LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kwa tume ipi? No reform no election, vyama vyote vikubaliane hapo kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa sishiriki chaguzi za kipuuzi boss, nawapa ushauri wenye muda wa kupoteza kwenye huo ushenzi uitwao uchaguzi.Kwani vipi utakwenda kupiga kura!
Sijui kama Chadema watakubali maana ni wabinafsi sana.Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao.
Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika Jimbo la Kibiti, wakati akiendelea na ziara yake ya siku tatu katika majimbo matatu ya Mkoa wa Kichama wa Mwambao.
Soma: Ado Shaibu: ACT Wazalendo, CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani tuungane kuing'oa CCM madarakani
Ado Shaibu amesema tayari ACT Wazalendo kimezungumza na vyama vyenye nguvu vya upinzani, vikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Chama cha Wananchi (CUF) na NCCR- Mageuzi
Amesema vyama hivyo vina historia ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ambao walidai ulikumbwa na dhuluma.
View attachment 3230552
CHADEMA hawaja wahi kuwa Wabinafsi ila nahisi wana historia ya kusalitiwa na hivi Vyama vya CCMSijui kama Chadema watakubali maana ni wabinafsi sana.
100% mkuu, mzee Heshima yake yote alioijenga kwa miaka mingi ,imeyeyuka kama barafu, ccm sio wa kucheka nao,Lipumba hata akigombea udiwani kata aliyozaliwa hakuna wa kumchagua
Chadema ilipofikia uwezo wa kusimama hata peke yake na kuiondoa ccm madarakani upo, so ni haki ya chama kupima nani wa kwenda nayeSijui kama Chadema watakubali maana ni wabinafsi sana.
Ulichoandika ndio ubinafsi wenyewe niliousema.CHADEMA hawaja wahi kuwa Wabinafsi ila nahisi wana historia ya kusalitiwa na hivi Vyama vya CCM
2019 na 2020 ACT waliwasaliti CHADEMA wakat waliposema kuwa wagomee Uchaguzi ila baaadae ACT wakakubali kushiriki uchaguzi
Vyama vyote hivyo vinamtegemea tu CHADEMA coz Lissu akigoma kuungana nao na kila mtu abaki kivyake,basi hawatopata Mbunge ata mmoja labda Pemba
Sawa wabinafsi. All the best!Chadema ilipofikia uwezo wa kusimama hata peke yake na kuiondoa ccm madarakani upo, so ni haki ya chama kupima nani wa kwenda naye
, mfano
Lipumba unampeleka wapi, bora mzee Hashim Rungwe.
NCCR unapeleka wapi, ambao viongozi wapo baada ya kupinduana
Hapo pa NCCR kidogo pana utata kwani 30 haeleweki ni mlamba asali!.Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao.
Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika Jimbo la Kibiti, wakati akiendelea na ziara yake ya siku tatu katika majimbo matatu ya Mkoa wa Kichama wa Mwambao.
Soma: Ado Shaibu: ACT Wazalendo, CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani tuungane kuing'oa CCM madarakani
Ado Shaibu amesema tayari ACT Wazalendo kimezungumza na vyama vyenye nguvu vya upinzani, vikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Chama cha Wananchi (CUF) na NCCR- Mageuzi
Amesema vyama hivyo vina historia ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ambao walidai ulikumbwa na dhuluma.
View attachment 3230552
CCM ni wabaya sn, angalia Ndugai analia kama panya100% mkuu, mzee Heshima yake yote alioijenga kwa miaka mingi ,imeyeyuka kama barafu, ccm sio wa kucheka nao,
Hivyo sio vyama vya upinzani Acha ubwegeChama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao.