wamepiga mikeka tu humo, hadi tingetinge hapo bakwata kote humo hadi malawi hospital, nimepita mara ya mwisho mwezi february kiwalani humo ujenzi ulikua unaendeleaAah aah nmekaa sana pande hizo.
Pale relini sokoni kulikuwa na gari za mjini kati Kkoo zinapitia bombom na kijiwe samli kule viwandani.
Baadae njia ikawa mbaya kutokana na mvua gari zikawa hazipiti siku hizi kote wametandika mikeka ya maana.
Pia pale yombo relini kulikuwa na vipanya vya kwendea tandika unapitia darajani nyuma nyuma huku ilikuwa shoti kati moja matata sana ukipanda ukiibuka chap upo tandika.
Siku hizi yombo,lumo na kiwalani yake zimetandikwa mikeka ya kwenda.
Daah kama wametandika mikeka kote kutakuwa unyama sana uko.wamepiga mikeka tu humo, hadi tingetinge hapo bakwata kote humo hadi malawi hospital, nimepita mara ya mwisho mwezi february kiwalani humo ujenzi ulikua unaendelea
Oya dogo unajifanyaga wewe ni book worm kipanga. Ngoja matokeo ya four yatoke mwakanMiradi ya DMDP Yombo Kuna lami za viwango sana Kuna sehemu ukipita utashangaa🔥 🔥 🔥
loose Nut mkubwa hovyo , siku hizi amefuata ushauri wangu anasoma kasema anataka kuishi meaningful life amechoka Unyangwisi
Chana naooo!!I miss you too 😘 , watanipa mikosi na kushusha heshima yangu ni kuwapuuza tu .
Ile Gang ya haters ikija itaanza kumwaga mitusi , sitowapa attention tena 😂
Daah kama wametandika mikeka kote kutakuwa unyama sana uko.
Nataka mwisho wa mwezi huu nktatembee kitambo sana sijafika pande hizo.
waswahili wanasema ni kama mbele tu sasahiviMsuaso wa Vituka 😂
Nilipapenda sana , mitaa ilikuwa na vibe na hekaheka balaa 🔥
Nakuona Mwana Vituka mwenzangu
Oya dogo unajifanyaga wewe ni book worm kipanga. Ngoja matokeo ya four yatoke mwakan
View attachment 3683150
haya ni maendeleo makubwa sana.Hiki kituo Cha afya MalawiView attachment 3683187
Nyangwisi Mimi form 4 nilimaliza 2018 hii TBT , shati Moja la shule nililichorachora hapo Lina rank ya form 4Oya dogo unajifanyaga wewe ni book worm kipanga. Ngoja matokeo ya four yatoke mwakan
View attachment 3683150
Karibu tena great thinker 🔥🔥Haters nawaambia nimerudi kutakuwa na 'harmony and Peace " hili ban lilinikuta nikiwa nimetoka tayari Mwanangu Selikavu alinipigia kuniambia ananiona nimekula ban
Nikambishia nikasema umeona vibaya sababu nilikuwa nimetoka Jf kwa masaa mengi mno nikiwa na dhamira ya kuicha mdogo mdogo Kisha kusepa , nikamwambia naenda kucheki hatimaye nikakuta ban la wiki Moja kwa kosa ambalo ni kichekesho sana . Nikaona anyway wamenirahishia kazi yangu maana nilikuwa naona ugumu .
Siku hiyo nilikuwa bize nachat Seran friendly nikasikia na yeye kala ban , pamoja na rafiki yangu mwingine secretarybird . Watu wote wa 3 tulikula ban siku Moja 😂
View attachment 3682970
💪Asante pamoja sana Kaka
maendeleo makubwa sana haya , namshukuru mama samia kwa niaba ya wanayombo wote 🤣Asante malawi imeshine siku hizi huduma muhimu zinapatikana mpaka raha