Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uko right 📍 na huo ndo ukweli nchi hii CCM kutoka madarakani hiiiiiiiii
 
Atajinyea yeye kwanza na kale kamguu kake.
Hii hapana, is un ethical. Waeleze tu kuwa Upinzani wa Mwaka huu ni Kama ni mchanganyo mchanganyo kwani haiwezekani Wanamgombea wao wanashindwa kumnadi si ni upuuzi huo. Sasa Mbobezi hapo si atajinyonga. Kwisha habari yake. Kiherehere kimemponza
 
Wengine tutaandika baadae ila haya ya ACT na Chadema ni kichekesho! Another drama tena pacha na ile ya 2015! Ngoja tuwaache wenye mihemuko yao kwasasa ila hapa hakuna matokeo chanya.

Kuungana ni nguvu ila hili la ACT na Chadema ni drama!
 
Lile swali la Dr Slaa ni muhimu sana, ACT ni asset au liability? Achana na Zanzibar.
 
Mkuu naona umeweka na kajina kabisa, pambana mkuu uenda ikitokea mgombea wenu akifanikiwa utakumbukwa katika uteuzi
Na ubaya zaidi walichofeli vyama vya upinzani, ni ku copy, edit &paste Ilani ya CCM, kwa maana nimebahatika kusoma ilani zote hizo na nimegundua hilo, upinzani bado hawana uwezo wa kuiongoza nchi hii ya Tanzania.
 
mwenyekiti alishanyoosha maelezo bbc kwamba mgombea wao ni membe,
119963305_720564192006545_879249151297148844_n.jpg

Hii siasa inabadirika kila sekunde..unataka na kavideo
 
View attachment 1576755
Hii siasa inabadirika kila sekunde..unataka na kavideo

wacha kujikanyaga, jana membe kaweka mkazo twitter! wewe unaleta post za miezi 6 nyuma, Na kwa kuongezea zitto nae kaweka mkazo kama ulifuatilia mahojiano yake bbc! inshort wewe endelea kuishi kwenye game lako, cha msingi jiandae tu kisaikolojia, angalia hii tweet imepostiwa lini na picha lako lina miezi mingap



bila shaka utatuliza presha sasa
 
Zito mwenyewe alisema wafuasi wake kule Kigoma wakamsikilize Tundu Lissu, hiyo imeshatoka yule jamaa ni miyeyusho
 
Hadi sasa nilichogundua ni kuwa ACT na Chadema wana strategist ambao ni over extra smart. Ni dhahili sasa CHADEMA NA ACT wamewaoutsmart Ccm...
Haya Lord Denning subiri uone. Mungu yuko nasi na hawezi kuruhusu ukoloni mambosasa. Magufuli ni kiboko cha Mabeberu wanaotamani kupora mali zetu na sasa wanaendelea kutapatapa. Hiyo ni Plan B yao baada ya kuona maji yako shingoni. Tusubiri mwisho watakaposema wameibiwa kura.
 
Ogopa watz... wanakusifia kisha wanakusahau...

Mbobezi out....

Viva JPM
Kama mlivyokuwa mnamsifia jiwe kwamba 2020 hana haja ha kupiga kampein badala yake kakutana na mziki mnene Hadi kaamua kubeba wasanii wote ili kuvuta watu [emoji2957]
 
JP Magufuli hatoachia urais kupitia sanduku la kura. Hivyo hivyo Zanzibar. Maalim Seif hatopewa urais.

Humu jamvini tunajifariji tu. Mwaka 1995 na 2015 bila shaka Wapinzani walishinda (Mrema & Lowassa) lakini hawakupewa Nchi. Maalim anashinda kila uchaguzi. Kwa wenye kumbukumbu kiduchu tu wanakumbuka walichofanya jeshi/TISS mwaka 2015 pale Zenji.... mchana kweupe!

Hii comment ntairudia early November 2020 baada ya NEC & ZEC kufanya yao
Haya Bwana/Bibi Consultant endelea kujifariji kwa uongo uliotukuka lakini Watanzania walio wengi hawadanganyiki. Hivi wewe unapendelea sera mfu za kutugawa Watanzania, kushabikia ushoga, kuweka rehani mali zetu, n.k.? Hatuwezi kufanya majaribio ya kunywa sumu. Hata wakiungana CCM itaibuka kidedea kwa sababu sera zake nzuri sana na wameishaonyesha uwezo wa kutenda wanayoahidi.
 
Back
Top Bottom