Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
Unapofanyia wanadamu uharifu utegemee mawili - Wakuvumilie au wapambane nawe kwa kuvunja haki zao, ukiona watu wamepambana nawe usianze tafuta au kumpa lawama aliyewashitua na kuwapa mbinu ya kukuchabanga, unatakiwa kutofanya uharifu utochabangwa, usitegemee kuvumiliwa tuJP Magufuli hatoachia urais kupitia sanduku la kura. Hivyo hivyo Zanzibar. Maalim Seif hatopewa urais.
Humu jamvini tunajifariji tu. Mwaka 1995 na 2015 bila shaka Wapinzani walishinda (Mrema & Lowassa) lakini hawakupewa Nchi. Maalim anashinda kila uchaguzi. Kwa wenye kumbukumbu kiduchu tu wanakumbuka walichofanya jeshi/TISS mwaka 2015 pale Zenji.... mchana kweupe!
Hii comment ntairudia early November 2020 baada ya NEC & ZEC kufanya yao
Ataungana na lipumba yy kwani wao makaburi yao ni ya wasalitiBado mama Tanzania
Labda auweMwisho wa siku Magufuli atakua ndiye rais wako!
Kwa nini unateseka?Maamuzi ya ajabu kabisa haya
Msumari mgumu kwa janaa wale waliotunga njama mbaya kwamba hakuna muungano wa vyama.BREAKING NEWS: Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo taifa, Seif Sharif Hamad amemuidhinisha mgombea wa Chadema Tundu A Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Taarifa zaidi kufuata baadaye
Source: EATV
Kwahiyo Membe sasa hivi siyo mamluki tena?CCM wametupiwa changa la macho
Tanzania ni taifa huruVikosi viko stand-by pale us military base Djibouti. Ajaribu aone
Kwahiyo huu muungano ni zaidi ya uke wa ukawa?Msumari mgumu kwa janaa wale waliotunga njama mbaya kwamba hakuna muungano wa vyama.
Sasa muungano umekuja kwa namna ambayo hawakuwahi kufikiri na madhara yake ni mabaya kuliko yale waliyotaka kuyadhibiti.
Maneno ya Mungu Muumba yanasema, 'adai atakujia katika njia moja lakini Mungu atamtawanya kwa hofu kwa njia saba'
Hili neno linawadhihirikia sisiem kwa sasa.
Huna tofauti na mwakiembe maandishi yako mwenyeo unayakana kwa kutetea uongo ujulikane ukweliWapi nimemdhihaki?
Lofa wa ufipa wewe. Umeona huyo jamaa yako niliyemjibu ametumia lugha gani?Kwani wewe inakusaidia nn kusema na kale kamguu kake mjinga mkubwa wewe ila sio kosa lako njaa inakusumbua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwakuwa Seif kasema rais wa tz ni Lisu?Jiwe jiandae kutoka ikulu
Ule wa namna ya ukawa ndio wali utungia sheria za kuusiriba wasijui wasijui kuwa maji ya mafuriko hayazuiliwi kwa kuukinga mkondo.Kwahiyo huu muungano ni zaidi ya uke wa ukawa?
Huu wenyewe mnauitaje?
Membe jina lake halikuwewepo kwenye orodha ya wapigiwa kura?
Kwani mushawahipo kushinda kihalali nyinyiCCM uchaguzi huu inashinda ushindi mnono sana kupita chaguzi zote.
Kwendraa!Huna tofauti na mwakiembe maandishi yako mwenyeo unayakana kwa kutetea uongo ujulikane ukweli
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hii nchi sio ya CCM..Tanzania ni CCM, itabaki kuwa hivyo