Adui wa mwanadamu duniani

Adui wa mwanadamu duniani

Soon technology itashida kifo.... Cells regeneration technology ambayo ndo inaendelea kwa sasa na utengenezwaji wa synthetic humans ndo ita fasten hiyo issue... kifo kitakuwa historia.... ila kwanza lazima wa Depopulating watu kupitia WW3 and other to come
 
Jimena
Hata usipate shida,Allah Hajui Hesabu.
Huu ndiyo ukweli na Inabidi tuuseme Maana Hamna Jinsi.

Na kama Anajua Hesabu,Basi atakuwa Anasumbuliwa na Amnesia.
Huwezi kusema Niliumba Dunia kwa sita 6,Halafu Baadae ukasema Niliumba kwa siku 2.

Huu si ni ugojwa wa kupoteza kumbukumbu.?Ebo..!

Sasa wanamuamini vipi ikiwa hata hesabu hajui? Hana hata kumbukumbu? Huu ni msiba mkubwa kwa wenzetu.
 
Last edited by a moderator:
Soon technology itashida kifo.... Cells regeneration technology ambayo ndo inaendelea kwa sasa na utengenezwaji wa synthetic humans ndo ita fasten hiyo issue... kifo kitakuwa historia.... ila kwanza lazima wa Depopulating watu kupitia WW3 and other to come

Hilo haliwezi kutokea.Kauli ya Mwenyezi Mungu kwamba kila nafsi itaonja umauti HAKUNA WA KUITENGUA.Wakusanyike wanasayansi wote nguli waliohai na waliokufa,washirikiane na majini na watumie kila namna ya ujuzi na rasilimali ili kuzuia KIFO;KAMWE HAWATAWEZA.
 
Hapo Ndiyo Upeo wako wa Akili ulipoishia
Ngoja nikupeleke Zamani sana,Karne ya 5.
Wakati Huo,ukisema kuwa siku Moja Mwanadamu ataweza kupaa,utachekwa na Kuonekana Mpumbavu.Lakini Baada ya Ugunduzi wa Ndege Mnamo karne ya 20,kimekuwa kitu cha kawaida sana.

Zamani Mwanadam Hakuamini kama siku Moja atafika Mwezini,Lakini siku Hizi Imekuwa safari ya kawaida.
science Imekuua kuliko wewe unavyofikiria.Na science Ndiyo tumaini pekee La Mwanadam na siyo Hizo Ngonjera zenu.
 
hizo siyo ngonjera kama unavyodhani!miaka 1400 iliyopita ilishajulikana kwamba watu kwenda anga za juu kutafiti ni jambo lililo tarajiwa!we unakuja kujua hilo karne ya 20!
Qur'an Surat
Arrah'man 55:33
Yā Ma`shara Al-Jinni Wa Al-'Insi 'Ini
Astaţa`tum 'An Tanfudhū Min
'Aqţāri As-Samāwāti Wa Al-'Arđi
Fānfudhū Lā Tanfudhūna 'Illā
Bisulţānin
"Enyi makundi ya majini na watu!
Mkiweza kupenya kwenye mbingu
na ardhi, basi penyeni!
Hamtapenya ila kwa kupewa
madaraka".
 
sasa wewe ndiyo unarudi palepale kwenye Ngonjera.
Ni kitu cha kawaida sana kukutana na Maneno kama hayo katika vitabu vya kale.

Hii ni sawa na Mwandishi wa sci-fi novel,ambaye Anakaa na kubuni kitu ambacho hata kwenye science Hakipo,lakini Baadae huwa kitu Halisi.

Pia maneno kama hayo,yalikuwa kitu cha kawaida wakati ule
kwasababu watu wengi walikuwa wanaamini uchawi na siyo science

Hata hadithi za wagiriki ziliandika hicho kitu.Nazo tuziamini?
 
sijajua kama katika kubisha kawako kuana lengo la kutaka kujifunza!au umedhamiria kubisha tu!thibitisha kwamba hiyo aya ilikuwa inazungumzia mammbo ya uchawi!
 
Unapoweka neno Jini au shetani katika Hoja yako,Hiyo siyo science tena.
Kwahiyo usii-regard Quran kama kitabu chenye Mashiko kisayansi

Halafu hata Hiyo Aya,Haina Mahusiano yoyote na sayansi
Unaposema kupenya kwenye "Ardhi",una maanisha kuchimba chini.sasa Elimu ya kuchimba Ardhini ilikuwepo hata kabla ya Quran
so huo siyo utabiri.

Anga siyo solid kama Ardhi.Huwezi kupenya kwenye Hewa kwasababu Molecules zake zimeachana sana,ni kama Vaccum.
Unawezaje kupenya sehemu Ambayo haina kitu?Unajua maana ya kupenya?
 
Mkuu quran ina mapungufu kuliko unavyoweza kufikiria labda kama hujaipitia.
Quran 7: 54 Allah anasema aliumba dunia kwa siku 6
Quran 10:13 anarudia kusema aliumba dunia kwa siku 6
Ukisoma 41:9 anadai aliumba dunia kwa siku 2
Tukiendelea hapo kidogo 41:10 anadai aliumba kwa siku 4, ukisogea kidogo hapo 41:12 anasema aliumba mbigu zote Saba kwa siku 2
Hivi hili we unalizungumziaje? Au huyu allah ni muongo?
Qur'an 7:54> Ameumba Mbingu na Ardhi kwa siku 6 kisha akaumba Jua, Mwezi na Nyota. (Kwann usione tendo hili la kuumba Jua, Nyota na Mwezi linakamilisha ck 7?)

Qur'an 10:3 na siyo 10:13> Hapa kaongelea kuumba Mbingu BILA IDADI na Ardhi kwa siku 6. {Ni Mbingu na Ardhi}. Hajataja Jua, Mwezi wala Nyota. Km ni kutaka kuelewa na si kubisha basi aya hii iko wazi sn na inaeleweka.

Qur'an 41: 9-10> Kaongelea kuumba Ardhi pekee kwa siku mbili, kisha akaweka Milima na Kubariki Ardhi na vilivyomo ktk Ardhi, huku akikadiria chakula kitakachowatosha watakaoishi ktk ardhi. Ambao ni Wanadamu na Viumbe wengine. Matendo haya aliyafanya kwa siku 4. Sasa 2+4=6. Chenye kukupa ukakasi hadi upotoke ni nini Ndg yangu?

Qur'an 41:12> Kaumba Mbingu 7 kwa siku mbili. Pako wazi sana. Kuna tofauti ya Kuumba Ardhi na Mbingu.... Tuliza akili kwa kumtazama Mwenyezi Mungu na UWEPO WAKE Positively, UTAELEWA.
VINGINEVYO, HAUJACHELEWA KUMRUDIA MWENYEZI MUNGU, ALLAH, RABBUL I'ZAT. Na kwasababu ama kwa hakika Allah huyu ambaye ni mmoja, na siku zote ni MPOLE, MSAMEHEVU NA MKARIMU, atakusamehe In Shaa Allah. Kwani mna HAKI kabisa ya kuuliza/kuhoji kwa kutaka kujua {Qur'an 41:10}.
Narudia tena kukushauri, SOMA kwa utulivu aya hizi, huku ukitumia upeo wako mkubwa uliojaaliwa na Mungu huyu huyu unayemdhihaki, UTAELEWA NA UTATAMBUA UWEPO WA MUNGU MMOJA. NA QUR'AN NI MIONGONI MWA VITABU VYAKE.
 
Byizle

Qur'an
7:54> Ameumba Mbingu na Ardhi kwa siku 6 kisha akaumba Jua, Mwezi na Nyota. (Kwann usione tendo hili la kuumba Jua, Nyota na Mwezi linakamilisha ck 7?)

Qur'an 10:3 na siyo 10:13 Hapa kaongelea kuumba Mbingu BILA IDADI na Ardhi kwa siku 6. {Ni Mbingu na Ardhi

Wewe Hesabu unaijua vizuri?

Quran 7:54
"Hakika Mola Mlezi aliyeziumba Mbingu na Ardhi kwa siku 6"

Hapa,Mbingu+Ardhi=siku 6.

Quran 41:9
"Sema Hivyo nyinyi mnaomkata aliyeumba Ardhi kwa siku Mbili"

Mbingu+ardhi=siku 6
lakini ardhi=siku 2
kwahiyo Mbingu=siku 4

Quran 41:12
"Na akaweka humo milima juu yake na akabariki humo,na akakadiria humo chakula chake katika siku 4."
Milima+chakula+vinginevyo=siku 4

Pia kwa mujibu wa Maelezo yako,Jua,mwezi na nyota Havikuumbwa pamoja na Mbingu

Hitimisho;
Milima+chakula+vinginevyo=4
Mbingu=4
Ardhi=2
jua,mwezi,nyota=1
Jumla 4+4+2+1=siku 11

kwanini iwe siku 11,Wakati Allah aliuumba vitu vyote ndani ya siku 6?
 
Last edited by a moderator:
izleQur'an

"Na akaweka humo milima juu yake na akabariki humo,na akakadiria humo chakula chake kwa katika siku 4."
Milima+chakula+vinginevyo=siku 4

Pia kwa mujibu wa Maelezo yako,Jua,mwezi na nyota Havikuumbwa pamoja na Mbingu

Hitimisho;
Milima+chakula+vinginevyo=4
Mbingu=4
Ardhi=2
jua,mwezi,nyota=1
Jumla 4+4+2+1=siku 11

kwani iwe siku 11,Wakati Allah aliuumba vitu vyote ndani ya siku 6.

Mkuu umemaliza kazi. Yani atakaebisha hapa ana tatizo la akili tu na sio vinginevyo
 
Last edited by a moderator:
Qur'an 7:54> Ameumba Mbingu na Ardhi kwa siku 6 kisha akaumba Jua, Mwezi na Nyota. (Kwann usione tendo hili la kuumba Jua, Nyota na Mwezi linakamilisha ck 7?)

Qur'an 10:3 na siyo 10:13> Hapa kaongelea kuumba Mbingu BILA IDADI na Ardhi kwa siku 6. {Ni Mbingu na Ardhi}. Hajataja Jua, Mwezi wala Nyota. Km ni kutaka kuelewa na si kubisha basi aya hii iko wazi sn na inaeleweka.

Qur'an 41: 9-10> Kaongelea kuumba Ardhi pekee kwa siku mbili, kisha akaweka Milima na Kubariki Ardhi na vilivyomo ktk Ardhi, huku akikadiria chakula kitakachowatosha watakaoishi ktk ardhi. Ambao ni Wanadamu na Viumbe wengine. Matendo haya aliyafanya kwa siku 4. Sasa 2+4=6. Chenye kukupa ukakasi hadi upotoke ni nini Ndg yangu?

Qur'an 41:12> Kaumba Mbingu 7 kwa siku mbili. Pako wazi sana. Kuna tofauti ya Kuumba Ardhi na Mbingu.... Tuliza akili kwa kumtazama Mwenyezi Mungu na UWEPO WAKE Positively, UTAELEWA.
VINGINEVYO, HAUJACHELEWA KUMRUDIA MWENYEZI MUNGU, ALLAH, RABBUL I'ZAT. Na kwasababu ama kwa hakika Allah huyu ambaye ni mmoja, na siku zote ni MPOLE, MSAMEHEVU NA MKARIMU, atakusamehe In Shaa Allah. Kwani mna HAKI kabisa ya kuuliza/kuhoji kwa kutaka kujua {Qur'an 41:10}.
Narudia tena kukushauri, SOMA kwa utulivu aya hizi, huku ukitumia upeo wako mkubwa uliojaaliwa na Mungu huyu huyu unayemdhihaki, UTAELEWA NA UTATAMBUA UWEPO WA MUNGU MMOJA. NA QUR'AN NI MIONGONI MWA VITABU VYAKE.

Duu kweli dini ni zaidi ya kitu cha Arusha
 
Byizle

Qur'an
7:54> Ameumba Mbingu na Ardhi kwa siku 6 kisha akaumba Jua, Mwezi na Nyota. (Kwann usione tendo hili la kuumba Jua, Nyota na Mwezi linakamilisha ck 7?)

Qur'an 10:3 na siyo 10:13 Hapa kaongelea kuumba Mbingu BILA IDADI na Ardhi kwa siku 6. {Ni Mbingu na Ardhi

Wewe Hesabu unaijua vizuri?

Quran 7:54
"Hakika Mola Mlezi aliyeziumba Mbingu na Ardhi kwa siku 6"

Hapa,Mbingu+Ardhi=siku 6.

Quran 41:9
"Sema Hivyo nyinyi mnaomkata aliyeumba Ardhi kwa siku Mbili"

Mbingu+ardhi=siku 6
lakini ardhi=siku 2
kwahiyo Mbingu=siku 4

Quran 41:12
"Na akaweka humo milima juu yake na akabariki humo,na akakadiria humo chakula chake katika siku 4."
Milima+chakula+vinginevyo=siku 4

Pia kwa mujibu wa Maelezo yako,Jua,mwezi na nyota Havikuumbwa pamoja na Mbingu

Hitimisho;
Milima+chakula+vinginevyo=4
Mbingu=4
Ardhi=2
jua,mwezi,nyota=1
Jumla 4+4+2+1=siku 11

kwanini iwe siku 11,Wakati Allah aliuumba vitu vyote ndani ya siku 6?

Duuuh, kazi ipo.
Hata hivyo kumbuka ni Aya tofauti tofauti, tena zinaeleweka sana. Ukakasi wako unaongezeka kwa kudhani Mwenyezi Mungu hana uwezo wa kuumba Mbingu, Ardhi, Jua, Mwezi, Nyota na vyote VILIVYOMO i.e + Chakula kwa siku 6 au 7.
Em jiulize, kuna kitu gani kilimzuia ktk matumizi ya masiku yake ya uumbaji kiasi cha kushindwa kubebanisha kazi zake za uumbaji? Kibinadamu, Refer Production Management. Itakusaidia sn kutokujiumiza kwa kupinga mambo yanayoeleweka kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Duu kweli dini ni zaidi ya kitu cha Arusha

😂😂😂
Hata cha Nkhotakota, Malawi..... Hakisogelei kwa namna zote.
Ni zaidi ya kila kitu KIOVU
 
Last edited:
Duu kweli dini ni zaidi ya kitu cha Arusha

jimena wewe ni mwanamke ila wanawake wengi ni wanazi sana kwenye dini, wanawaamini wachungaji wao kiasi hata anaweza kujifilisi atoe sadaka amridhishe mchungaji, wewe jamii inakuchukuliaje? au hujajiweka wazi kua wewe sio muumini
 
Kuna watu wenye mateso ya aina mbali mbali hapa duniani hawa watu hutamani kifo kuliko hayo mateso yaani huona kifo ni nafuu kuliko hayo mateso.. Sidhani kama kifo ndiye adui namba moja wa binadamu

sasa kwa nini wasijiue???
 
Hakuna kitabu cha Hovyoo kama Hicho ulichonishauri Nisome.

Na siyo Mimi tu,Hata Mtoto wa shule ya Msingi anaweza kutunga kitabu Bora kuliko Quran.

mkuu hawa jamaa ni sensitive sana kwenye ishu za dini yao na wanaheshimu kitabu chao kuliko kitu chochote, kwa hiyo ili amani na staha itawale jaribu kutumia lugha ambayo haina makali sana kufikisha ujumbe
 
huenda ame quote lyrics za wimbo wa kifo wa mwanamuziki Dr Lemy (RIP) ambao kimsingi hauna uhalisia.

kifooo kifoooo, kifo hakina hurumaeeee...
hahaaa?a mkuu umemifanya nicheke sana
 
Hivi ni wale maadui aliotaja nyerere vipi kwani, nakumbuka alitaja maadui watatu'
Namba moja ni UJINga
Namba mbili ni umasikini
Namba tatu ni maradhi...

Ila hio namba one ndo adui mkubwa kuliko, kifo ni matokeo tu

ujinga ndio adui mmoja tu, hao wengine wote wametokana na ujinga, umasikini na maradhi vyote vinaondoka ukisha ondoa ujinga
 
Adui wa mwanadam ni fikra zake binafsi, kifo hakihusiani maana hata nyota zinakufa(super/mega nova-star death) sasa nyota zili asi nini?!

Death is still a mystery hakuna aliewahi experience kifo na akarudi. dini zinatumia huu mwanya wa kifo kuvutia waumini mafundisho yao mengi ni kutishiana kifo tu. na hizi dini zimekataza maswali matokeo yake ndo ka haya "close minded people"

hawa tembo, twiga, kuku samaki,n.k wanaokufa sijui nao walifanya uasi gani
 
Back
Top Bottom