Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa tume ipi? No reform no election, vyama vyote vikubaliane hapo kwanza
 
Sijui kama Chadema watakubali maana ni wabinafsi sana.
 
Sijui kama Chadema watakubali maana ni wabinafsi sana.
CHADEMA hawaja wahi kuwa Wabinafsi ila nahisi wana historia ya kusalitiwa na hivi Vyama vya CCM

2019 na 2020 ACT waliwasaliti CHADEMA wakat waliposema kuwa wagomee Uchaguzi ila baaadae ACT wakakubali kushiriki uchaguzi

Vyama vyote hivyo vinamtegemea tu CHADEMA coz Lissu akigoma kuungana nao na kila mtu abaki kivyake,basi hawatopata Mbunge ata mmoja labda Pemba
 
Sijui kama Chadema watakubali maana ni wabinafsi sana.
Chadema ilipofikia uwezo wa kusimama hata peke yake na kuiondoa ccm madarakani upo, so ni haki ya chama kupima nani wa kwenda naye
, mfano
Lipumba unampeleka wapi, bora mzee Hashim Rungwe.

NCCR unapeleka wapi, ambao viongozi wapo baada ya kupinduana
 
Ulichoandika ndio ubinafsi wenyewe niliousema.
 
Sawa wabinafsi. All the best!
 
Hapo pa NCCR kidogo pana utata kwani 30 haeleweki ni mlamba asali!.
Matias yuko wapi ulingo wa Siasa.
 
Ukata wa fedha unao vikumba vyama vingi vya siasa nchini umetajwa kua ndio chanzo na sababu kuu kwa vyama vingi vya vyama siasa nchini kutokuweka au kutosimamisha wagombea uongozi ngazi zote za uongozi katika uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema Oct. mwaka huu 2025.

Hakuna uwezekano kabisa kwa upinzani nchini kuungana na kufanya kazi pamoja katika uchaguzi mkuu wa safari hii Tanzania ukilinganisha na chaguzi nyingine zilizopita.

My friends, ladies and gentlemen,vipi kwa upande wa chama chako cha siasa, kuna hali gani ya kiuchumi kuelekea uchaguzi mkuu wa October 2025 au nanyi pia kuunga mkono wagombea wa chama tawala?

Na je,
ni kweli ukata wa fedha kwaajili ya uchaguzi ndio pekee sababu ya upinzani kutokuunganisha nguvu na kufanya kazi pamoja dhidi ya chama tawala kuelekea uchaguzi huu muhimu na wa kihistoria Oct 2025?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
H
Hivyo sio vyama vya upinzani Acha ubwege
 
hapana CHADEMA iwe makini sana , wao wanakitu kinaitwa no reforms no election hao wengine wako tayari kuunga mkono .....ACT walisema watashiriki uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…