Haters nawaambia nimerudi kutakuwa na 'harmony and Peace " hili ban lilinikuta nikiwa nimetoka tayari Mwanangu
Selikavu alinipigia kuniambia ananiona nimekula ban
Nikambishia nikasema umeona vibaya sababu nilikuwa nimetoka Jf kwa masaa mengi mno nikiwa na dhamira ya kuicha mdogo mdogo Kisha kusepa , nikamwambia naenda kucheki hatimaye nikakuta ban la wiki Moja kwa kosa ambalo ni kichekesho sana . Nikaona anyway wamenirahishia kazi yangu maana nilikuwa naona ugumu .
Siku hiyo nilikuwa bize nachat
Seran friendly nikasikia na yeye kala ban , pamoja na rafiki yangu mwingine
secretarybird . Watu wote wa 3 tulikula ban siku Moja 😂
View attachment 3682970