Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili Bango lilitengenezwa na CCM.Nna shangaaa...View attachment 1579232
Walichoandika sio utetezi ni kukubali kosa na kuongeza kosa lingine .Kura ndio huamua nani atashinda !! Sio imani!!! Eti tunaamini Lisu atashinda!! Sababu ya umati unaojaa mikutano yake ya kampeni!! Aisee !!!!!!Kosa lipo wapi?
Wanasema aliunga Mkono kihalali ila hawa wameunga Mkono nje ya mud a kisheriaMwenyekiti wa ACT bado ni mwananchi wa kawaida ana haki ya kuwa na maoni binafsi ya kisiasa.
Sasa Mkurugenzi awaachie ACT wenyewe waamue kama Mwenyekiti wao amekikosea chama au la, Lakini siyo kazi ya msajili kuzuia mwananchi kutoa maoni ya kisiasa.
Hivi ni lini Mrema amewahi kuandika barua kwa msajili kumjulisha kuwa TLP itaiunga mkono CCM kwenye uchaguzi huu?
Na ni lini na kwenye kikao gani kumewahi kuwepo kukubaliana kuhusu coalition kati ya TLP na CCM kwa mujibu wa sheria mpya ya vyama vya siasa?
Mbona Mrema na chama chake wanamuunga mkono Magufuli na Msajili hajawahi kuiandikia barua TLP kuhusu hilo?
Walichoandika sio utetezi ni kukubali kosa na kuongeza kosa lingine .Kura ndio huamua nani atashinda !! Sio imani!!! Eti tunaamini Lisu atashinda!! Sababu ya umati unaojaa mikutano yake ya kampeni!! Aisee !!!!!!
Jamani hizi ofisi za vyama havina watu makini
Yaani barua wanaandika kwa msajili ya kumnadi Lisu serious? Mgombea wao Membe waliyemchagua wenyewe kupitia vikao halali vya chama wamempeleka wapi kwa kikao kipi ? kama wamemuondoa ugombea na Ku my replace na Lisu kikao gani cha vyama cha kikatiba kiliamua hayo?
Msajili hiyo barua ni ushahidi tosha hata clip ukiitupa jalalani haina shida hiyo barua ni official letter Ku confirm kuwa wao wana mnadi Lisu bila idhini ya kamati kuu ,mkutano mkuu wao wala taarifa ya kumuengua Membe kutoka Tume ya uchaguzi
Hiyo barua ni ushahidi tosha wa jinsi Act inavyoendeshwa kienyeji
Maelezo hayo yanatakiwa tu kufanyiwa uamuzi wamekiri na ni kama wanasema come what may!!
Uandishi huo wa barua ni uswahilini hasa
Kwenye barua ya ofisi au mitaani na kwenye mitandao?Una elewaje Mtu anapo sema ana 'Imani' na Mtu flani kuwa atashinda ..
Na una elewaje Mtu anaposema nnataka hawa wote washinde .
Wanasema aliunga Mkono kihalali ila hawa wameunga Mkono nje ya mud a kisheria
Walichoandika sio utetezi ni kukubali kosa kuongeza kosa lingine .Kura ndio huamua nani atashinda !! Sio imani!!! Eti tunaamini Lisu atashinda!! Sababu ya umati unaojaa mikutano yake ya kampeni!!
Jamani hizi ofisi za vyama havina watu makini
Yaani barua wanaandika kwa msajili ya kumnadi Lisu serious? Mgombea wao Membe waliyemchagua wenyewe kupitia vikao halali vya chama wamempeleka wapi kwa kikao kipi ? kama wamemuondoa ugombea?
Msajili hiyo barua ni ushahidi tosha hata clip ukiitupa jalalani haina shida hiyo barua ni official letter Ku confirm kuwa wao wana mnadi Lisu bila idhini ya kamati kuu ,mkutano mkuu wao wala taarifa ya kumuengua Membe kutoka Tume ya uchaguzi
Hiyo barua ni ushahidi tosha wa jinsi Act inavoendeshwa kienyeji
Kwenye barua ya ofisi au mitaani na kwenye mitandao?
Unaelewa maana ya barua ya kiofisi wewe?
Amejibu kama chama sio yeye binafsi.Hicho kikao cha chama kilichokaa na kutoa tamko LA kuamnini Lisu atashinda ni kipi ? Minute za kikao ziko wapi ? Kaandika sisi Act tunaamii Lisu atashinda sio kesi ambatanisha minute za hicho kikao cha kuamini kilichopitisha azimio LA kuamini Lisu atashinda na Magufuli atashinda
Hiyo ni official letter ya chama sio ya MTU binafsi mtandaoni au mtaani
Two wrongs don't make a rightSafi sana ACT Wazalendo! Kwanza watuonyeshe na barua waliyowaandikia TLP na UDP ambao wamemtangaza kabisa hadi kwenye mabango yao mgombea wa CCM wakati tume na hata ofisi ya msajili hawajawahipokea barua ya kuungana au kushiriana kwa vyama vyovyote hapa Tanzania kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu! Wapeni makavy hivyoivyo na waache tabia ya kuonyesha ukada wao kwa chama tawala hadharani!
Hii barua imejitoshereza kila kitu; kwanza inakanusha allegation za msajili wa vyama, pili inamfundisha majukumu yake, tatu imeelezea hali halisi na muelekeo wa uchaguzi na nne imesawazisha kwa kuitambua tume na kazi yake.
Hili halihusiani na mada iliyopo lifungulie Uzi tutakujibu huko acha kudandia mada za wengineMkuu nnaona unakwepa maana Halisi ya Swali nililokuuliza ,na hii kauli hapa ya Mkuu wa Nchi unaionaje ni sawa au sio sawa ?.👇👇View attachment 1579305
Yes, How many of them will do it???Two wrongs don't make a right