Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

Kosa lipo wapi?
Walichoandika sio utetezi ni kukubali kosa na kuongeza kosa lingine .Kura ndio huamua nani atashinda !! Sio imani!!! Eti tunaamini Lisu atashinda!! Sababu ya umati unaojaa mikutano yake ya kampeni!! Aisee !!!!!!

Jamani hizi ofisi za vyama havina watu makini

Yaani barua wanaandika kwa msajili ya kumnadi Lisu serious? Mgombea wao Membe waliyemchagua wenyewe kupitia vikao halali vya chama wamempeleka wapi kwa kikao kipi ? kama wamemuondoa ugombea na Ku mu replace na Lisu kikao gani cha vyama cha kikatiba kiliamua hayo?

Msajili hiyo barua ni ushahidi tosha hata clip ukiitupa jalalani haina shida hiyo barua ni official letter Ku confirm kuwa wao wana mnadi Lisu bila idhini ya kamati kuu ,mkutano mkuu wao wala taarifa ya kumuengua Membe kutoka Tume ya uchaguzi

Hiyo barua ni ushahidi tosha wa jinsi Act inavyoendeshwa kienyeji
Maelezo hayo yanatakiwa tu kufanyiwa uamuzi wamekiri na ni kama wanasema come what may!!

Uandishi huo wa barua ni uswahilini hasa
 
Mwenyekiti wa ACT bado ni mwananchi wa kawaida ana haki ya kuwa na maoni binafsi ya kisiasa.

Sasa Mkurugenzi awaachie ACT wenyewe waamue kama Mwenyekiti wao amekikosea chama au la, Lakini siyo kazi ya msajili kuzuia mwananchi kutoa maoni ya kisiasa.

Hivi ni lini Mrema amewahi kuandika barua kwa msajili kumjulisha kuwa TLP itaiunga mkono CCM kwenye uchaguzi huu?

Na ni lini na kwenye kikao gani kumewahi kuwepo kukubaliana kuhusu coalition kati ya TLP na CCM kwa mujibu wa sheria mpya ya vyama vya siasa?

Mbona Mrema na chama chake wanamuunga mkono Magufuli na Msajili hajawahi kuiandikia barua TLP kuhusu hilo?
 
Wanasema aliunga Mkono kihalali ila hawa wameunga Mkono nje ya mud a kisheria
 
Walichoandika sio utetezi ni kukubali kosa na kuongeza kosa lingine .Kura ndio huamua nani atashinda !! Sio imani!!! Eti tunaamini Lisu atashinda!! Sababu ya umati unaojaa mikutano yake ya kampeni!! Aisee !!!!!!

Jamani hizi ofisi za vyama havina watu makini

Yaani barua wanaandika kwa msajili ya kumnadi Lisu serious? Mgombea wao Membe waliyemchagua wenyewe kupitia vikao halali vya chama wamempeleka wapi kwa kikao kipi ? kama wamemuondoa ugombea na Ku my replace na Lisu kikao gani cha vyama cha kikatiba kiliamua hayo?

Msajili hiyo barua ni ushahidi tosha hata clip ukiitupa jalalani haina shida hiyo barua ni official letter Ku confirm kuwa wao wana mnadi Lisu bila idhini ya kamati kuu ,mkutano mkuu wao wala taarifa ya kumuengua Membe kutoka Tume ya uchaguzi

Hiyo barua ni ushahidi tosha wa jinsi Act inavyoendeshwa kienyeji
Maelezo hayo yanatakiwa tu kufanyiwa uamuzi wamekiri na ni kama wanasema come what may!!

Uandishi huo wa barua ni uswahilini hasa

Una elewaje Mtu anapo sema ana 'Imani' na Mtu flani kuwa atashinda ..

Na una elewaje Mtu anaposema nnataka hawa wote washinde .
 
Majibu ya ACT hayo
 
Attachments

  • IMG_20200924_141705_948.jpg
    IMG_20200924_141705_948.jpg
    85.6 KB · Views: 1
  • IMG_20200924_141702_362.jpg
    IMG_20200924_141702_362.jpg
    65.5 KB · Views: 1
Una elewaje Mtu anapo sema ana 'Imani' na Mtu flani kuwa atashinda ..

Na una elewaje Mtu anaposema nnataka hawa wote washinde .
Kwenye barua ya ofisi au mitaani na kwenye mitandao?
Unaelewa maana ya barua ya kiofisi wewe?

Amejibu kama chama sio yeye binafsi.Hicho kikao cha chama kilichokaa na kutoa tamko LA kuamnini Lisu atashinda ni kipi ? Minute za kikao ziko wapi ? Kaandika sisi Act tunaamii Lisu atashinda sio kesi ambatanisha minute za hicho kikao cha kuamini kilichopitisha azimio LA kuamini Lisu atashinda na Magufuli atashinda

Hiyo ni official letter ya chama sio ya MTU binafsi mtandaoni au mtaani
 
Safi sana ACT Wazalendo! Kwanza watuonyeshe na barua waliyowaandikia TLP na UDP ambao wamemtangaza kabisa hadi kwenye mabango yao mgombea wa CCM wakati tume na hata ofisi ya msajili hawajawahipokea barua ya kuungana au kushiriana kwa vyama vyovyote hapa Tanzania kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu! Wapeni makavy hivyoivyo na waache tabia ya kuonyesha ukada wao kwa chama tawala hadharani!
 
Wanasema aliunga Mkono kihalali ila hawa wameunga Mkono nje ya mud a kisheria

Mrema hakufuata utaratibu wa kisheria uliolekezwa wa namna ya kufanya coalition.
Kwanza coalition ni makubaliano ya vyama viwili, uliona lini CCM wamekaa kikao kupitisha azimio la kufanya Coalition na TLP?
 
Walichoandika sio utetezi ni kukubali kosa kuongeza kosa lingine .Kura ndio huamua nani atashinda !! Sio imani!!! Eti tunaamini Lisu atashinda!! Sababu ya umati unaojaa mikutano yake ya kampeni!!

Jamani hizi ofisi za vyama havina watu makini

Yaani barua wanaandika kwa msajili ya kumnadi Lisu serious? Mgombea wao Membe waliyemchagua wenyewe kupitia vikao halali vya chama wamempeleka wapi kwa kikao kipi ? kama wamemuondoa ugombea?

Msajili hiyo barua ni ushahidi tosha hata clip ukiitupa jalalani haina shida hiyo barua ni official letter Ku confirm kuwa wao wana mnadi Lisu bila idhini ya kamati kuu ,mkutano mkuu wao wala taarifa ya kumuengua Membe kutoka Tume ya uchaguzi

Hiyo barua ni ushahidi tosha wa jinsi Act inavoendeshwa kienyeji

Kwenye barua ya ofisi au mitaani na kwenye mitandao?
Unaelewa maana ya barua ya kiofisi wewe?

Amejibu kama chama sio yeye binafsi.Hicho kikao cha chama kilichokaa na kutoa tamko LA kuamnini Lisu atashinda ni kipi ? Minute za kikao ziko wapi ? Kaandika sisi Act tunaamii Lisu atashinda sio kesi ambatanisha minute za hicho kikao cha kuamini kilichopitisha azimio LA kuamini Lisu atashinda na Magufuli atashinda

Hiyo ni official letter ya chama sio ya MTU binafsi mtandaoni au mtaani

Mkuu nnaona unakwepa maana Halisi ya Swali nililokuuliza ,na hii kauli hapa ya Mkuu wa Nchi unaionaje ni sawa au sio sawa ?.👇👇
IMG-20200902-WA0014.jpg
 
Safi sana ACT Wazalendo! Kwanza watuonyeshe na barua waliyowaandikia TLP na UDP ambao wamemtangaza kabisa hadi kwenye mabango yao mgombea wa CCM wakati tume na hata ofisi ya msajili hawajawahipokea barua ya kuungana au kushiriana kwa vyama vyovyote hapa Tanzania kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu! Wapeni makavy hivyoivyo na waache tabia ya kuonyesha ukada wao kwa chama tawala hadharani!
Two wrongs don't make a right
 
Hii barua imejitoshereza kila kitu; kwanza inakanusha allegation za msajili wa vyama, pili inamfundisha majukumu yake, tatu imeelezea hali halisi na muelekeo wa uchaguzi na nne imesawazisha kwa kuitambua tume na kazi yake.
Kiuchambuzi ACT wamempiga bao msajili maana anaonekana anapwaya kwenye nafasi yake au anapwaishwa kwa maslahi ya chama fulani.
 
Back
Top Bottom