Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao.
Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika Jimbo la Kibiti, wakati akiendelea na ziara yake ya siku tatu katika majimbo matatu ya Mkoa wa Kichama wa Mwambao.
Ado Shaibu amesema tayari ACT Wazalendo kimezungumza na vyama vyenye nguvu vya upinzani, vikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Chama cha Wananchi (CUF) na NCCR- Mageuzi
Amesema vyama hivyo vina historia ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ambao walidai ulikumbwa na dhuluma.
Waende mozambiq wakaongeze podems hawawezi hiyo Act ina nguvu visiwani bara mdebwedo chadema wana nguvu bara na ukristo wao visiwani kwetu hawana nguvu hata ya kura moja!
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao.
Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika Jimbo la Kibiti, wakati akiendelea na ziara yake ya siku tatu katika majimbo matatu ya Mkoa wa Kichama wa Mwambao.
Ado Shaibu amesema tayari ACT Wazalendo kimezungumza na vyama vyenye nguvu vya upinzani, vikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Chama cha Wananchi (CUF) na NCCR- Mageuzi
Amesema vyama hivyo vina historia ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ambao walidai ulikumbwa na dhuluma. View attachment 3230552

Chama pekee ninachokiamini hapo ni CHAUMMA, japo hakina ushawishi wowote. ACT ni mashaka matupu, CUF na NCCR cdm wasithubutu kuungana nao hata kwa bahati mbaya, hasa kwenye hizi chaguzi za kihuni. Hawa ndio watahongwa kupotosha matokeo na kuleta migogoro isiyo na lazima.