Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

Wewe dada, kuwa mwangalifu na afya yako.
 
Mpiga kura hupiga kura akiamini anayempigia kura atashinda. Unaamini kuwa ccm itashinda? Kama jibu ni ndio unatofauti gani na imani anayoitumia seif? Kama jibu ni hapana basi ww sio mpiga kura.
 
Mbwa mbwekaji hata akiona karunguyeye usiku, anageuka kuwa kero hata kwa master wake. You know what I mean....
 
Hakuna kosa lolote hapo mbona Mrema kamuombea kura KICHAA?

 
Jibu kingereza basi Mimi nimeandika kingereza
Ajibu Kiingereza kwasababu gani? Mlivyo majinga masahaulifu, kipindi fulani juzi kati hapa mlikuwa mnaponda Kiingereza sasa hivi unakitaka cha nini? Mmeshatiwa jiti, kama unaona kero chomoa tambaa, kama vipi, sikilizia kimya kimya.
 
INAONYESHA KAMA MSAJILI ANATAFUTA NAMNA YA JAMBO FULANI LAKINI ANAKOSA CHANZO SAHIHI KITAKACHOWEZA KU KNOCK OUT
 
Hujui wanawaza nini usidanganyike na rangi angalia mwanza wanaccm wanavyojiunga na Dogo janja
Aangalie tu Mwenyekiti wake anavyopata shida kuunganisha Chama chake huko majimboni Hadi anafoka kuwa msipochagua ccm siwapi maendeleo.
 
Aangalie tu Mwenyekiti wake anavyopata shida kuunganisha Chama chake huko majimboni Hadi anafoka kuwa msipochagua ccm siwapi maendeleo.
Halafu hajui Crisis management yeye ni kufoka tu
 
Lowassa: Mimi sina mashaka juu ya kushinda, mashaka yangu atapita kwa kura ngapi. Huko kwa kina Lissu wameanza kujipambanua sana, maneno mengi, fujo zile, wanaonekana kwenye mamitaa, matv, matv mengine yanatisha tisha lakini tulimwambia Rais wetu usitishike hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…