Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,408
- 4,392
Kushindana na mgonjwa mtambuka utaweza wapiHata sijui unazungumza nini wewe lofa wa ufipa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushindana na mgonjwa mtambuka utaweza wapiHata sijui unazungumza nini wewe lofa wa ufipa.
Ccm ilishajifia mara tu baada ya kifo cha baba wa taifa letuUpinzani ulishakufa tangu 2015 kililichobaki ni futuhi.
Nimekupa like ya 60 na ukafanye hivyo Kama ulivyo nenaNimeshiriki figisu figusu za uchaguzi mkuu kuanzia mwaka 2000 hadi 2010, sikuwahi kupiga kura.
Lakini mwaka huu, nikijaaliwa afya njema nitampigia Lissu, siwezi kuishi na mateso haya ya Magufuli kwa miaka 5 mingine. Eeh mwenyezi Mungu nisaidie.
Naona umerudi zamu kwa kishindo.
Hujafa hujaumbika.
Utabarikiwa mkuu maana Mungu ni mkubwaNimeshiriki figisu figusu za uchaguzi mkuu kuanzia mwaka 2000 hadi 2010, sikuwahi kupiga kura.
Lakini mwaka huu, nikijaaliwa afya njema nitampigia Lissu, siwezi kuishi na mateso haya ya Magufuli kwa miaka 5 mingine. Eeh mwenyezi Mungu nisaidie.
Wapi wewe...watanzania wa leo sio wa jana..watu wanasmart phones hadi vijijini..Maalim kasema imepita hiyo..Hivi mna habari kwamba jina lake bado litakuwepo kwenye orodha ya wagombea?
Hata kama amejiondoa kimya kimya, bado kuna watu watampigia kura, labda aje sasa hadharani atamke kuwa amejitoa, vinginevyo kuna kura ataharibu
Wanapasha mazoezi kidogo hapo bahari ya hindi 😂😂😂😂😂!! Dadeki CCM mtajua hamjui mwaka huuTanzania ni taifa huru
Hatuwezi kuingiliwa na fala yoyote yule hata awe nani tutamgalagaza
Naona umeishiwa hoja umebakiza viroja tu.Atajinyea yeye kwanza na kale kamguu kake.
Una kitambulisho cha mpiga kura?Wakuu muniombee niwe mzima tarehe 28 ya Oktoba niamke mzima nikapige kura kwa mara ya kwanza tangu nipate akili.
Membe alifikiri kelele za mitandaoni na huku field zipo,!Ogopa watz... wanakusifia kisha wanakusahau...
Mbobezi out....
Viva JPM
Mungu ibariki Tanzania [emoji1241]Hadi sasa nilichogundua ni kuwa ACT na Chadema wana strategist ambao ni over extra smart. Ni dhahili sasa CHADEMA NA ACT wamewaoutsmart Ccm.
Mwaka huu Hiatoria Kuu inaenda kuandikwa Tanzania.
Tundu Antiphas Lissu Raisi Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025
Maalim Seif Raisi wa Zanzibar 2020- 2025.
Ndo kawaida yake, hachelewi kupaniki.Kesho badala ya kampeni jiwe atatumia muda mwingi kuwafokea wapiga kura.
Naitafute ile video ya dogo mmoja alikuwa anatamka hayo maneno ya "ana roho mbayaaaa!!!"Jamaa ana roho mbaya sana ndugu zangu mkimchagua tu hali itakuwa mbaya sana Mara dufu.
Baada ya 28 oktoba uje urejee hii coment yako, ccm ni zaidi ya jabalijamaa yako aliwatosa na kuwadharau wale waliokuwa wapanga mikakati ya wizi wa kura.. akawanyang'anya chama akawadhihaki, akawatukana, akawatenga wakati wao ndo walimpigia kampeni mpaka wakavunjikia huko na mikono, wakakesha kwenye vyumba huko kubadili matokeo ya kura lakin baada ya jamaa kuapishwa akawatenga kama wakoma, chama akakikabidhi kwa kina sloo sloo wasiokijua chama, akawachukua na wale wale wapinzani akawalundikia vyeo kwa nguvu huku kina februari maropu kinana na napi wakafanywa vidampa.
ccm asilia hawatampa kura hata moja jamaa yako bali atapata tukura tuchache twa ccm mpya(ambayo kimsingi ni "ccm isiyo ccm"), kura za ccm asilia zote ni kwa tundu lisu..ccm asilia wanajua na wameshaamua ni kheri usu shari kuliko shari kamili...kuliko kumpa jamaa miaka mitano tena ya kuwanyamyasa ni heri tu nchi akabidhiwe Lisu ufunguliwe ukurasa mpya...bushiru hata akitishia nyau haisaidii kwanza haijui ccm huyo na ccm si yake, yeye ni wakuja tu ndani ya chama..
na wanachokifanya CCM Asilia wala si cha ajabu, wao kama wenye CCM Asili wanatunza heshima ya chama na kutimiza maono ya muasisi wa chama kuwa Upinzani wa kweli utatoka Ndani ya CCM na kuwa CCM si baba yangu wala si mama yangu...by JK Nyerere.
Mbona Polepole na Bashiru wanamtaka?Hali ya CCM ni mbaya sana. Watu hawamtaki magufuli mchana kweupe. Historia kuu inaenda kuandikwa Tanzania mwaka huu
Tayizo liko wapi kwani?Naona umeishiwa hoja umebakiza viroja tu...
Kama Hamjui mtajua mwaka huu. Lindi, Mtwara, Zanzibar na Tanga Membe na Maalim wanapeleka kura zote kwa Lissu!So what? Kuna jipya lolote? Hivi kweli chadema inaamini kuwa inaweza itoa CCM kwa kuungana na act?