ACT Wazalendo: Bandari ni Hoja ya Kiuchumi, Tunaunga Mkono Uwekezaji

Leo Jumatatu tar. 4. 9.2023 Saa 5:00 asubhhi Chama cha @ACTwazalendo kitatoa Uchambuzi, msimamo na Mapendekezo yake kuhusu sakata la #Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na @DPWorldUAE.

View attachment 2738378..
Ziko wapi hizo hoja za msimamo wao ili tuziweke kwenye mizani ya kipimo?

Mimi naona picha ya rangi ya zambarau na nembo ya chama chao...
 
Zitto ni mnafiki sana. Amevizia sakata limepoapoa huku wengine wakidai DP World hawaji tena ndo anajifanya kuleta maoni ya ACT. Walikuwa wapi muda wote!?, Zitto ni mnafiki na mdini sana.

Ukiona mtu yyte ana vidoti vyeusi usoni na weusi kwny kuzunguka macho yake, mtu huyo siyo wa kumuamini hata kidogo.
 
Ni zaidi ya wendawazimu ni uzombi kabisa huu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Dar al Salaam maana yake nini? Historia ya Ikulu ya Dar es Salaam inasemaje? ni tofauti na ile iayosema kuwa ilijengwa na wajerumani na ilikamilika 1905 kabla ya kupigwa mabomu na waingereza wakati wa vita ya kwanza ya dunia na kujengwa upya 1922 na waingereza? Au unazungumzia kijiji cha wavuvi cha Mzizima ambacho Sultan Majid bin Said alichokikuta alipokuwa anatafuta bandari mbadala ambayo ingemwezesha kuendelea na biashara yake haramu ya utumwa na kuipa jina la Dar al Salam?

Amandla...
 
We ndo huna akili inapaswa ukapimwe mkojo. Waonee huruma graduates hawana kazi mtaani uwekezaji ndo solution ya ajira.
Mbona Mbunge msukuma anadai ni mashine tu ndio zitatumika?. Uhakika haupo imebaki ahadi tu. Eti ajira zitakuwa nyingi, wakati serikali yenyewe imeshindwa.
 
Act wazalendo ni chama kinachojielewa
ACT shida yao majimbo ya Zanzibar, hawataki kusumbuliwa maana wakipata majimbo yote Pemba na baadhi unguja chama kitapata nguvu. Kwa Sasa kule Zanzibar ACT haina state figure Kama maalim Seif, nguvu sio Kama zamani.
 
Vibaka nyie mkasumbua sana babu zetu na biashara ya Slave ...munataka tena kutuludisha utumwani ...nyooko zenu
 
Hakuna lolote CHADEMA wapo field ACT wamebakia kubembeleza serikali iwape majimbo ya Zanzibar. Ndio maana wanajikomba na kujifanya neutral kumbe wanataka waachiwe majimbo Zanzibar.
 
ACT na kiongozi wenu zitto nyote mnachangamoto ya utimamu wa kiakili.
 
Mbona Mbunge msukuma anadai ni mashine tu ndio zitatumika?. Uhakika haupo imebaki ahadi tu. Eti ajira zitakuwa nyingi, wakati serikali yenyewe imeshindwa.
Kwani machine hazihitaji watu kama hr, accountants, management, marketing nk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…