzi unatutwanga rungu kisogoni?
Wote mnaotetea huu ujinga ndio mnawaza kwa kutumia asali badala ya ubongo.
Kukiwa na tofauti ya tsh 500 kwenye Mafuta uwe na uhakika mipaka yote ya nchi umeilinda vizuri..maana wananchi wa nchi jirani watakuja kuponea kwetu.Zitto Kabwe ametowa ushauri mzuri na unatekelezeka kama kuna utashi.
Serikali ibebe huu msalaba kwa kuondowa sh 500 za tozo kwa kila litter ili wananchi wapumuwe.
So what?Kigali mafuta yalianza kuuzwa sh 3100 kwa lita toka mwezi April mwaka huu
Huondoi kabisa kodi, bali unaipunguza, na matumizi ya serikali yapunguzwe mpaka hali itakapokaa sawa...Nitajie nchi ambayo haitozi kodi katika bidhaa za mafuta.Nchi itajiendeshaje kama haikusanyi kodi? Mnataka kuja tena kumlaumu kuwa hospitalini hakuna madawa, wafanyakazi kutolipwa mishahara kwa wakati n.k
Hahaaa! Wapinzani wanakumbukwa mambo yanapokua tighNi kweli mafuta yamepanda duniani ila tukisitisha kodi zilizopo kwenye mafuta, bei itakuwa stable, hivi wapinzani kwa nn wasichukue hii kama agenda? Bahati mbaya watanzania pia hatuna logic
Bila shaka unaishi kwa SHEMEJI yako, kula, mavazi juu yakeUsihangaike nao hao fala achana nao ,mbona wasilete mafuta yao wayauze bei ya Chini?
Eti wanataka Serikali ifute Kodi kwenye mafuta Ili ijiendeshaje? Ili isijenge barabara?
Hakuna pimbi atafanya hili.
Sipendi kabisa watu kutulinganisha na kwingine kwenye mabaya tu..!! mbona kule hivi mbona huku hivi..!! Hivi mbona hamlinganishagi barabara za lami zilizoko ushwahilini kwao na hizi za uswahilini kwetu?Ahlan wa Sahlan
Habari zenu wana JF:
Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.
Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.
Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.
Gasoline prices around the world, 03-Feb-2025 | GlobalPetrolPrices.com
Gas prices by country using official data sources.www.globalpetrolprices.com
Sasa wakiagiza ndio serikali haitatoza kodi? Kwani wao ni serikali nyingine.Usihangaike nao hao fala achana nao ,mbona wasilete mafuta yao wayauze bei ya Chini?
Eti wanataka Serikali ifute Kodi kwenye mafuta Ili ijiendeshaje? Ili isijenge barabara?
Hakuna pimbi atafanya hili.
Tuache uchizi hapa. Tuulize Kenye wakati Zanzibar hapo jirani ytu au mkoa wa jirani mafuta ni bei nafuu. Nenda ZnZ jionenee mwenyeweAhlan wa Sahlan
Habari zenu wana JF:
Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.
Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.
Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.
Gasoline prices around the world, 03-Feb-2025 | GlobalPetrolPrices.com
Gas prices by country using official data sources.www.globalpetrolprices.com
Hatuna Rais, huyu ni Rais msaidizi aliyekaimishwa baada ya Rais kutoweka hivo maamuzi yake ........Tatizo watu wa nchi hii sijui wakoje nani analaum?? Shida ya hawa watu wakipewa vyeo wanajisahau sana....hamna anaelaumu kiongozi ndio hutoa suluhu ya shida za watu wake....Watu wanachosema ni kodi kupunguzwa ili uchumi usianguke sasa anaefanya hayo maamuzi si Rais???
Usitetee sana,hilo linaweza kufanyika ila kwa tahadhari ya kutokuathiri shughuli nyingine za uchumi.Haya ni maoni,nadhani hata wao hawafurahishwi kuona wananchi wao wakiteseka...
Uko sawa lakini?Ahlan wa Sahlan
Habari zenu wana JF:
Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.
Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.
Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.
Gasoline prices around the world, 03-Feb-2025 | GlobalPetrolPrices.com
Gas prices by country using official data sources.www.globalpetrolprices.com
Stupid monkey ni wewe @sunkcost ambae unashindwa hata kujiuliza ni kwa nini Tanzania nchi moja na Zanzibar lakini huku bara tuko juu kwa bei ya Mafuta halafu Zanzibar wako chini.Ndio maana nakwambia una akili ndogo afadhari na funza,unaweza Kuta na wewe ni msomi unauliza Kodi inaenda wapi [emoji1][emoji1]..
Nilitaka nisikujibu kwa sababu ntakuwa najichosha kujadiliana na mtu mwenye akili ndogo kiasi hiki..
Nchi zisizo na tozo,unajua uwezo wa kiuchumi wa hizo Nchi? Zinahudumia raia kiasi gani?
Yaani unauliza Kodi na mirahaba inakwenda wapi? Hapa sikujibu kwa sababu wewe ni mjinga,go find for yourself.
Royal tour unayoisemea ni nyenzo mojawapo ya kutafuta pesa Ili mke wako wewe mvivu akatibiwe,bil.9 hata mafuta ya nusu mwezi haitoshi.
Hujawahi msikia akikwambia anakopa kwa ajili ya miradi? Unapouliza inakwenda wapi wewe unaishi shimono?
Stupid monkey sikujibu tena upuuzi wako
Ni lini samia amejenga barabara ukiacha matundu ya choo?Huu ni ujinga wa Hali ya Juu,unaposema wafute hizi Kodi manake unasema madawa yapungue hospital,wasijenge barabara nk Ili watu wapumue sio?