Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Nimeshiriki figisu figusu za uchaguzi mkuu kuanzia mwaka 2000 hadi 2010, sikuwahi kupiga kura.

Lakini mwaka huu, nikijaaliwa afya njema nitampigia Lissu, siwezi kuishi na mateso haya ya Magufuli kwa miaka 5 mingine. Eeh mwenyezi Mungu nisaidie.
Nimekupa like ya 60 na ukafanye hivyo Kama ulivyo nena
 
Nimeshiriki figisu figusu za uchaguzi mkuu kuanzia mwaka 2000 hadi 2010, sikuwahi kupiga kura.

Lakini mwaka huu, nikijaaliwa afya njema nitampigia Lissu, siwezi kuishi na mateso haya ya Magufuli kwa miaka 5 mingine. Eeh mwenyezi Mungu nisaidie.
Utabarikiwa mkuu maana Mungu ni mkubwa
 
Hivi mna habari kwamba jina lake bado litakuwepo kwenye orodha ya wagombea?

Hata kama amejiondoa kimya kimya, bado kuna watu watampigia kura, labda aje sasa hadharani atamke kuwa amejitoa, vinginevyo kuna kura ataharibu
Wapi wewe...watanzania wa leo sio wa jana..watu wanasmart phones hadi vijijini..Maalim kasema imepita hiyo..
 
Mungu ibariki Tanzania [emoji1241]
 
Jamaa ana roho mbaya sana ndugu zangu mkimchagua tu hali itakuwa mbaya sana Mara dufu.
Naitafute ile video ya dogo mmoja alikuwa anatamka hayo maneno ya "ana roho mbayaaaa!!!"

Sijui intaipata wapi ile video[emoji1787][emoji1787]
 
Baada ya 28 oktoba uje urejee hii coment yako, ccm ni zaidi ya jabali
 
Tanzania ya jamiiforum ni tofauti kabisa na Tanzania ya mtaani. Nikisoma comments za makada humu jf naishiaga kucheka.

Oktoba 28 inakuja aliye na kisu kikali ndio atakula nyama. Upinzani hamjajipanga na huo ndio ukweli. Acheni kudanganyana humu mitandaoni.
 
So what? Kuna jipya lolote? Hivi kweli chadema inaamini kuwa inaweza itoa CCM kwa kuungana na act?
Kama Hamjui mtajua mwaka huu. Lindi, Mtwara, Zanzibar na Tanga Membe na Maalim wanapeleka kura zote kwa Lissu!

Kigoma na Tabora- Zitto Kabwe anapeleka kura zote kwa Lissu

Tundu Lissu anamalizia Dar es Salaam, Morogoro, Iringa, Singida, Mara, Kagera , Mwanza, Simiyu, Katavi, Rukwa , Mbeya , Songwe,Njombe na Pwani, Arusha, Kilimanjaro na Manyara huku Shinyanga akibeba Nusu!


Magu anachukua Geita na Dodoma!!!

CCM ndo watajua hawajui mwaka huu😂😂😂

Go Lissu.......,,,,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…