Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
Itakuwa siku mbaya sana kwa wapinzania na CHADEMA aisee"John Joseph Pombe Magufuli anatosha" na baada ya tamko hilo akamuunga mkono JPM.
Je, Msajili wa Vyama vya Siasa atafoka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa siku mbaya sana kwa wapinzania na CHADEMA aisee"John Joseph Pombe Magufuli anatosha" na baada ya tamko hilo akamuunga mkono JPM.
Je, Msajili wa Vyama vya Siasa atafoka?
Fundi ujenzi bana 🤣🤣Endelea kuota. Lisssu ndo Rais anayesubiri kuapishwa, baada ya Fundi ujenzi kumaliza miaka yake mitano.
Kuna mijitu mipumbavu kama huyu msajili wa vyama anayezeeka na upumbavu wake.
Yaani huyu msajili hadi anatia aibuIle kauli alitoa Sefu kama Sefu kuwa anaimani Raisi wa Jamhuri atakuwa Lissu, hayo ni maoni binafsi kama maoni ya Mrema na Cheyo kuwa Magufuli atashinda Urais wa Tanzania.
Hata hivyo ACT hawajaungana na Chadema ila wanaimani Chadema itashinda Uchaguzi Mkuu kama ambavyo Chadema wanaimani ACT watashinda Zanzibar 2020...
Ina maana nchi hii wenye haki kuungwa mkono ni CCM tu vyama vingine havina hiyo haki nini maana ya demokrasia Sasa.
Safari hii CCM ijiandae kuwa chama chaRungu lipo pale pale, hakuna janja janja. ACT na CHADEMA waenguliwe kwenye mbio za Urais.
Watataga tule tuyai tudogoooo, twa jogoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana ACT. Mataga lazima watage mwaka huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukiamua mnaenguliwa wote tunambakiza Lipumba na Rungwe halafu tuone mtafanya niniKweli mshedede unawapenya vilivyo! 🤣
Safari hii ccm ijiandae kuwa chama cha
Mtapata taabu sana. Sasa hapo ndio umeandika nini?Walichoandika sio utetezi ni kukubali kosa na kuongeza kosa lingine .Kura ndio huamua nani atashinda !! Sio imani!!! Eti tunaamini Lisu atashinda!! Sababu ya umati unaojaa mikutano yake ya kampeni!! Aisee !!!!!!
Jamani hizi ofisi za vyama havina watu makini
Yaani barua wanaandika kwa msajili ya kumnadi Lisu serious? Mgombea wao Membe waliyemchagua wenyewe kupitia vikao halali vya chama wamempeleka wapi kwa kikao kipi ? kama wamemuondoa ugombea na Ku mu replace na Lisu kikao gani cha vyama cha kikatiba kiliamua hayo?
Msajili hiyo barua ni ushahidi tosha hata clip ukiitupa jalalani haina shida hiyo barua ni official letter Ku confirm kuwa wao wana mnadi Lisu bila idhini ya kamati kuu ,mkutano mkuu wao wala taarifa ya kumuengua Membe kutoka Tume ya uchaguzi
Hiyo barua ni ushahidi tosha wa jinsi Act inavyoendeshwa kienyeji
Maelezo hayo yanatakiwa tu kufanyiwa uamuzi wamekiri na ni kama wanasema come what may!!
Uandishi huo wa barua ni uswahilini hasa
Jaribuni kama hatujawazalisha mapacha kwa nguvu! Huyo mla rushwa wenu hebu mtoe tafadhaliTukiamua mnaenguliwa wote tunambakiza Lipumba na Rungwe halafu tuone mtafanya nini
View attachment 1579498