battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,712
- 2,577
ACT Wazalendo , wanazungumzia matakwa ya wazanzibari. Hi kauli mbiu ya Mamlaka kamili ilisha watilisha wengi ndani kwa kuonekana wanahatarisha Muungano.Duniani kote vyama huungana na kuwa na itikadi moja na kuunda Serikali, Kama sio swala la Tumbo maana yake ACT inakubaliana na Sera za CCM ndio maana wakaungana, tafuati na hapo wadanganyeni wajinga
Lakini ujuwe kuwa Chama cha siasa kina Maono yake na Mtazamo wake wa jinsi ya kuendesha nchi na siasa.
Huu Muungano usiokuwa na DIRA ni wa CCM si wa Chadema wala ACT.
Hata Mfumo wa Uendeshaji nchi wa mikoa ni wa CCM , chadema wao ni Majimbo. na Serikali 3
CCM sera yao ya msingi ni serikali 2 kuelekea 1. LakiniCCM Zanzibar hawaitaki hiyo. hapo ndio utaona kuwa kuna KIJAMBO kimejificha chini ya MUUNGANO.
ndio maana wenye maono tofauti wanataka shirikisho ambalo linaweza likaziunganisha nchi nyingine nyingi tuu.