'Adriz the Goat ' nimerejea rasmi JF baada ya safari yangu meditation

Karibu sana sana mdogo wangu. Nimefurahi umerudi japo kuna siku nikawa najisema si ajabu akamaliza mwaka huyu. πŸ˜ƒ

Hiyo style yako ya maisha nimeipenda iko vizuri. Hapo kwenye meditation na swala naona tunaruka pamoja, Allah azidi kutuongoza zaidi na zaidi. 🀝
 
Ulifanya jambo la maana sana kwenda kumuona.. hawa wazee huwa wanapata farja fulani hivi ya Moyo kwenda kuwatembelea ... Inapendeza sana hii
 
Shukran sana bro , huyo loose Nut kama jina lake lilivyo ndivyo alivyo sio mwanangu kabisa ila anafosi ukaribu kupitia ugomvi japo ananikubali na aliwahi KuAppriciate kuwa nimechangia mabadiliko yake chanya sababu huwa nampa ukweli kwa njia ya utani.

Huyo kila ID inayompinga katika swala Fulani haswa ya kidini basi anaituhumu kuwa Mimi , na hali hiyo inamtokea baada ya kuvutia mabange yake
 
Wazee wa Jet Lumo, Bombom Kijiwe samli. Hivi Jimmy Woodland ndiyo ilikuwa bar yenu ya kishua eeh
 
Najua kunusa id za watu mkuu.
Basi umekosea pakubwa safari hii .

Watu wengi walikuwa na wengine wanahisi ni Mimi sababu alichukua identify yangu ya kuweka picha ya Jumong Kuna siku nikastaajabu hadi profile banner yake kaweka kama yangu . Ila sikuwa na shida labda huenda ananikubali sana na Mimi ananiona kama role model wake kwani alikuwa mtu wa mwanzo kuniFollow Jf .

Watu wa mwanzo kuhisi Mimi ni mufti Kuku sasa hawana dhana hiyo baada ya uchunguzi kwanza tunatofautiana kabisa mambo mengi, tuliwahi kukaribia kugombana kabla na baada ya MO29 sababu yeye alikuwa mwanaharakati mkubwa wa maandamano na Mimi nilikuwa front kupinga kabla na baada .

Mwisho nakupa code , haingii akilini niwe na parody halafu niweke kila kitu kama ID yangu kuu kuanzia profile picture handi profile banner . Kama nikiona haja ya kuwa na parody itakuwa kwa mission maalumu na itakuwa tofauti kabisa na ID kuu ili iwe ngumu kujulikana , na sio nije na parody ambalo hata kipofu anajua ni Mimi hiyo hapana.

Kuna watu wengi wananiiga wengine kwa kunikubali kama huyo " Mufti Kuku " wengine kwa uadui kama Adryz na driz de Mafwele, ndio maana nikaamua Kuverify akaunti yangu ili niwe salama na mtu aweze kutofautisha kati ya hao fake na Mimi Og
 
Uwiii....watu ni madogo humu balaaa😝😝😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…